Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / August / 28

Daily Archives: August 28, 2017

Listed here and today community is going to create numerous chances in the college or university participants amongst other things essay assist agencies.

Listed here and today community is going to create numerous chances in the college or university participants amongst other things essay assist agencies. This type of variety at the same time encloses exploration producing crews that are presently really desired for keep going few years. In some cases you might …

Read More »

NIYONZIMA,BOCCO WAPO FITI KUWAVAA AZAM FC SEPTEMBA 5,2017

Haruna-Niyonzima-mu-myenda-ya-Simba-mu-myitozo-ya-mbere-mu-gitondo-cyo-kuri-uyu-wa-mbere

Kiungo Haruna Niyonzima ameanza mazoezi na wenzake kujiandaa na michezo inayofuata ya Ligi Kuu Bara. Niyonzima aliumia katika mechi ya kwanza ya ligi hiyo akiichezea Simba dhidi ya Ruvu Shooting. Msemaji wa Simba, Haji Manara amethibitisha Niyonzima kuanza mazoezi. Pamoja na Niyonzima, Manara amesema, John Bocco naye ameanza kujifua na …

Read More »

SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA MRADI WA STIEGLER’S GORGE

Pic 1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani amesema kuanzia Agosti 30 mwaka huu, Serikali itatangaza zabuni ya kuanza ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme wa megawati 2100 katika maporomoko ya maji ya Mto Rufiji mkoani Pwani ( Stiegler’s Gorge) Akizungumza jijini Dar es Salaam Dkt. Kalemani  amesema,  taratibu …

Read More »

UBA Delivers Stellar Performance in Half-Year 2017, Grows Profit by 66%

UBA-logo-2

.Declares 0.065 cent Per Share Interim Dividend                                    .African Subsidiaries Contribute 32% of the Group’s Earnings Lagos, Nigeria – August 24, 2017 – The Pan African financial institution, United Bank for Africa (UBA) Plc has announced its audited half year financial results ended June 30, 2017, showing remarkable performance across major metrics. UBA grew …

Read More »

UJENZI WA KIVUKO KIPYA KIGONGO BUSISI WAANZA RASMI

PIC 3.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu akiwa ameshikilia vifaa vya kuchomelea vyuma kuashiria kuanza kuweka msingi wa kivuko ‘’Keel Laying’’ katika eneo la Pasiansi ikiwa ni kumbukumbu ya kuanza rasmi kwa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma kati ya Kigongo na Busisi Mkoani Mwanza. …

Read More »

TFF MAPEMA TU, YAANZA KUPANGUA RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM

ok1-768x440

MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kama ifuatavyo. Michezo ambayo imefanyiwa mabadiliko ni kati ya Tanzania Prisons na Majimaji ya Songea; Azam FC na Simba, …

Read More »

RAS-Dodoma- Wakumbukeni Idara za Elimu katika PlanRep Mpya.

1

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bibi Rehema  Madenge akifungua mafunzo kwa watumiaji wa Mfumo mpya wa Kielektroniki ulioboreshwa (PlanRep) yanayofanyika mjini Dodoma yakiwashirikisha Waganga Wakuu wa Mikoa,Halmashauri,Maafisa Mipango,Makatibu  wa Afya,Wachumi na Wahasibu. Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI bw. Erick Kitali akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi …

Read More »

PSG KUKAMILISHA USAJILI WA MBAPPE KUTOKA MONACO HII LEO

mbappe-man-city-monaco-ucl

Mshambuliaji wa Klabu ya Fc Monaco, Kylian Mbappe anatarajiwa kukamilisha usajili wake wa mkopo na klabu ya Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG). Mchezaji huyo anatarajiwa kutua nchini Ufaransa siku ya Leo, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Ufaransa. Kituo cha redio cha Ufaransa siku ya Jumapili kiliripoti kuwa …

Read More »

Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo

0004

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na ujumbe kutoka China Leo. Ujumbe huo umejadiliana na uongozi wa MNH jinsi watakavyotoa huduma ya matibabu kwa wagonjwa. Wataalamu wa afya kutoka China wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa MNH leo. Baadhi ya wakurugenzi wa MNH wakifuatilia mazungumzo hayo leo. …

Read More »

IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa Jeshi hilo wanaoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya kuwajengea Uwezo na Ujasiri wakati wanapotekeleza majukumu yao muda mfupi kabla ya kufungua rasmi mafunzo hayo yanayofanyika katika chuo cha Polisi Moshi CCP mkoani Kilimanjaro jana. Picha …

Read More »

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI LA NCHI ZA UMOJA WA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA KUJADILI UDHIBITI UTAKASISHAJI FEDHA HARAMU

index

  KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LA NCHI ZA UMOJA  WA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WA UDHIBITI UTAKASISHAJI  FEDHA HARAMU (ESAAMLG). Baraza la Mawaziri kutoka Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti Utakasishaji Fedha Haramu “The Eastern and Southern Afrika Anti Money Laundering Group – …

Read More »

Sherehe za miaka 50 ya NBC zafana jijini Dar es Salaam.

11

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto), akikaribishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Nehemiah Machechu katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Benki jijini Dar es Salaam juzi. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha  na Mipango , Dk. Ashatu …

Read More »

Tume ya Uchaguzi Yavitaka Vyombo vya Habari Nchini Kuiga Wenzao wa Kenya

2

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanuajambo wakati akizungumza na Mtangazaji wa AzamTvNurdinSelemanikupitia kipindi cha Mizani ya Wiki kilichorushwajanaJumapili hii. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kushoto)akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media, TidoMhando baada ya kushirikia …

Read More »

MAHAFALI YA 6 YA GENIUS KINGS YAFANA JIJINI DAR

graduation 15

Mkurugenzi Mkuu wa Shule ya Genius Kings Nusery& Primary School, Machage Kisyeri, (Kulia) akisoma hotuba. Mwalimu Mkuu wa shule, Aloyce Siame (kushoto) akimkabidhi risala Profesa Joseph Kahamba , ambaye alikuwa mageni rasmi wakati wa mahafali hayo.Katikati ni Mkurugenzi wa shule Julius Rutabanja. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Aloyce Siame (kulia) …

Read More »