Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (AUWSA), Mhandisi Ruth Koya (kushoto), Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro (katikati) na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe katika hafla ya kusaini wa mkataba wa utekelezaji wa mradi …
Read More »Monthly Archives: October 2017
Benki ya NMB yazinduwa kampeni ya mikopo nafuu ya nyumba kwa wateja
Meneja mikopo ya nyumba Benki ya NMB, Bi. Miranda Lutege (katikati ) akizungumza kwenye uzinduzi huo wa kampeni ya mikopo ya nyumba. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za wateja binafsi wa Benki ya NMB, Omari Mtiga kulia ni Meneja Mwandamizi wa Wateja Binafsi Benki ya NMB, Ally Ngingite …
Read More »MWAMUZI ALITUNYIMA PENATI MBILI DHIDI YA YANGA- MANARA
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Hajji Sunday Manara akitoa lawama kwa mwamuzi Hery Sasii katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC uliomalizika kwa sare ya 1-1 Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. KLABU ya Simbe …
Read More »VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA TANZANIA
SERIKALI YAWASILISHA MUSWADA WA SHERIA YA WAKALA WA MELI WA TAIFA
Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (mwenye koti) akifuatilia majadiliano baada ya kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Wakala wa Meli wa Taifa mbele ya Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu kwenye kikao kilichofanyika kwenye ukumbi …
Read More »VIDEO-Prof Elisante Akabidhiwa Rasmi Ofisi, Aahidi Kusimamia Uongezaji wa Thamani za Bidhaa
NAIBU WAZIRI NDUNGULILE: TUAMSHE ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KAZI ZA MAENDELEO
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo kwa watendaji wa Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakati alipotembelea Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma. ……………….. Na Kitengo cha Mawasilia WAMJW Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na …
Read More »MAVUNDE ASISITIZA KUWA NA NGUVU KAZI YA VIJANA WENYE UJUZI KATIKA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira) Mh. Anthony Mavunde akizungumza na vijana katika Chuo cha Ufundi Don Bosco kilichopo mkoani Kilimanjaro Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira) Mh. Anthony Mavunde akikagua maendeleo ya Vijana ambao wanasomeshwa na Serikali kupitia mpango wa Ukuzaji …
Read More »PROF. ELISANTE AKABIDHIWA OFISI
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimueleza jambo Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof Elisante Ole Gabriel wakati wa makibidhiano ya Ofisi,. Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara …
Read More »HII SI AKAUNTI YA RAIS KARIA
Kuna Akaunti mpya wa Twitter inazunguka katika mitandao ya kijamii. Akaunti hiyo yenye jina la Rais wa Shirikisho l Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeanza kutoa taarifa mbalimbali na kuchangia maoni kunakoelezwa kufanywa na Wallace Karia. TFF tunatangaza kuwa hatuitambui akaunti hiyo. Rais Karia hajafungua akaunti ya Twitter. Tunaomba …
Read More »NAIBU WAZIRI DKT. FAUSTINE NDUGULILE APOKEWA NA WATENDAJI WA IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII MAKAO MAKUU, MJINI DODOMA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akisalimiana na Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga wakati alipowasili katika Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee …
Read More »SPIKA NDUGAI MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA JUBILEE YA MIAKA 90 YA KANISA KUU LA ROHO MTAKATIFU, DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katika) akikata utepe wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 90 ya Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) yaliyofanyika leo katika Viwanja vya kanisa kuu la Roho Mtakatifu Mjini Dodoma. wa tatu kulia ni Askofu wa Dayosisi hiyo, Dkt. Dickson Chilongani. …
Read More »Taasisi Ya Elimu Ya Watu Wazima Yaendelea Kukuza Kwa Elimu Nchini
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Tate Ole Nasha (kulia) akisisitiza jambo kwa Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) Taaluma Utafiti na Ushauri Dkt. Kassimu Nihuka wakati wa ziara yake katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Mkurugenzi wa …
Read More »ORODHA YA MAKAMPUNI YA SIMU YALIYOTII AGIZO LA RAIS DKT. MAGUFULI KUJIUNGA NA MFUMO WA E-RCS
Kampuni za Smile Tanzania, Smart na Vodacom ndio kampuni pekee za simu ambazo hazijatii agizo la Mhe. Rais la kujiunga na Mfumo wa Kulipa Kodi Kielektroniki.
