Thursday , December 14 2017

Daily Archives: September 23, 2017

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 apatikana jijini Mwanza

supe

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza, Fatuma Msafiri akiimba wakati wa kumtafuta mkali wa kipaji cha kuimba jijini Mwanza    Msanii Chipukizi Lusinde Michael a.k.a Real Da Best akionesha umahiri wake wa kufoka foka kwenye mchuano wa kusaka kipaji cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii-1

TAREHE 22.09.2017 MAJIRA YA SAA 20:00HRS USIKU KATIKA KIZUIZI CHA TRA KILICHOPO BARABARA YA MWANZA KWENDA MUSOMA KATA YA ITUMBILI WILAYA YA MAGU MKOA WA MWANZA, WATU WAWILI WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. JAMES LAWRENCE, MIAKA 51, MKAZI WA TARIME – MARA, AMEKAMATWA AKIWA NA MIRUNGI KIASI CHA KILO 35, …

Read More »

MAYANGA ATAJA TAIFA STARS KUIVAA MALAWI

KOCHA-MKUU-MAYANGA

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Shabani Mayanga ametangaza kikosi kipya kitakachocheza na Malawi ‘The Flame’ katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Wiki ya FIFA kwa mechi za kimataifa …

Read More »

MHASHAMU PAULO LUZOKA AOMBA JAMII IUNGANE KUWALINDA ALBINO.

shikuba

Na Tiganya Vincent-RS-Tabora Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Tabora limeitaka jamii pamoja katika kuungana katika kuwalinda ,kuwaheshimu na kusihi nao watu wenye ulemavu wa ngozi ili nao waweze kutembea kifua mbele katika nchi hii kama walivyo watu wengine. Kauli hiyo ilitolewa jana mjini hapa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu …

Read More »

WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE KILIMO , MIFUGO ,UVUVI NA MAJI WAVUTIWA NA HUDUMA NZURI ZA IRINGA SUNSET HOTELI

masenza

Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza  akipokelewa na mkurugenzi wa    Iringa Sunset Hotel  Batsta Filipatali wakati wa  chakula cha jioni  kilichoandaliwa na ofisi ya  mkuu  wa  mkoa kwa  wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Maji, Maandalizi ya  chakula  katika   Iringa Sunset  Hoteli  kwa  ajili ya  …

Read More »

WAHANDISI WASISITIZA WASICHANA KUJITUMA MASOMO YA SAYANSI LINDI.

1

Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara, Bi. Liberatha Alphonce, akielekeza jambo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Nachingwea mkoani Lindi, kuhusu umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hesabu. Wanafunzi wa Shule ya …

Read More »

WAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA TAWI LA KAMPUNI YA MABATI ALAF DODOMA

MABA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage akifungua tawi la kampuni ya mabati ya ALAF  Dodoma. Kushoto ni meneja mkuu Upauaji  (roofing) wa Kampuni ya mabati  ALAF, Dipti Mohanty  akishuhudia ufunguzi huo. WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage Septemba 9, 2017 alifungua tawi la Kiwanda …

Read More »