Wednesday , December 12 2018

Home / MCHANGANYIKO / MUWAKILISHI WA MGOGONI PEMBA AFUNGA MAFUNZO YA KIJANI KIBICHI

MUWAKILISHI WA MGOGONI PEMBA AFUNGA MAFUNZO YA KIJANI KIBICHI

01

Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Pemba ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Shehe Hamad Mattar akifunga mafunzo ya siku tatu ya utengenezaji wa sabuni kwa wanachama wa mtandao wa Kijani kibichi yaliyofanyika ukumbi wa CCM Amani Mkoa. (Kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar ZEDO pia ni Mkurugenzi wa mtandao huo Ussi Said Suleiman.

02

Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Pemba ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Shehe Hamad Mattar akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa mafunzo ya kijani kibichi Bi. Salha Muhamed Juma.

03

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Kijani kibichi wakifuatili nasaha za mgeni rasmi (hayupo pichani) katika sherehe ya ufungaji wa mafunzo hayo yaliyofanyika Ukumbi wa CCM Mkoa Amani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga.

About bukuku

Check Also

2

WAZIRI JAFO AWAPONGEZA TARURA

Waziri Jafo akikagua daraja la Mto Tete wilayani Kisarawe Waziri Jafo akiongea na wananchi wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

two × three =