Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / October / 01

Daily Archives: October 1, 2017

VIJANA WASHAURIWA KUWATUNZA WAZEE

Poix 7

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwapungia mkono wazee wakati wakiingia kwa maandamano kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Mjini Dodoma Oktoba 01,2017. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana akitoa salamu za Mkoa kwa Mgeni Rasmi wa Siku ya …

Read More »

VIONGOZI WA DINI WAWAPINGE WANAOTAKA KUVURUGA AMANI-MAJALIWA

PMO_0145

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi na mbashiri mkuu wa Jumuiya ya waislamu wa Ahmadiya Tanzania,Tahir Mahmood, kabla ya kufungua mkutano mkuu wa 48 wa jumuiya hiyo Mbande, Temeke, Jijini Dar es salaam Oktoba 1, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waumini …

Read More »

CHUPA ZA DAMU 400 ZAKUSANYWA MWANZA

DSC03881 Uchangiaji damu

Meneja wa Kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Nitetee Foundation, Johansen Emmanuel akipima shinikizo la dmu kabla ya kutolewa damu katika uchangiaji damu wa hiari wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ashura jijini Mwanza jana Mkurugenzi wa Chuo cha Urembo cha NIFO Beauty College cha …

Read More »

TPB YAFUNGUA TAWI JIPYA MTO WA MBU – ARUSHA

DSC_0680

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Phillip Mpango akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Benki ya TPB mara baada ya kuwasili kwenye tawi la Benki hiyo , tayari kwa kulizindua. Kulia na Afisa Mkuu Mtendaji wa benki ya TPB, Sabasaba Moshingi Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Phillip Mpango akikata …

Read More »

TFDA Yasema: Usalama wa Dawa Umezidi Kuongezeka Nchini

1

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na katika mafunzo ya ulinganifu ya viwango vya dawa kwa wadhibiti wa viwango vya dawa Afrika Mashariki hivi karibuni.(Picha na Maktaba) …………………………………………………………………… Na: Mwandishi Wetu, MAELEZO Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kiwango cha ubora na usalama …

Read More »

TBL yaibuka kidedea tuzo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam

DSE 4

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango ,Dorothy Mwanyika,akikabidhi kikombe cha tuzo ya DSE  kwa Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Bruno Zambrano katika hafla ya tuzo za  Soko la Hisa kwa makampuni yaliyofanya vizuri iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt jijini Dar es Salaam (Katikati) ni Afisa Mtendaji Mkuu …

Read More »