Thursday , December 14 2017

Daily Archives: September 11, 2017

TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI

KEKI

    Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akikata keki kuashiria uzinduzi wa Chama cha washereheshaji  (WSB) ‘Wakali wa sherehe Bongo’ jijini Dar es Salaam  leo. Kutoka (kushoto) ni Moafisa wakuu wa Elimu kwa mlipa Kodi, Rose Mahendeka na Julius …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS

21

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 11,2017

2

Waziri wa Habari  Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwasilisha azimio la Bunge kuridhia mkataba  baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda kuhusu mradi wa ujenzi wa Bomba la  Kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga …

Read More »

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA YATIMIZA MIAKA MIWILI YA KUTOA HUDUMA KWA WAKULIMA WA TANZANIA NA YAPANGA KUJITANUA KUPITIA KONGANI

DSC_0351

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (wapili kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa Benki, Bw. Augustino Matutu Chacha (wapili kushoto) wakati wa Mkutano wao na Wanahabari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. Kushoto ni  Afisa habari Mwandamizi wa …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA SH. MILIONI 10

IMGL3619

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhi msaada wa sh. milioni 10 kwa Meneja wa Tbc 2. Bw. Godfrey Nago ili kumsaidia Msanii wa muziki wa dansi Bw. Ernest Masenga. Bw. Nago amepokea kwa niaba ya msanii huyo. Kushoto ni mjomba wa msanii huyo Bw. Kanuti Mloka. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Agosti …

Read More »

TADB Kuanzisha Bima ya Kilimo na Afya kwa Wakulima

TB0

Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Bw. Augustine Chacha akifafanua jambo wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari kuhusu mikopo inayotolewa na benki hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB Bw.Francis Assenga. Picha na: …

Read More »

DC MHONGO AFUNGUA MKUTANO MKUU WA APC KARATU

IMG-20170911-WA0013

Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mhongo wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu wa kwanza kushoto, Makamu Mwenyekiti Charles Ngereza wa tatu kutoka kushoto na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Karatu Bw. Mourice wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa APC 2017 …

Read More »

Mfumo wa EFDs Waongeza Mapato ya Halmashauri

IMG_6432

Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Mhe.Dkt Zainabu Chaula wakati wa mafunzo ya Uongozi  kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri yanayofanyika Mjini Dodoma na kuendeshwa na Taasisi ya Uongozi. ………………………………………………………………….. Na: Lilian Lundo – MAELEZO – DODOMA Matumizi ya mfumo wa ukusanyaji …

Read More »

Wamiliki wa Machapisho Waendelea Kujitokeza Kuchukua Leseni

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni ya Usajili wa machapisho mmiliki wa Gazeti la Hekaheka Dimbani Bw. Abdallah Menssah mara baada ya kukamilisha taratibu za usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni kwa machapisho linafuatia utekelezaji …

Read More »

DC’S NA DED’S WABEBESHWA MZIGO MZITO

1

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo akizungumza katika hafla ya kufungua mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi  katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma Leo. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. …

Read More »

Serikali Kuajiri Maafisa Ugani Katika Kila Kata Nchini

9647-Mhe.Ole Nasha

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO DODOMA Serikali  imepanga kuongeza idadi ya Maafisa Ugani wenye ujuzi katika kila Kata na Kijiji ili kuleta mapinduzi ya kilimo Nchini. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha wakati akijibu swali lililohusu mkakati wa Serikali wa kuhakikisha inafanya mapinduzi …

Read More »

Tigo Inaungana na Twende App Kuzindua Huduma ya Usafiri

TWENDE

   Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) na Mkurugenzi wa Twende App Justin Kashaigili (kulia)  wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma mpya ya simu za mkononi ijulikanayo kama Twende App inayiowawezesha wasari kupata huduma ya haraka na usalama ya usafiri wa umma wa Taxi, pikipiki za bodaboda …

Read More »