Friday , December 15 2017

Daily Archives: September 19, 2017

MAXCOM AFRICA PLC WAFANYA MAZUNGUMZO NA AZAM MEDIA

url

Uongozi wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC leo mapema wamefanya ziara katika kituo cha utangazaji cha AZAM TV na kukutana na Uongozi wa Kampuni ya AZAM Media na kufanya mazungumzo. Katika Mazungumzo hayo, Wakurugenzi wa kampuni ya Maxcom Africa PLC na AZAM Media wamepanga kuimarisha Ushirikiano wao kibiashara katika Nyanja …

Read More »

MAJALIWA-ULINZI UIMARISHWE KWENYE MAENEO YA VIWANDA NA UWEKEZAJI

IMG_20170919_091752

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo,wakati alipowasili katika kiwanda cha kutengeneza sabuni cha KEDS kilichopo Pichandege Kibaha Mjini. Waziri mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi wa viwanda vya kutengeneza sabuni cha KEDS Pichandege Kibaha Mjini ambae pia ni mkurugenzi wa kiwanda cha kutengeneza …

Read More »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA BLK YA NCHINI INDIA YAFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA WA MOYO

theater 1

Madaktari Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Evarist Nyawawa (kulia) na mwenzake Ajay Kaul (kushoto) wa  Hospitali ya BLK ya nchini India wakimfanyia mgonjwa leo upasuaji wa kuziba tundu la moyo. Madaktari Bingwa wa usingizi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA ABUNI CHA KEDS WILAYANI KIBAHA

PMO_8601

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha sabuni cha KEDS wilayani Kibaha, Bw. Jack Feni (Kushoto  kwake) kuhushu  mitambo ya  kiwanda hicho   hicho  wakati alipokitembela September 19, 2017.  Kulia kwake ni. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mahandisi Evarest Ndikilo na kulia ni Mbunge …

Read More »

HAJI KALI HAJI AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU TATIZO LA UPUNGUFU WA MAFUTA VISIWANI ZANZIBAR

0

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za nishati na maji Zanzibar (ZURA) Haji Kali Haji akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na hali ya upatikanaji wa mafuta Zanzibar huko Ofisini kwake Maisara Zanzibar  Picha na Kijakazi Abdalla –Maelezo …………………… Na Mwashungi Tahir         Maelezo Zanzibar    MKURUGENZI Mkuu Mamlaka  …

Read More »

LIGI DARAJA LA PILI KUANZA SEPTEMBA 30, 2017

TFF-KUPOST

Ligi Daraja la Pili Tanzania Bara (SDL), inatarajiwa kuanza Septemba 30, mwaka huu kwa timu kuchuana katika viwanja vitano tofauti. Kwa mujibu wa Ratiba ambayo imeambatanishwa, michezo ya siku hiyo itakuwa ni kati ya Abajalo na Cosmopolitan; Namungo na Reha kutoka Kundi A wakati kundi B kutakuwa na mchezo kati …

Read More »

TANZANITE YAREJEA KUJIPANGA DAR

SEBASTIAN-NKOMA

Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri wa chini ya miaka 20 (Tanzanite), imewasili salama nchini ikitokea Nigeria ambako ilicheza mechi ya awali dhidi ya wenyeji Nigeria katika mchezo wa kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Ufaransa. Timu hiyo iliwasili saa 9.00 usiku wa kuamkia Jumanne Septemba …

Read More »

NAIBU WAZIRI ATEMBELEA TFF, SERENGETI BOYS

Naibu-Waziri

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura jana Jumatatu Septemba 18, 2017 ametembelea Ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zilizoko Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam. Mhe. Naibu Waziri Anastazia Wambura ambaye aliongozana na Katibu Mkuu wa Baraza la …

Read More »

Puma yatoa Zawadi Ya Milioni 2/- Kwa Mshindi

2

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Jeshi la Polisi Fortunatus Musilimu  akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao leo. Mkurugenzi Mkuu wa Puma Enegy Tanzania Ltd, Philippe Corsaletti akizungumza katika hafla ya kutangaza mashindano ya uchoraji picha za usalama barabarani kwa shule za Msingi kwa mwaka 2017  katika …

Read More »

KALI 5 ZA JPM TANGU AINGIE MADARAKANI

18

Na. Paschal Dotto-MAELEZO Katika kuelekea ujenzi wa  Tanzania ya uchumi wa kati Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli, Kiongozi anayesifika kwa uchapakazi, mtu wa watu, mtu wa  wanyonge na Mzalendo kwa kusimamia rasilimali za Taifa ambaye  ameonyesha nuru kubwa kwa watanzania. Katika hotuba zake mbalimbali …

Read More »

Shindano la Mr. Tanzania kufanyika Desemba Mwaka Huu

N1

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wajenga Misuli Tanzania (TBBF) Nemes Clwalala akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya Mr. Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Desemba 16 leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo na Mkurugenzi wa Pilipili Entertainment Nilesh bhatt, Msemaji wa Pilipili Entertainment Mohamed …

Read More »

PROF. MAGHEMBE ATOA SIKU 40 KWA WALIOLIMA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA WAONDOKE KWA HIARI, LAA SIVYO….

1

Na HAMZA TEMBA – WMU ———————————————————– Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ameliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Hifadhi ya Taifa ya Arusha kuhakikisha kuwa wananchi wote waliolima ndani ya eneo la hifadhi hiyo kinyume cha sheria wanaondoa mazao yao pamoja na kusitisha kabisa shughuli …

Read More »

WAZIRI MKUU AUTAKA MKOA WA PWANI KUBORESHA MAENEO YA UWEKEZAJI

PMO_8540

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha sabuni cha KEDS wilayani Kibaha, Bw. Jack Feni (Kushoto  kwake) kuhushu  mitambo ya  kiwanda hicho   hicho  wakati alipokitembela September 19, 2017.  Kulia kwake ni. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mahandisi Evarest Ndikilo na kulia ni Mbunge …

Read More »

JAFO AWAPONGEZA VIONGOZI WA DINI DODOMA

j (1)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akiongea na viongozi wa dini mjini Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini. Wanasemina wakifuatilia maelekezo katika semina ya siku tatu ya viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Dodoma. …

Read More »

BULEMBO ATANGAZA KUNG’ATUKA KUGOMBEA UENYEKITI JUMUIA YA WAZAZI

bule sasa

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na waandishi wa habari leo, Makao Makuu ya Jumuia hiyo jijini Dar es Salaam, kutangaza uamuazi wake wa kutogombea katika Jumuia hiyo. ———————————– NA BASHIR NKOROMO Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaji Abdallah Bulembo mchana huu ametangaza kujiondoa katika …

Read More »