Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / August / 29

Daily Archives: August 29, 2017

SPARK TOUR YAJIZOLEA UMAARUFU MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM

2

TECNO Mobile, kampuni inayoongoza kwa simu bora nchini Tanzania imetambulisha mfumo mpya wa burudani na matangazo nchini ukiambatana na  simu mpya katika mpangalio wa matokeo mapya ya SPARK. Tecno Mobile imeanzisha mtindo mpya wa kuwafwata wateja wake mitaani na kuwapa burudani kupitia wanamuziki mbalimbali.  Mtindo huo maarufu kama SPARK TOUR …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA KATIBU MTENDAJI WA KAMISHENI YA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI.

DSC_3258

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki  Prof Keneth Linyani Simala wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na …

Read More »

TARIMBA ABBAS KUMALIZA UTATA WA HUKUMU YA KASEKE NA CHIRWA KESHO

hqdefault

KAMATI YA NIDHAMU KUKETI KESHO Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Tarimba Abbas, kinatarajiwa kuketi kesho Jumatano Agosti 30, mwaka huu. Kamati hiyo itakuwa na ajenda kadhaa ikiwamo ya mashauri yanayohusu wachezaji mbalimbali, viongozi na klabu. Shauri mojawapo linahusu ripoti ya …

Read More »

TAIFA STARS YAANZA MAZOEZI DAR

KOCHA-MAYANGAA

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeanza kujifua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Wachezaji wote kutoka klabu za Tanzania wamefika kadhalika baadhi kutoka nje ya mipaka ya Tanzania kama vile Nahodha Mbwana Samatta na Elias Maguli. Mazoezi hayo yataendelea kila siku hadi Ijumaa …

Read More »

MAJINA 8 YAPITA MCHUJO WA AWALI UONGOZI TPLB

logo-ligi

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetangaza majina manane ya wagombea ambao yamepita katika mchujo wa awali kuwania nafasi mbalimbali katika Kamati ya Uongozi (Management Committee) ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Waliopitishwa ni kuwania uenyekiti wa Management Committee ni Clement Sanga na Ahmed …

Read More »

TANZIA DIGNA BALTAZAR MALLYA

New Picture (123)

JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA  WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI  MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ndugu Andrew W. Massawe anasikitika kutangaza kifo cha mtumishi Digna Baltazar Mallya (Afisa Usajili) kilichotokea ghafla Jumamosi 26/08/2017. Marehemu atasafirishwa kwa mazishi …

Read More »

Mfumo wa PlanRep Kurahisisha Utendaji Kazi Serikalini

3-85

Kiongozi wa Timu ya Mifumo kutoka Kutoka mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) bw. Desderi Wengaa akitoa maelezo kuhusu utendaji wa Mfumo huo wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Dodoma ………………. Na Beatrice Lyimo- MAELEZO Mfumo wa kielektroniki(PlanRep) ulioboreshwa wa kuandaa Mipango, Bajeti na Ripoti za …

Read More »

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA LORI KIJOTA, SINGIDA

1

Mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu ya mkono katika hospitali ya Mkoa wa Singida mara baada ya kupata ajali ya lori iliyoua watu 6 katika kijiji cha Kijota Singida. Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa huku akiendelea kupatiwa matibabu ya mkono katika hospitali ya Mkoa wa Singida mara baada ya kupata ajali …

Read More »

WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA

Majaliwa

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watu wote wenye nia ya kutaka kuwekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania kuhakikisha wanafuata sheria, kanuni na taratibu. Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Agosti 29, 2017) wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais (Uendelezaji Bishara) wa kampuni ya PIRIOU, Bw. Michel Perrin. …

Read More »

MultiChoice Yatangaza Neema kwa wateja wa DStv!

