Wednesday , January 16 2019

Home / MCHANGANYIKO / ZIARA YA RAIS DK.SHEIN MKUTANO WA MAJUMUISHO YA MKOA WA KUSINI PEMBA

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN MKUTANO WA MAJUMUISHO YA MKOA WA KUSINI PEMBA

DSC_6292

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mhe.Salama Mbarouk Khatib mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Makonyo Wilaya ya Chake chake leo katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba

DSC_6302

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipofika viwanja vya Ukumbi wa Makonyo Wilaya ya Chake chake leo katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba,

DSC_6331

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi mbali mbali walipokuwa wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wakati wa Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba,

DSC_6371

Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo,

DSC_6374

 Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo

DSC_6406

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani)wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo,(kulia)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba  Mhe.mwanajuma Majid Abdalla (kushoto)

DSC_6415

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani)wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba leo katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo,[Picha na Ikulu.] 26/08/2017.

About Alex

Check Also

5a-min

RC TABORA AIAGIZA KAMPUNI YA L AND T KUREKEBISHA KASORO UJENZI WA TANKI LA MAJI LA KIJIJI CHA IBELAMILUNDI

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya kuchunguza ubora wa tenki katika Kijiji cha Ibelamilundi Injinia Damiani …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × 5 =