Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / August / 26

Daily Archives: August 26, 2017

FAINALI ZA WATOTO WA COMPASSION MWANZA ZAFANA

2-19-1024x768

Fainali za mashindano ya watoto kutoka Vituo vya Huduma ya Mtoto (Compassion) Kanda ya Mwanza zimefana baada ya kufikia tamati hii leo jumamosi Agosti 26,2017 kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mashindano hayo yalianza tangu Mei 20 mwaka huu kwa kuhusisha michezo mbalimbali ikiwemo riadha, mpira wa miguu na …

Read More »

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AAGIZA WAENDESHA BODABODA WOTE KUNUNUA KOFIA NGUMU NDANI YA MWEZI MMOJA

UF3A5139

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akizungumza na waendesha bodaboda na baiskeli ‘daladala’ leo mjini Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog **** Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ameagiza waendesha bodaboda wote nchini kuhakikisha kuwa wanakuwa na kofia ngumu ‘Helmet’ ndani ya mwezi mmoja baada …

Read More »

MAYANGA ATAJA TAIFA STARS MPYA KUIVAA BOTSWANA

AMAYA

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Shabani Mayanga ametangaza kikosi kipya kitakachocheza na Botswana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Wiki ya FIFA kwa mechi za kimataifa inatarajiwa kuanza …

Read More »

CHEZO WA MPIRA WA MIGUU KATI YA POLISI NA KOREA KUSINI

3

Kamishna wa Polisi, Operesheni na Mafunzo Nsato Marijani akiwatoka mabeki wa timu ya Ubalozi wa Korea Kusini  nchini wakati wa mchezo wa kuimarisha mahusiano baina ya Jeshi la Polisi na ubalozi huo hapa nchini, Mchezo uliochezwa katika kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete ambapo Maveterans wa Polisi walishinda magoli  6-2 …

Read More »

KINANA AMWANDALIA BALOZI WA CHINA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KUMUAGA

kinana1

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi maalum Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing, wakati wa hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam,  jana, Agosti 25, 2017. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, Naibu Spika …

Read More »

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA

4

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza jambo mbele ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Manyara, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja …

Read More »

MAYANGA AMREJESHA BEKI KISIKI TAIFA STARS

Taifa Stars defender Kelvin Yondani during a past international match at the National Stadium. The central back has failed to honour Stars call-up. PHOTO | FILE

Hatimaye Kocha Mkuu  wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’  Salum Mayanga amemrejesha kikosini beki mkongwe na Kisiki wa klabu ya  Yanga, Kevin Yondan kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana wiki ijayo. Yondan amekuwa na kawaida ya kukaidi wito kwenye kikosi cha Taifa Stars …

Read More »

Makamu wa Rais Ahudhuria Kilele cha Miaka 50 ya NBC

17

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya benki ya NBC iliyofanyika jana usiku kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)   Msanii Mkongwe na Maarufu  …

Read More »

MONDULI INAKABILIWA NA ONGEZEKO LA MIMBA ZA UTOTONI

pic+fursa+za+kujiendeleza

Na Mahmoud Ahmad Monduli Wilaya ya monduli bado inakabiliwa na changamoto kubwa la ongezeko la mimba za utotoni ambapo takwimu zinaonyesha kuwa wanafuzni 45 shule za msingi walipata ujauzito na 33 wa shule za sekondari kuanzia mwaka 2015 hadi july 2017 ambapo wanafunzi hao wameacha shule kutokana na hali hiyo …

Read More »

LWANDAMINA AONGEZEWA MWAKA MMOJA YANGA

maxresdefault

Kocha wa Yanga, George Lwandamina hana mpango wa kuondoka, maana tayari ameongezewa muda wa kuendelea kufanya kazi Jangwani. Uongozi wa Yanga umeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake George Lwandamina raia wa Zambia baada ya ule wa awali kumalizika Julai 16, mwaka huu. Katika mkataba wake uliopita, Lwandamina aliiwezesha …

Read More »

DKT. MWINUKA AWAPONGEZA WAHANDISI WANAWAKE TANESCO, KWA KUPEWA TUZO

5R5A4894

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka, (kushoto), akipokea kikombe (tuzo), kutoka kwa Mwakilishi wa Wahandisi wanawake kutoka Shirika hilo, Mhandisi Rosamystica Lutenganya, katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam Agosti 25, 2017. Wahandisi wanawake wa TANESCO walikabidhiwa tuzo …

Read More »

RC Rukwa Azuia Usafirishwaji wa Tano 2143 za Madini Nje ya Nchi

RC Rukwa mbele ya Madini ya Clinker

Katika kasi ya kuhakikisha madini ya watanzania yanawafaidisha watanzania, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amekamata na kuzuia uuzwaji wa tani 2,143 za madini aina ya “Clinker” yanayotumika katika kuzalishia saruji kutokana na wingu la ubabaishaji uliogubika usafirishaji wa madini hayo kwenda nje ya nchi hadi hapo …

Read More »