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania Maharage Chande na Balozi wa Multchoice Nancy Sumari wakikabidhi zawadi kwa washindi baada ya kushindwa katika bahati nasibu wakati wakitangaza punguzo kubwa la bei kwa vifurushi vyote vya DStv bei zitakazoanza kutumika rasmi Septemba mosi 2017. Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania Maharage Chande na Balozi …

Read More »

SPORTPESA YAITUNUKU CHETI CHA SHUKURANI IDARA YA HABARI-MAELEZO

PIX 1

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus (kulia) akipokea cheti cha heshima toka kwa Afisa Uhusiano wa Kampuni ya SportPesa Bi. Sabrina Msuya cha kutambua mchango wa Idara ya Habari (MAELEZO) katika kufanikisha uratibu wa vyombo vya habari wakati ujio wa timu ya Everton hapa nchini mapema Julai …

Read More »

TFF YAIFANYIA MAREKEBISHO NGAO YA JAMII WALIOICHUKUA SIMBA

NGAO #salehjembe5

  Hatimaye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefanya marekebisho katika Ngao ya Jamii waliyoshinda Simba. Simba walikabidhiwa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Yanga kwa mikwaju 5-4 ya penalti, lakini ikawa na makosa katika maandishi. Ngao hiyo ilikuwa imeandikwa, Community Sheild badala ya Community Shield. Baada ya malalamiko kuwa makubwa, …

Read More »

RC TABORA AWAONYA WA-MADED WANAOWAWEKEA VIKWAZO MAMENEJA WA TARURA

RC1

Na Tiganya Vincent RS-TABORA SERIKALI Mkoa wa Tabora imewaonya Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri na Watendaji wengi kuacha mara moja kuwawekea vikwazo  Mameneja Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania(TARURA) ambavyo vinawafanya washindwe kutekeleza majukumu yao ya kuendeleza miundo mbinu ya barabara za vijijini kwa wakati na hivyo wananchi kuendelea …

Read More »

CHEKA AKATA RUFAA BMT KUPINGA MATOKEO

2

Meneja wa bondia wa Cosmass Cheka, Juma Ndambile (kulia) akizungumzia matatizo yaliyompata bondia wake. Cosmass Cheka akizungumzia hatua aliyochukuwa ya kukata rufaa BMT kupinga kufungiwa na matokeo ya pambano lake dhidi ya bondia Haidary Mchanjo. …………………………….. Na Mwandishi Wetu Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amekata rufaa …

Read More »

RC TABORA ATAKA MAELEZO ALIYECHOMA MOTO CHUO CHA ARDHI

mkuu 1

Na Tiganya Vincent,RS-TABORA SERIKALI Mkoa wa Tabora imeagiza kutafutwa na kuchukiwa hatua kali na kupata maelezo ya watu waliohusika na uchomaji moto katika maeneo ya Chuo cha Ardhi Tabora na kusababisha uharibifu mkubwa wa mistu asili na miti iliyokuwa imepandwa katika eneo hilo kama hatua za uhifadhi wa mazingira. Kauli …

Read More »

DR.MABODI: ATAKA MIRADI YA MAJIMBONI IWANUFAISHE WANANCHI.

DSC_0086

Badhi ya wananchi na viongozi waliofika katika hafla fupi ya makabidhiano ya matrekta (Power tillers) mbili na mashine moja ya umeme wa jua(solar). Naibu Katibu Mkuu  CCM Zanzibar  Dk. Abdulla Juma Mabodi akimkabidhi vifaa mkulima  Trekta ndogo ya mkono (Power tillers) aliyevaa fulana ya rangi ya njano na kofia na …

Read More »

ZABUNI YA MRADI WA UMEME WA STIEGLER’S KUTANGAZWA AGOSTI 30

1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kutangazwa Zabuni ya Mradi wa Kuzalisha umeme wa Rufiji. Wanaofuatilia ni Wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini na TANESCO. Watalaam mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakielendelea …

Read More »

Mkuu wa Mkoa wa Tabora akikagua barabara za Manispaa ya Tabora

mkuu wa mkoa

Meneja wa Wakala  wa Barabara nchini (TANROADS)  mkoani Tabora Mhandisi Damian Ndabalinze akitoa ufafunuzi jana mjini hapa kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggery Mwanri (hayupo katika picha)  wakati wa ziara yake alipokwenda kukagua  maendeleo ya ujenzi wa baraabara ya Kiloleni inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa ufadhili wa Benki …

Read More »