Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / September

Monthly Archives: September 2017

Waagwa kwenda Dafurl Sudan kwa Ulinzi wa Amani

_DCM9039

Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Andrew Sattaa akiwakabidhi bendera ya Taifa kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi hilo (IGP) Simon Sirro, askari wa Jeshi hilo wanaokwenda Darful, nchini Sudani kushiriki shughuli za Ulinzi wa amani ambapo amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote …

Read More »

WANANCHI WA KISANGIRE,KIHARE, TITU,KOLESA NA VIKUMBURU WAPATA MKOMBOZI.

PICHA YA JAFO

Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi. ……………………………………………………….. Wananchi wa Vijiji vya Titu, Kisangire, Kihare, Kolesa na vikumburu wanatarajia kupata ukombozi kupitia mpango kabambe wa ujenzi wa barabara ya Chole – Titu – Kihare hadi vikumburu utakaoanza muda wowote ndani ya mwaka huu.  …

Read More »

TAMASHA LA TIGO FIESTA LAFANA MKOANI TABORA

RC (2)

  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na mali zao ulivyoimalishwa  kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana. Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali …

Read More »

PROF. MAGHEMBE AFUNGUA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI INAYOFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA, ATOA WITO KWA WANANCHI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA VIYA DHIDI YA UJANGILI NCHNI

DSC_2247

Na Hamza Temba-WMU ……………………………………………………… Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe jana tarehe 30 Septemba, 2017 amefungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani yanayofanyika kitaifa mkoani Iringa na kutoa wito kwa wananchi kushirikiana na Serikali katika kupambana na Majangili kwa kutoa taarifa za siri zitakazoweza kuwaibaini na kuchukuliwa hatua.   …

Read More »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM- Taifa) RAIS MHE: DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM-TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.

11

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) kabla ya kufungua mkutano huo  jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama …

Read More »

Baraza la Mji Chake Chake Pemba lazungumza na wafanyabiashara

HA

Na Masanja Mabula –Pemba BARAZA la Mji Chake Chake Pemba limesema mabadiliko ya  kanuni katika sheria namba 7 ya mwaka  2014 sheria ya mamlaka ya serikali za mitaa yamelenga katika kuleta ufanisi wa uwajibikaji kwa wafanyabiashara na wananchi wote Akizungumza na wafanyabiashara hao afisa  afya kutoka baraza la mji khamis …

Read More »

JAFO: TUWALINDE WAZEE WETU DHIDI YA MAUAJI

JF 4

Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizindua rasmi Maadhimisho ya siku ya wazee yaliyozinduliwa kitaifa katika viwanja cha Nyerere Square Mkoani Dodoma. Baadhi ya wazee waliohudhuria katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya wazee Duniani. Mmoja wa wazee Mzee Kachenje akitoa neno la shukrani katika uzinduzi …

Read More »

Magonjwa ya Moyo Huua Watu milioni 17 Duniani – Dk. Sanga

heartdisease_full

Na.Paschal Dotto-MAELEZO SERIKALI ya Awamu ya Tano kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imewashauri wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kuweza kugundulika mapema iwapo wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi hiyo, Tulizo Sanga alipozungumza na waandishi …

Read More »

UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA MRADI WA RELI YA KISASA

10.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na Mjumbe wa Bodi  kutoka Kampuni ya Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakisaini Mkataba wa ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba …

Read More »

JAFO AWAPONGEZA GAIRO KWA UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI

gairo 1

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akizungumza katika uwekaji jiwe la msingi kwenye ujenzi wa jengo la Halmashauri ya wilaya ya Gairo mkoani Morogoro. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akiweka jiwe la msingi katika jengo la Halmashauri ya wilaya ya Gairo mkoani Morogoro. Mbunge wa …

Read More »

NMB YAWANOA WALIMU MKOANI GEITA

DSC_1665

  Mkuu wa kitengo cha Biashara Kwa Wateja Binafsi na Mauzo wa NMB Omar Mtiga  Akizungumza na walimu wakati wa Kongamano ambalo limeandaliwa na NMB Kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Geita.   Baadhi ya walimu ambao wanatoka kwenye halmashauri zilizopo Mkoani Geita wakifuatilia Hotuba ya Mkuu wa kitengo …

Read More »

Prof. Maghembe Afungua Maonesho ya Utalii

msigwa1

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (kushoto),aliyefungua rasmi maonesho ya Utalii ya Karibu Kusini,  akikaribishwa na Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa kilichopo Kata ya Nduli  kwenye banda la maonesho la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), yanayofanyika kwenye viwanja vya Kichangani.. Mhandisi Kedrick Chawe …

Read More »

LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017

pic+madin+fc

Ligi Daraja la Pili Tanzania Bara (SDL), inatarajiwa kuanza Septemba 30, mwaka huu kwa timu kuchuana katika viwanja vitano tofauti. Kwa mujibu wa Ratiba ambayo imeambatanishwa, michezo ya siku hiyo itakuwa ni kati ya Abajalo na Cosmopolitan; Namungo na Reha kutoka Kundi A wakati kundi B kutakuwa na mchezo kati …

Read More »

LIGI DARAJA LA KWANZA KUENDELEA KESHO

TFF-KUPOST

Baada ya Ashanti United na Friends Rangers kuchuana leo Ijumaa, mechi nyingine za ligi hiyo zitaendelea kesho Jumamosi Septemba 30, mwaka huu. JKT Ruvu na Kiluvya United zinatarajiwa kucheza kesho kwenye Uwanja wa Mbweni katika mchezo wa kundi A kama ilivyokuwa kwa timu ambazo zimecheza leo – Ashanti na Friends. …

Read More »

VPL: MECHI SABA KUCHEZWA KESHO, MOJA JUMAPILI

VODACOM-LIGI-KUU

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Septemba 30, mwaka huu kwa michezo saba itayochezwa kwenye viwanja tofauti nchini. Kwa siku ya Jumapili Oktoba mosi, mwaka huu kutakuwa na mchezo mmoja tu. Katika ligi hiyo ambayo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeifanya tathimini ya …

Read More »