Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / August / 25

Daily Archives: August 25, 2017

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE

8

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Soko la Samaki Chakechake linalojengwa na kampuni ya ZECCON CO.Ltd ya hapa nchini wakati wa ziara ya Rais kukagua na Kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo …

Read More »

WATOTO KUTOKA COMPASSION KUCHUANA VIKALI JIJINI MWANZA

Joram

BMG Habari, Pamoja Daima! Fainali ya mashindano ya watoto kutoka Vituo vya Huduma ya Mtoto (Compassion) Kanda ya Mwanza, inatarajiwa kufanyika kesho jumamosi Agosti 26,2017 kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.   Mjumbe wa kamati ya maandalizi, Joram Samwel amesema mashindano hayo yalianza tangu Mei 25 mwaka huu kwa …

Read More »

WATENDAJI MANISPAA YA KIGAMBONI WAPONGEZWA

Jf (3)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua miradi ya wilaya ya Kigamboni. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa sekta ya afya wilaya ya Kigamboni. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akitembelea Hospitali ya Vijibweni wilaya ya …

Read More »

TEA yakamilisha Ukarabati wa Shule 10 Kongwe za Serikali

TEA 2

Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Sylvia Lupembe (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kukamilika kwa ukarabati wa shule kongwe 10 za Serikali. Kushoto ni Meneja Ufadhili Miradi ya Elimu, Anne Mlimuka. Meneja Ufadhili Miradi ya Elimu wa Mamlaka …

Read More »

ARSENAL YAPELEKWA UJERUMANI NA EVERTON YATUPWA UFARANSA EUROPA LEAGUE

438C244800000578-0-image-a-8_1503658311254

MAKUNDI YOTE LIGI YA ULAYA: KUNDI A:Villarreal (Hispania), Maccabi Tel-Aviv (Israel), Astana (Kazakhstan), Slavia Praha (Jamhuri ya Czech) KUNDI B: Dynamo Kyiv (Ukraine), Young Boys (Uswisi), Partizan (Serbia), Skenderbeu (Albania) KUNDI C: Sporting Braga (Ureno), Ludogorets (Bulgaria), Hoffenheim (Ujerumani), Istanbul Basaksehir (Uturuki) KUNDI D: AC Milan (Italia), Austria Vienna (Austria), …

Read More »

WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA VIWANDA VYA SUKARI CUBA

WAZIRI+MKUU+MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Viwanda vya Sukari nchini Cuba, Bw. Francisco Lled, ambaye amekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuongeza uzalishaji wa sukari nchini. Shirika la Sukari la nchini Cuba linauwezo wa kuzalisha tani milioni nne za sukati kwa mwaka …

Read More »

IGP SIRRO AWASILI MKOA WA ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

5

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, wakati alipofika ofisini kwake kujitambulisha na kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo, IGP Sirro, yupo mkoani Arusha, kwa ziara ya …

Read More »

PROFESA MBARAWA AHIMIZA KASI YA UJENZI UBUNGO INTERCHANGE.

5

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Kulia), akizungumza na Mkandarasi wa China Civil Engeneering Construction Corporation (CCECC), anayejenga barabara za juu katika eneo la Ubungo (Ubungo Interchange), Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa tatu kulia) akikagua kokoto zitakazotumika katika …

Read More »

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO JUMAMOSI VIJANA KINONDONI

GEDC0058

  Mabondia Baina Mazola kushoto akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao jumamoso Agost 26 katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Picha na SUPER D BOXING NEWS Mratibu wa mpambano wa masumbwi kaizirege Dragon Kaizum katikati akiwatambulisha mabondia mbele ya wahandishi wa habari kushoto ni …

Read More »

Zanzibar Yapongeza TAA kushirikishwa TBIII

DG1

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Salim Msangi  (mwenye tai nyekundu) akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa jengo la Tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwa Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Mawasiliano na Mazingira ya Baraza la Wawakilishi …

Read More »

BALOZI WA CHINA AFIKA OFISINI KWA SPIKA NDUGAI KUMUAGA

PIC 4

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akizungumza na Balozi wa China nchini LU Youqing  anayemaliza muda wake alipofika kumuaga  mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa masuala ya  Diplomasia na Vyombo ya Habari- Ubalozi wa China Bi. …

Read More »

RAIS WA FIFA INFANTINO AMPONGEZA KARIA, AMWALIKA ZURICH

W

Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino, ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa TFF kwa kipindi cha miaka minne ijayo ya 2017-2021. Rais Infantino katika barua yake ya Agosti 14, 2017 …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

DSC_5549

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la …

Read More »

Huduma za Mafunzo kwa Wadau wa Mahakama Kusogezwa

PIX1

Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akielezea jambo alipotembelea mradi wa ujenzi wa Kituo cha mafunzo  kwa ajili ya wadau wa Mahakama leo Jijini Dar es Saalaam. Kituo hicho kinajengwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu kitakuwa kikitumiwa na Taasisi ya Uongozi wa Mahakama (IJA) …

Read More »