Read More »TAARIFA KUHUSU WALIOTEULIWA KUGOMBEA UDIWANI KATIKA KATA 43 ZITAKAZOFANYA UCHAGUZI MDOGO TAREHE 26 NOVEMBA, 2017
Tarehe 26 Oktoba, 2017, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilifanya Uteuzi wa Wagombea Udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo katika Kata 43 zilizopo kwenye Halmashauri 36 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 Novemba, 2017. Jumla ya Wanachama Wagombea 177 wa vyama mbalimbali walichukua Fomu ya Uteuzi Na. 8C na …
Read More »MHE. MKUCHIKA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUEPUKA RUSHWA, KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akipokewa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya …
Read More »RC MAKONDA AOKOA BILLION 1.11 KUFUFUA MAGARI MENGINE YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA YALIYOKUFA*
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa *PAUL MAKONDA* leo amekabidhi *Mabasi 10 chakavu* ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kampuni ya *DAR COACH LTD* kwaajili *kufufuliwa upya* na kuwa ya kisasa. *Mabasi hayo 10* chakavu yanatoka kwenye *Vyombo vya Ulinzi na Usalama* ikiwemo *Jeshi la Wananchi wa …
Read More »SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akiwasilisha Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mshahara Serikalini (HCMIS) kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya …
Read More »ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA KATIKA SHAMBA LA MITI SAO HILL NA KITUO CHA MALIKALE CHA ISMILA NA KALENGA MKOANI IRINGA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza alipotembelea shamba la miti Sao Hill kukakua shughuli mbalimbali zinazofanywa na shamba hilo mkoani Iringa hivi karibuni. Aliagiza uongozi wa shamba hilo kuongeza juhudi za upandaji miti ili kukidhi mahitaji makubwa …
Read More »CLINIC YA METHANONE ZANZIBAR YAPATIWA VIFAA VYA KUCHUNGUZA WATEJA WAO
Mratibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) Bi. Immaculate Nyoni akimkabidhi boksi lenye vifaa vya kupimia mkojo watumiaji dawa ya Methadon ambao wanatumia aina nyengine ya dawa kinyume na taratibu katika hafla iliyofanyika Kliniki Methadone Kidongochekundu. Rais wa watumiaji dawa ya Methadon Zanzibar …
Read More »LISHE BORA KWA WATANZANIA BADO NI TATIZO
Naibu Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile akiwasilisha taarifa ya utendaji wa shughuli za Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamiii inayoongozwa na Mwenyekiti wake Peter Serukamba(wa kwanza kulia) leo mjini Dodoma,ambapo imeonekana tatizo la ulaji wa chakula …
Read More »IGP SIRRO ATAKA JESHI LA POLISI KUDUMISHA MICHEZO
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa na viongozi wa Jeshi la Polisi Sambamba na Askari Polisi walioshiriki na kujinyakulia medali mbalimbali katika mashindano ya mchezo wa Taekwondo iliyo andaliwa na Ubalozi wa Jamuhuri ya Korea ukishirikiana na Chama cha walimu wa Taekwondo kutoka Korea. (Korean Taekwondo …
Read More »MSANII AKIL THE BRAIN APATA DILI KATIKA KAMPUNI YA SPECIOUS AFRIKA
Meneja wa Kampuni ya Specious Afrika Hennesseyy Mdendwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa lebo mpya iliyo chini ya kampuni hiyo, kulia ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Eliud Modest na kushoto ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Akil Mohamed. Msanii Akil Mohamed (kushoto) akizungumza …
Read More »RC Rukwa Aahidi kuimarisha Utendaji Kazi Wa Watumishi Wa Rukwa katika Sekta Zote
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joackim Leonard Wangabo (kushoto) na Mh. Zelote Stephen (Waliokaa) katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, Wakuu wa Wilaya pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa CCM Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joackim Leonard …
Read More »OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA WARSHA YA UZINDUZI WA MRADI WA KUJENGA UWEZO KWA TAASISI KATIKA UDHIBITI NA USIMAMIZI WA KEMIKALI NA TAKA SUMU
Mgeni Rasmi katika warsha ya uzinduzi wa Mradi wa kujenga uwezo kwa Tasisi katika udhibiti wa kemikali na taka sumu , Bwana Richard Muyungi ambaye ni Mkurugenzi idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais akiongea katika uzinduzi wa warsha hiyo. Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa …
Read More »KATIBU MKUU BIBI SIHABA NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga akiwashukuru wadau wa masuala ya watoto wakati wa kikao na wadau hao kutoka Shirika la JSI kujadili Rasimu ya Mfumo Jumuishi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mashauri ya Watoto na Mwongozo wa Kitaifa wa Utambuzi wa Watoto Wanaoishi …
Read More »Makandarasi Kukutana Jijini Dar, Kujadili Maendeleo ya Ukuaji wa Viwanda
Mwenyekiti wa Chama cha Makandarasi Mhandisi Lawrence Mwakyambiki (katikati) akieleza jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) katika utambulisho wa mkutano wa chama hicho utakaofanyika Novemba 17, 2017 Diamondi Jubilee Jijini Dar es Salaam,kulia ni Meneja Mauzo wa benki ya cba Bi.Kunenguda Dedede na kushoto ni Mkuu wa Masoko kutoka NMB …
Read More »UJENZI WA MELI MPYA ZIWA VICTORIA WAIVA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (mbele), akitoka kuangalia ukarabati wa meli ya Mv. Clarius, katika Bandari ya Mwanza, leo. Meli hiyo inatoa huduma katika visiwa vilivyo kwenye ziwa Victoria. Muonekano wa Meli ya Mv. Umoja yenye uwezo wa kubeba behewa 22. Meli hiyo inasafirisha mizigo kutoka …
Read More »RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza. Wananchi wa Butimba na Mkuyuni wakifurahi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao katika eneo la kona …
Read More »TIGO WAZINDUA KAMPENI MPYA YA TUMEKUSOMA
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma wa kampuni ya Tigo, David Umoh, pamoja na Mtaalam wa Huduma kwa Wateja, Kitengo cha Biashara, Sarah Cyprian wakizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa kampeni mpya ya Tumekusoma inayoendana na uzinduzi wa namba mpya ya huduma *147*00#. Namba *147*00# itawawezesha wateja wa …
Read More »