Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 24

Daily Archives: August 24, 2017

Creating A Evaluate AND Distinction ESSAY

Creating A Evaluate AND Distinction ESSAY When listening to the language Relative Study, learners may go through irritating. Nevertheless, all it’s seriously suggesting that you do is review and distinction a couple of things, an behavior we operate each day! A superb compare and contrast and compare essay doesn’t only …

Read More »

ASKOFU DKT MDEGELLA AANZA KUNUSURU CHUO CHA TUMAINI MAKUMIRA TAWI LA MBEYA UPIGWA MNADA

IMG_20170821_152439

Askofu  Dkt  Mdegella  akizungumza na  wanahabari Na  MatukiodaimaBlog KATIKA  harakati  za  kukinusuru  chuo kikuu cha Tumaini Makumira  tawi la  Mbeya kisipigwe  mnada  na benki  ya biashara ya  Afrika (CBA) askofu  mstaa  wa kanisa la  kiinjili la  kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya  Iringa ambae  pia ni mwenyekiti wa bodi ya Chuo hicho  …

Read More »

VIDEO:WILAYA YA NAMTUMBO KUBORESHA HUDUMA ZA ELIMU.

A

Mkuu wa wilaya ya namtumbo luckiness amlima amekagua ujenzi wa mabweni, vyumba vya madarsa na vyoo katika shule ya sekondari NASULI na NANUNGU iliyopo wilayani hapo na kuridhishwa na ujenzi wake ambao hadi kukamilika kwake  itagaharimu kiasi cha shilingi milioni mia tano na kumi na nane.

Read More »

FAMILIA YAGOMA KUMZIKA ANAYEDAIWA KUUAWA MGODINI GGM

_DSC1296

Maeneo ya mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM)Shughuli zikiendelea za uchimbaji madini ya dhahabu.    Shimo ambalo limekwisha kuchimbwa Familia ya kijana Shija Charles mwenye umri wa miaka 25 imegoma kumzika ndugu yao huyo  wanayedai kuwa amefariki baada ya kupigwa na walinzi wa mgodi wa dhahabu wa GGM na kutaka …

Read More »

TOTTENHAM YAMSAJILI SANCHEZ KWA REKODI YA KLABU

437F1D1600000578-4817284-image-a-2_1503511341716

Klabu ya Tottenham Spurs imekamilisha usajili wa beki Davinson Sanchez kutoka Ajax kwa kitita cha pauni milioni 42 kwa mkataba wa miaka 6. Beki huyo mwenye umri wa miaka 21 raia wa Colombia , amekubali mkataba wa miaka 6 akisubiri cheti cha kumruhusu kufanya kazi nchini humo. Rekodi ya Spurs …

Read More »

MAN UNITED YAMREJESHA ZLATAN IBRAHIMOVIC,YAMPA MKATABA WA MWAKA MMOJA

43861FA700000578-4819786-image-m-196_1503583190224

Manchester United imethibitisha kumsajili kwa mara nyingine mshambulizi Zlatan Ibrahimovic. Zlatan aliumia na kuamua kuondoka United, lakini imethibitishwa kuwa amerejea tena Old Trafford na sasa ni shetani mwekundu tena. Wakati wa msimu wa 2016-17, mshambulizi huyo raia wa Sweden aliichezea Man United mechi 46 na kufunga mabao 28 kabla ya …

Read More »

ZAIDI YA SH BILIONI 200 KUWANUFAISHA VIJANA NCHINI

1

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(wa pili kushoto) akiwasili katika taasisi ya Chuo cha Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela(NM-AIST) kuzindua mradi wa Vituo vya umahiri katika utafiti wa kilimo na magonjwa ya binadamu pamoja na mradi wa kuongeza ujuzi kwa kazi za uzalishaji zinazoleta tija uliofadhiliwa …

Read More »

WANANCHI WA DOLOLO WAISHUKURU SERIKALI YA MAGUFULI

jaf (1)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua ujenzi wa daraja la Kologombe ambalo lipo katika hatua za mwisho za ujenzi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua ujenzi wa daraja ya Nyatanga lililopo katika kijiji cha Nyani wilayani Kisarawe. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani …

Read More »

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI, DKT. ALOYCE NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI YA WADAU WA KANDA YA KATI KWA AJILI YA KUPITIA UPYA SERA YA TAIFA YA UTALII YA MWAKA 1999 MJINI DODOMA

5

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku moja ya kukusanya maoni ya wadau wa sekta ya utalii kwa ajili ya kupitia upya Sera ya Taifa ya Utalii ya mwaka 1999 iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

  TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 24.08.2017 MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUMTEKA MTOTO WA MIAKA NANE (8) WILAYANI ILEMELA. KWAMBA TAREHE 23.08.2017 MAJIRA YA SAA 10:00HRS ASUBUHI KATIKA MTAA WA LUMALA KATA YA PASIANSI WILAYA …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA LEO

DSC_5222

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee na Viongozi wa CCM alipowasili Kijiji cha Milimuni Chokocho kuweka Jiwe la Msingi tawi la CCM Kijijini hapo leo  akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali …

Read More »

WAZIRI MKUU AITAKA WIZARA KUONGEZA MBINU ZA KUVUTIA WATALII

WAZIRI+MKUU+MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kutafuta mbinu bora za kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini ili kukuza sekta hiyo. Amesema licha ya Tanzania kuwa na vivutio vingi vya utalii lakini idadi ya watalii wanaoingia nchini kwa mwaka ni ndogo, hivyo kuna haja ya kuboresha …

Read More »

MHE ANTHONY MAVUNDE ATOA MAHUBIRI KWA VIJANA MTWARA.

KON2

Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe ANTHONY MAVUNDE kitembelea karakana wakati alipozindua  Mafunzo ya UTAMBUZI WA UJUZI ULIOPATIKANA NJE YA MFUMO RASMI kwa Vijana 847 kutoka Mikoa ya Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani, na Dar es Salaam mkoani Mtwara. Naibu Waziri Ofisi …

Read More »