Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / August / 27

Daily Archives: August 27, 2017

LIVERPOOL YAIPIGA 4G ARSENAL MCHEZO WA LIGI KUU YA UINGEREZA

439D64E300000578-4827652-image-a-148_1503848839079

Liverpool imeendelea rekodi ya ushindi kwa timu kubwa baada ya Kuitandika Arsenal jumla ya Magoli 4-0 na kumfanya Kocha Wenger kuwa na msimu mbaya kwani wiki iliyopita walipoteza tena ugenini kwa kufungwa bao 1-0 na Stoke City. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 17,Sadio Mane dakika ya …

Read More »

MTUHUMIWA WA UJAMBAZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI SINGIDA.

1.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida ACP Debora Magiligimba akionyesha bunduki aina ya rifle iliyokuwa ikimilikiwa na mtuhumiwa wa ujambazi Hamisi Athumani (32) mkazi wa Shiponga-Hanang mkoa wa Manyara anayedaiwa kuitumia kwenye matukio ya ujambazi. Picha/habari na Nathaniel Limu …………………………………………………………… Mkazi wa kijiji cha Shiponga – Hanang Mkoani Manyara …

Read More »

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

PMO_0118

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo ya Kikazi na Makamu wa Rais wa Cuba, Bi. Gladys Bejarano. katika Mji wa Havana Nchini Cuba jana August 26/2017 Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu     *Asisitiza nia ya kufungua ubalozi nchini humo  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo …

Read More »