Wednesday , October 17 2018

Home / MCHANGANYIKO / VIDEO:NAIBU WAZIRI WA AFYA KUZIPIGA JEKI HOSPITALI ZA MKOA WA RUVUMA.

VIDEO:NAIBU WAZIRI WA AFYA KUZIPIGA JEKI HOSPITALI ZA MKOA WA RUVUMA.

HAMIS

Watanzania wametakiwa kuchunguza afya zao mara kwa mara iliwaweze kujua hali ya afya zao na kuondokana na magonjwa ambayo yanaweza kuwapata hasa yale ambayo si ya kuambukizwa ilikuweza kubaini afya zao kwa kuwa yanachukua kipindi kirefu mpaka mtu aje kugundulika kuwa anadalili za magonwa hayo.
Kampeni hiyo ya uchunguzi kwa magonjwa ya saratani ya mlango wa kizazi.matiti,kifua kikuu na magonjwa yasiyo ambukizwa yamefanyika katika uwanjwa wa majimaji yakiongozwa na Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto KHAMIS KIGWANGALA.

About bukuku

Check Also

index

Dkt. Ndumbaro akutana na Balozi wa Uganda,Uingereza na Kaimu Balozi wa Marekani

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

twelve + eight =