Sunday , August 19 2018

Home / MICHEZO / CHEZO WA MPIRA WA MIGUU KATI YA POLISI NA KOREA KUSINI

CHEZO WA MPIRA WA MIGUU KATI YA POLISI NA KOREA KUSINI

2

Kamishna wa Polisi, Operesheni na Mafunzo Nsato Marijani akiwatoka mabeki wa timu ya Ubalozi wa Korea Kusini  nchini wakati wa mchezo wa kuimarisha mahusiano baina ya Jeshi la Polisi na ubalozi huo hapa nchini, Mchezo uliochezwa katika kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete ambapo Maveterans wa Polisi walishinda magoli  6-2 dhidi ya Wakorea hao.(Picha na Jeshi la Polisi)

3

Balozi wa Korea kusini nchini Song Geum-Young akimkabidhi zawadi ya mipira Kamishna wa Polisi, Oparesheni na mafunzo Nsato Marijani baada ya mchezo wa kuimarisha mahusiano baina ya Jeshi la Polisi na ubalozi huo hapa nchini, Mchezo uliochezwa katika kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete ambapo Maveterans wa Polisi walishinda magoli  6-2 dhidi ya Wakorea hao.(Picha na Jeshi la Polisi)

4

Picha mbalimbali katika  mchezo wa kuimarisha mahusiano baina ya Jeshi la Polisi na ubalozi huo hapa nchini, Mchezo uliochezwa katika kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete ambapo Maveterans wa Polisi walishinda magoli  6-2 dhidi ya Wakorea hao.(Picha na Jeshi la Polisi)

5 6

Kamishna Msaidizi wa Polisi, Philip Kalangi akionyesha umahiri wake katika soka wakati wa mchezo wa kuimarisha mahusiano baina ya Jeshi la Polisi na ubalozi huo hapa nchini, Mchezo uliochezwa katika kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete ambapo Maveterans wa Polisi walishinda magoli  6-2 dhidi ya Wakorea hao.(Picha na Jeshi la Polisi)

7

Kamishna wa Polisi, Operesheni na Mafunzo Nsato Marijani akiwatoka mabeki wa timu ya Ubalozi wa Korea Kusini  nchini wakati wa mchezo wa kuimarisha mahusiano baina ya Jeshi la Polisi na ubalozi huo hapa nchini, Mchezo uliochezwa katika kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete ambapo Maveterans wa Polisi walishinda magoli  6-2 dhidi ya Wakorea hao.(Picha na Jeshi la Polisi)

About bukuku

Check Also

serie

DSTV SASA KURUSHA SERIE A- KIFURUSHI CHA BOMBA!

Mechi zote 380 kwenye ‘live’ HD ndani ya Bomba Pia Mechi zote 380 za La …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 + seven =