Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / August / 30

Daily Archives: August 30, 2017

LISU KUTIKISA MKUTANO WA UAMSHO HAPO KESHO

maxresdefault

Na Sales Malula Mwimbaji wa nyimbo za injili John lisu pamoja no waimbaji wengine wa nyimbo za injili wanatarajia kupamba tamasha kubwa la uamsho linaloanza kesho.  Katika mahojiano maalumu na Mtandao huu Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (victory Christian center) DK. Huruma Nkone amesema wameandaa mkutano …

Read More »

University Records for all people

University Records for all people Most universites and colleges will request you to send explore reports on particular themes. By doing this an task, it can turn out to be feasible that you have an understanding of the right way to presume critically approximately a subject matter. The simple truth …

Read More »

MAYANGA AMWITA EMMANUEL MARTIN TAIFA STARS

IMG_8019

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Mayanga amemwongeza Kiugo wa Young Africans, Emmanuel Martin kwenye kikosi chake kinachojindaa kucheza na Botswana Jumamosi Septemba 2, mwaka huu. Mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam chini ya utaratibu …

Read More »

RPC SHANNA-AWAKALIA KOONI WAZAZI WALIOKATISHA MASOMO WATOTO WAO

SAM_5300

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani KAMANDA wa polisi mkoani Pwani,(ACP),Jonathan Shanna ametoa wiki moja kwa wazazi na walezi wanaowanyima watoto wao haki ya elimu kwa kuwaingiza katika ndoa za utotoni na wengine kutumikishwa kazi za kijamii kuwapeleka shule kabla hawajachukuliwa hatua. Amesema kutokana mambo hayo atakuwa mkali na wanatarajia kuanza operesheni ya …

Read More »

HIZI NDIO MECHI KUBWA ZA WATANI WA JADI BARANI AFRIKA

Yanga-Simba

  Na Jumia Travel Tanzania Miongoni mwa matukio yanayosisimua zaidi kwenye mchezo wa soka ni mipambano ya watani wa jadi. Katika nchi nyingi barani Afrika ukiwauliza kwa harakaharaka mashabiki wengi wa soka ni mechi zipi huwa wanazisubiria sana utawasikia wanakutajia michezo kama vile Real Madrid na Barcelona, Manchester United na …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

DSC02103

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 30.08.2016.   Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo …

Read More »

Serikali Yaanza kukabidhi Leseni kwa Kwa Machapisho

PIX0

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi leseni ya usajili wa Gazeti la Daily News mwakilishi wa gazeti hilo Bi. Pudenciana Temba. Idara ya Habari imetoa imetoa leseni nne kwa ambapo leseni namba moja imetolewa kwa Jarida la Nchi Yetu linalotolewa na …

Read More »

SAKATA LA KIUNGO WA YANGA PIUS BUSWITA LAPATA SURA MPYA

Pius-Buswita---Copy

Na Samuel Samuel Sakata la kiungo wa Yanga SC aliyesajiliwa msimu huu kutoka Mbao FC Pius Buswita kufungiwa mwaka mmoja kucheza mpira lapata sura mpya baada ya katibu mkuu wa Yanga ndugu Charles Boniface Mkwasa kulitolea ufafanuzi. Buswita amekumbana na rungu la TFF la kutojihusisha na soka kwa mwaka mmoja …

Read More »

SERIKALI KUUZA MALI ZA WADAIWA SUGU WA KODI YA ARDHI

ardhi14

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angeline Mabulla ameziagiza halmashauri zote kuwafikisha mahakani na kuuza mali zao wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi wenye madeni ya muda mrefu. Dkt. Mabulla ametoa agizo hilo wakati alipofanya ziara ya kukagua mifumo ya makusanyo ya kodi …

Read More »

Prof. Mbarawa Aipa Tano TBIII

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa, Makame Mbarawa (kushoto), akifafanua jambo kwa Eng, Emmanuel Raphael Wansibho Mkuu wa Kitengo cha Ujenzi wa Viwanja vya Ndege huku Meneja Ujenzi wa Kampuni BAM inayojenga uwanja huo ya Eng. Ray Blumrick (kulia), akifuatilia. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa, Makame Mbarawa …

Read More »

ARSENAL YAKUBALI YAISHI KWA SANCHEZ SASA KUTUA MAN CITY WAKATI WOWOTE

439D4C7100000578-0-image-m-19_1504051804902

Inavyoelekea timu ya Arsenal sasa iko tayari kumuachia mshambuliaji wao hatari Alexis Sanchez kujiunga na  Manchester City,Lakini sharti lake ni kulipwa pauni milioni 70 na mshambuliaji Raheem Sterling. Awali, Man City ilikuwa kutoa pauni milioni 50 na Sterling. Lakini Kocha Arsenal Wenger akasema watoe fedha hizo pamoja na mshambuliaji Kun …

Read More »

MAFUNZO YA PS3 YAENDELEA MKOANI DODOMA

01

Mwezeshaji kutoka Mradi wa Uimarishaji Sekta za Umma (PS3) Christopher Masaaka ambaye pia ni Afisa Uchumi  kutoka Halmashauri ya Wangingómbe Mkoa wa Njombe akitoa mafunzo kwa moja ya kundi la washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa Kielektroniki (PlanRep) iliyoboreshwa wa kuandaa Mipango, Bajeti na Ripoti za Mamlaka ya Serikali za …

Read More »

BONDIA IDDI MKWELA ASEMA KAMOTE NA MFAUME MFAUME WANANIKIMBIA

20622103_1458269274219211_1985269045784165799_n

Na Mwandishi Wetu BONDIA Idd Mkwela baada ya kumsambalatisha bila ya huruma bondia Adam Ngange hivi karibuni amekuwa katika wakati mgumu wa kupata mapambano zaidi kwa kuwa mabondia wa nchini kwa sasa wanamkimbia mana mpaka sasa nimepewa ofa ya kupambana na mabondia wawili tofauti ambao wananiogopa na naisi wameingia mitini …

Read More »

SERIKALI YATUMIA BILIONI 85 KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

1.JPEG

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akifafanua jambo katika kikao na Kamati ya Bunge ya Miundombinu kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Moshi Kakoso na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa …

Read More »