Friday , December 15 2017

Daily Archives: September 16, 2017

NGOMA AINUSURU YANGA KULALA MJINI SONGEA,MARTIN AKIMBIZWA HOSPITALI

donald-ngoma-yanga-vs-medeama-2016_jcgz2q7383tc1sdmrbhqe3nit

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania timu ya Yanga imeshindwa kutamba kwenye uwanja wa Maji Maji Mjini Songea baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji wana rizombe MajiMaji. Mpira ulianza kwa kasi huku Yanga wakionekana kulishambulia lango la MajiMaji kama washambuliaji akina Ngoma,Ajib pamoja na …

Read More »

DC’S , DED’S – Waahidi Makubwa kwa Mh. Rais JPM

1

Mh. Selemani Jafo, alipokuwa akifunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mikoa minane kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma. .Mh. Selemani Jafo, alipokuwa akifunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mikoa minane kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma huku Wakiwa …

Read More »

Prof. Elisante: Amani ni urithi unaopaswa kuendelezwa Afrika

mra1

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifungua mkutano wa kujadili utekelezaji wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kati ya Tanzania na Afrika Kusini leo mjini Dodoma. Mkurungenzi Mkuu wa Kazi za Umma kutoka Afrika Kusini Bw. Mziwonke Dlabantu akitambulisha …

Read More »

SERIKALI YARIDHISHWA NA WELEDI NA UTENDAJI KAZI WA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII KATIKA KUHUDUMIA WANANCHI WANYONGE.

Pix 1

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Dodoma katika kikao kilichofanyika ukumbi wa manispaa ya Dodoma, tarehe 16 Sept, 2107. Mratibu wa Masuala ya Maendeleo ya Jamii kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bibi Mwajina Lipinga (kulia) akifafanua masuala mbalimbali kuhusu utendaji …

Read More »

Roma na Stamina(Rostam) wafunika Tamasha la Tigo Fiesta Musoma

roma

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Roma Mkatoliki na Stamina(Rostam) wakitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana.   Meneja wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi Tigo kanda ya Ziwa Edgar Mapande,akizungumza na waandishi wa habari, kwenye uwanja …

Read More »

CLOUDS MEDIA GROUP YATANGAZWA KUWA MSHINDI WA TUZO YA DAUDI MWANGOSI MWAKA 2017

1

Mkurugenzi wa Tanzania Media Foundation,Ernest Sungura akikabidhi tuzo Tuzo ya Uandishi wa Kishujaa na Ulitukuka ya Daudi Mwangosi mwaka 2017 kwa  Afisa Mahusiano kutoka Clouds Media Group Simalenga Simon leo Jumamosi Septemba 16,2017 mkoani Tanga-Habari/Picha na Oscar Assenga na Kadama Malunde ……………………………………………………. Jopo la Majaji Tuzo ya Uandishi wa Kishujaa …

Read More »