Thursday , December 14 2017

Daily Archives: September 8, 2017

⁠⁠⁠RC MAKONDA AZIDI KUBORESHA JESHI LA POLISI

pik4

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amekabidhi Pikipiki za Traffic 10, Computer 100 na Baiskel za kisasa 200 kwa ajili ya kuimarisha utendaji kazi wa Jeshi la Polis Dar es Salaam na kulifanya kuwa la kisasa. Kupatikana kwa Vitendeakazi hivyo ni matokeo ya jitiada binafsi za …

Read More »

MADAKTARI WATOA MENO 7 KUTOKA KWA MTOTO WA MWEZI MMOJA

_97719394_2437e61c-d3c0-405b-981b-d0dbb7ea1f31

Madaktari kwenye hospitali moja iliyo jimbo la magharibi mwa Inida ya Gujarat wamefanikiwa kutoa meno saba kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja. “Kwa sasa mtoto yuko sawa,” daktari ambaye alifanya upasuaji huo Meet Ramatri alisema. Alisema kuwa upasuiji huo ulifanya kwa njia mbili. Kwanza walitoa meno manne, na baadaye matatu. …

Read More »

TAARIFA KUHUSU WA WAAMUZI TANZANIA

tff

Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) ilikuwa na kikao chake cha kwanza kilichofanyika Julai 6, 2017 hapa jijini Dar es Salaam. Mambo muhimu yafuatayo yalitolewa uamuzi. 1. Kumpongeza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Bw. Wallace Karia na Makamu wa Rais, …

Read More »

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA VYEREHANI

IMGL2138

                                                           Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na mkurugenzi wa taasisi ya African Relief Organization, Wakati  akipokea cherehani ikiwa ni sehemu ya vyerehani 25 vya msaada, zilizo tolewa kwa Wananchi wa Ruangwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 8, 2017, (kulia) ni Mratibu wa miradi …

Read More »

WAZIRI MKUU MAJALIWA,AMJULIA HALI MBUNGE WA NEWALA VIJIJINI RAZAK RASSHID AKBAR ALIYELAZWA KATIKA TAASISI YA JAKAYA KIKWETE MUHIMBILI

IMGL2159

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na mkurugenzi wa taasisi ya African Relief Organization, Wakati  akipokea cherehani ikiwa ni sehemu ya vyerehani 25 vya msaada, zilizo tolewa kwa Wananchi wa Ruangwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 8, 2017, (kulia) ni Mratibu wa miradi wa …

Read More »

NGOMA NZITO AVEVA ,KABURU BADO WANASOTA KISUTU

Aveva-696x394

Na Unique Maringo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kuwa wakweli  katika kesi ya kutakatisha fedha na kugushi inayomkabili Rais wa  Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange `Kaburu`. Wakili wa serikali Nassoro Katuga mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Victoria Nongwa alidai kuwa upelelezi wa …

Read More »

MANJI ATOA KAULI NZITO KORTINI,AGOMA KUVULIWA UDIWANI NA CCM

wp-image-1078132890

Mfanyabiashara Yusuf Manji ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 9, 2017 kuwa yeye bado ni Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu na kudai kuwa hatambui kuvuliwa udiwani kama ilivyotangazwa na Mstahiki Meya wa Temeke, Abdallah Chaulembo September 6, 2017.   Manji ametoa malalamiko hayo, kwenye kesi ya uhujumu …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI AGOSTI, 2017 WAPUNGUA

PIX 1

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya Mfumuko wa Bei wa mwezi Agosti, 2017 ambao umepungua hadi kufikia asilimia 5.0 ikilinganishwa na asilimia 5.2 ilivyokuwa mwezi Julai, …

Read More »

“Wakandarasi tumieni vyombo vya habari kutangaza kazi zenu ili mpate soko kwa urahisi”.Prof.Elisante

01

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwasiliasha mada kuhusu Ubunifu,Masoko na Ujasuliamali  wakati wa mkutano Mkuu wa Bodi ya Wakandarasi (ERB)  Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convertion Center leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Mkutano wa mkuu wa Bodi ya Wakandarasi (ERB) wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

nz2

Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe.Daniel Nsanzugwako katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya …

Read More »

Serikali kupitia TCRA Imetoa Leseni Kwa Vituo 32 Vya Televisheni Nchini

3507-Wambura

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura alipokuwa akijibu maswali leo Bubgeni Mjini Dodoma. Picha na Daudi Manongi, MAELEZO, Dodoma ………………….. Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa leseni kwa vituo 32 vya televisheni hapa nchini ikiwa ni kuongeza muonekano …

Read More »

SHAKA AZINDUA PROGRAMU YA USHIRIKISHWAJI KWA VIJANA DODOMA

IMG-20170907-WA1206

Na Mathias Canal, Dodoma Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM)  Shaka Hamdu Shaka (MNEC)  Septemba 7, 2017 Amezindua Programu maalumu kwa Vijana wa CCM katika ushiriki wa shughuli za miradi ya Kimaendeleo, Kiuchumi na Kijamii katika ukumbi wa CCM (NEC) Mjini Dodoma. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Shaka …

Read More »

TASWA KUFANYA UCHAGUZI MKUU NOVEMBA 5,2017 JIJINI DAR ES SALAAM

P 1

        KAMATI ya Utendaji ya Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), iliyokutana Dar es Salaam jana Septemba 7, 2017, imepanga Uchaguzi Mkuu wa chama hicho ufanyike Novemba 5, mwaka huu. Uchaguzi huo utafanyika Dar es Salaam katika ukumbi ambao utatangazwa na tayari kamati imeaigiza sekreterieti ya TASWA, …

Read More »

MADHARA YA VIPODOZI VYA KEMIKALI YAWATISHA WAKULIMA

IMG_8548

Afisa Utafiti na Uchambuzi wa TGNP, Maureen Mbolene akitoa maelekezo kwa washiriki wa washa hiyo. Meneja na mtaalamu wa masuala ya kemikali kutoka Taasisi ya Envirocare, Euphrasia Shayo (kulia) akiwasilisha mada yake juu ya madhara ya kemikali za vipodozi na mkorogo kwenye Tamasha la Jinsia Tanzania 2017.  Sehemu ya washiriki …

Read More »

UTAPIAMLO NI JANGA LA KITAIFA – DK. MPANGO

Dk-Mpangoo

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema utapiamlo ni janga la Kitaifa na kwamba theluthi moja ya vifo nchini inasababishwa na tatizo hilo. Ametoa kauli hiyo juzi jioni (Jumatano, Septemba 6, 2017) wakati akitoa nasaha kwenye mkutano wa nne wa mwaka wa wadau wa lishe wa kutathmini afua …

Read More »