Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 23

Daily Archives: August 23, 2017

NEYMAR KUPINGA MADAI YA BARCELONA MAHAKAMANI

436B6A3100000578-4807496-image-a-145_1503262726473

Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar amesema kuwa ataenda mahakamani kupinga mashtaka yaliowasilishwa na klabu yake ya zamani Barcelona. Barcelona inataka Yuro milioni 8.5 za marupurupu iliomlipa mchezaji huyo baada ya kuandikisha mkataba mpya wa miaka mitano miezi tisa kabla ya kuahamia PSG. Mchezaji huyo wa Brazil alihamia PSG kwa kitita …

Read More »

ROONEY HATIMAYE ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

_97496020_2f01f73a-8dd8-438f-9595-d138aef6bb68

Mfungaji wa mabao mengi nchini Uingereza Wayne Rooney ameamua kustaafu katika soka ya kimataifa baada ya kukataa kushirikishwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kitakachomenyana katika mechi za kufuzu kombe la dunia. Mshambuliaji huyo wa Everton aliombwa na meneja wa timu ya kandanda ya Uingereza kushiriki katika mechi …

Read More »

MAAMBUKIZI YA MALARIA YAPUNGUA TANZANIA

DSC_0199

 Kiongozi Uchunguzi na Matibabu ya Malaria Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria, Dkt. Sigsbert Mkude akielezea Mikoa yenye maambukizi ya malaria nchini wakati wa semina ya siku moja kuhusina na hali ya malaria Nchini iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Agosti 23, 2017   Moja ya kipimo cha utafiti kikionyesha maambukizi …

Read More »

SIMIYU KUFANYA MAPINDUZI YA KILIMO KUPITIA UMWAGILIAJI

PICHA A

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka  akizungumza na wananchi wa Kata ya Mwamanyili, juu ya Skimu ya Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza kutekelezwa hivi karibuni katika kata hiyo Wilayani Busega. Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe.Tano Mwera  akizungumza na wananchi wa Kata ya Mwamanyili, juu ya Skimu ya  Umwagiliaji inaotarajiwa kuanza …

Read More »

NCC YATAKIWA KUTOA ELIMU YA UTATUZI WA MIGOGORO

1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akizungumza na baadhi ya watendaji wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), wakati alipotembelea ofisi za baraza hilo katika kikao kazi, jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Dkt. Samson Mturi akitoa taarifa ya …

Read More »

TIC Yawainua Wajasiriamali Wadogo

Geoffrey-Mwambe

Na Georgina Misama Serikali kupitia Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC) inaratibu mpango wa kuwawezesha wawekezaji wadogo kukua kibiashara. Akiongea hivi karibuni katika kipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na TBC1, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Geoffrey Mwambe alisema kwamba katika kutekeleza mpango huo Shirika limeingia makubaliano na Shirika la Biashara na Maendeleo Duniani …

Read More »

ZIARA YA KAMATI YA BAJETI SOMANGAFUNGU LINDI

SOMANGA 3

Mhandisi wa Mitambo ya kuzalisha umeme ya Somangafungu, Mr Edwin Ngonyani akitoa maelezo kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti  wakiangangalia mitambo ya kuzalisha umeme iliyoko Somangafungu mkoani Lindi. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti  wakiangangalia mitambo ya kuzalisha umeme iliyoko Somangafungu mkoani …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN WILAYA YA WETE PEMBA

DSC_3656

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kushoto)alipofuatana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe.Balozi Ali Abeid Karume leo wakati alipotembelea Kituo cha Kununulia karafuu Bandarini Wete mkoa wa kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi …

Read More »

VIDEO:Msanii kutoka (NTT) amwaga mistari yake kwa uchungu!

DSC_0998

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava kutoka New Talents Tanzania (NTT)  Helton Dickson akiwa katika harakati za kutafuta njia ya kutokea kupitia Muziki, amefunguka na kumwaga Mistari yake huku akiwa na hisia kali kwenye mashahiri yake Msanii huyo ameiambia Super News TV kuwa kwa sasa anauchungu na hasira ya kufa …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA ROGERS SIANGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

ma1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya Rogers Sianga alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Kamishna Mkuu wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA

PMO_9633

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Balozi wa Cuba Nnchini Tanzania Bwana Lucas Domingo Polledo  walipo kutana kwa mazungumzo ya kikazi jana August 22/2017  akiwa katika ziara ya kikazi Havana Cuba   Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa …

Read More »

KIDAO WILFRED ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU MKUU TFF

kidau-001

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imepitisha jina la Kidao Wilfred kuwa Kaimu Katibu Mkuu. Kidao ambaye ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Makocha Tanzania (TAFCA), ameteuliwa rasmi jana Agosti 22, 2017 na Kamati ya Utendaji ya TFF. …

Read More »

MWENYEKITI WA BODI IKUNGI SEKONDARI AMSHUKURU DC IKUNGI

1

BMG Habari Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Mhe.Miraji Mtaturu ameendelea kupokea pongezi baada ya kuanzisha ligi soka ya “Ikungi Elimu Cup 2017” ili kuhamasisha wananchi wa wadau mbalimbali ili kusaidia utatuzi wa changamoto za elimu wilayani humo.  Kwenye uzinduzi wa ligi hiyo uliofanyika jumamosi Agosti 19,2017 uwanja wa shule ya …

Read More »