Friday , December 15 2017

Daily Archives: September 2, 2017

KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII,BI.SIHABA NKINGA AFUNGUA MKUTANO WA REPSSI JIJINI ARUSHA

1

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto,Bi Sihaba Nkinga akizungumza katika mkutano wa kimataifa wa watoto ulioandaliwa na taasisi ya REPSSI yenye makao yake nchini Afrika Kusini kutoka mataifa zaidi ya 30 barani Afrika unaofanyika jijini Arusha,mkutano huo pamoja na mambo mengine unalenga kuwawezesha  watoto sauti …

Read More »

WIZARA YA ARDHI YAFANYA MABORESHO KATIKA KITENGO CHA USAJILI WA HATI

PICHA NA 2

Msajili wa Kitengo cha Hati; Bwn. Kastor Ngonyani akizungumzia Maboresho yaliyofanyika katika ofisi yake. Afisa katika Kitengo cha Hati akimhudumia mteja aliyefika katika dawati  lake. Maafisa mbalimbali katika Kitengo cha Hati. Na wengine wa Idara mbalimbali za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiendelea kuhudumia  Wananchi katika Kituo …

Read More »

SHAKA AZUNGUMZIA MAENDELEO YA UCHAGUZI WA NDANI WA UVCCM

a5

Ndugu Waandishi wa habari; Kwa mara nyingine tena tunawakaribisha kwa mikono miwili katika mkutano huu muhimu. Karibuni sana huku nikiwaomba  mjione mko huru na mko nyumbani . Dhana ya Demokrasia ni jambo muhimu linalohitaji kuheshimiwa na kuenziwa ndani ya Chama na  Jumuiya zake. Kiongozi wa UVCCM mahali popote pale huchaguliwa …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LA MAGOMENI JIJI DAR ES SALAAM

10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na   mkewe Mama Janeth Magufuli wakiimba nyimbo katika ibada hiyo ya Jumamosi katika Kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli …

Read More »

DEREVA AKUTWA NA MISOKOTO MITANO YA BANGI NA POMBE AINA YA SAFAR

RPC

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha JESHI la polisi mkoani Pwani,linamshikilia dereva wa gari lenye namba za usajili T .235 DET aina ya Mitsubishi Fuso,Yusuph Saidi,ambae amesababisha ajali kutokana na kudaiwa kutumia kilevi kilichofikia kiwango cha 105 kinyume na sheria. Dereva huyo ,amesababisha kutokea kwa ajali ,na kupoteza maisha ya mtu mmoja na …

Read More »

WATANZANIA WAASWA KUWA WABUNIFU

27. Mganga Mkuu wilaya ya Singida Vijijini, Dkt Erick Bakuza JPG

Na: Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA Watanzania waaswa kuwa wabunifu katika kutengeneza mifumo itakayosaidia uboreshaji na utoaji huduma kwa jamii. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Halmashauri ya Mbulu Mkoa wa Manyara Dkt. Joseph Fwoma wakati wa Mafunzo ya Mfumo wa Kielekroniki (PlanRep) iliyorekebishwa wa kuandaa Mipango, Bajeti …

Read More »

DC MTATURU AHIMIZA UMOJA,UPENDO NA KULINDA AMANI.

mt (4)

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu akihutubia waumini wa dini ya kiislam mara baada ya  ibada ya swala ya Eid El Hajji iliyofanyika kijiji cha Mwau Kata ya Mang’onyi wilayani humo. Baadhi ya waumini walioshiriki swala ya Eid El Hajji wakimsikiliza mgeni rasmi  mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji …

Read More »

WANAFUNZI 8 WA SHULE ZA SEKONDARI NA WENGINE 7 WA MSINGI WATIWA MIMBA RUFIJI

1

Mkuu wa wilaya wilaya ya Rufiji ,Juma Njwayo …………………………………………………………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji Jumla ya wanafunzi wa kike nane wa shule za sekondari na saba wa shule za msingi wilayani Rufiji mkoani Pwani ,wamebainika kuwa wana mimba ,mwaka huu . Kutokana na taarifa hiyo ,mkuu wa wilaya ya Rufiji ,Juma Njwayo …

Read More »

BURIAN ANATOLIA NSEKA KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU

1

Mama Anatolia Nseka enzi za uhai wake    Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mama Anatolia Nseka kuingiza nyumbani kwake Tabata Barakuda jijini Dar es Salaam jana baada ya kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ulikokuwa umehifadhiwa baada ya kufariki dunia Tarehe 30-8-2017 katika hospitali hiyo alikokuwa amelazwa kwa …

Read More »