Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / October / 02

Daily Archives: October 2, 2017

WAKAZI WA GEITA WATAKIWA KUWA MAKINI NA MATUMIZI YA MITANDAO

DSC_1814

Naibu  mkurugenzi toka mamlaka  ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Thadayo Ringo  akizungumza na waandishi wa habari wakati wa semina ya kuelekezwa namna ya kuhama  mtandao bila ya kubadilisha namba ya simu.   Mwandishi mwandamizi wa Nipashe na RFA Mkoani Geita Renatus Masuguriko akiuliza swali wakati wa semina. Mhandisi mwandamizi Mwesigwa Felician  …

Read More »

Liquid Fill Gauge Visual Composer Ready

It arrives packaged with an wonderful Web site Builder for utmost management about layout and layout. Decide on from a person of the 9 pre-designed household website page layouts to swiftly get your site up and managing. It also comes bundled with the #one slider plugin, Slider Revolution!rnBramblernError: Invalid emailrnError: …

Read More »

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BONDE LA NGORONGORO

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza …

Read More »

MAKONDAKTA NA WAPIGA DEBE MWANZA WAVUNJA UKIMYA

3

…Mwenyekiti wa umoja huo Mrimi Juma pamoja na Katibu wake Erick Felishian, wanasema umoja umedhamiria kuwa mfano bora katika jamii na kwamba umeanza kuchukua hatua za kinidhamu kwa baadhi ya Makondakta na Wapiga Debe wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo kuwapeleka polisi… Kaimu Afisa Mtendaji Kata ya Nyamagana Jijini Mwanza, …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AWASILI NGORONGORO

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mabinti wa Kimasai waliojitokeza wakati wa mapokezi kwenye lango la kuingia kwenye hifadhi ya Ngorongoro ambapo anategemewa kuzindua Makumbusho Mpya ya Olduvai kesho tarehe 3, Oktoba 2017. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Read More »

Maandalizi ya Utafiti wa mafuta Ziwa Eyasi, Tanganyika Yaanza

Picha Na 2

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani, (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha wataalam kutoka Uganda,  Idara ya Nishati, Wizara ya Nishati na  Madini, Shirika la Maendeleo  ya Petroli  Tanzania (TPDC) na Mamlaka  ua Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA) kabla ya kuanza ziara katika Ziwa …

Read More »

Azam Media Kuandaa Tamasha la Kimataifa la Filamu kukuza Kiswahili

Z1

Mratibu wa Tamasha la Kimataifa la Sinema Zetu, Bi. Zamaradi Nzowa akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Balozi wa tamasha hilo Bi. Elizabeth Michael(Lulu) na Mtendaji Mkuu wa SZIFF Bw. Jacob Joseph. ……………… Na Thobias Robert. 02/10/2017 Kampuni ya …

Read More »

DC MTATURU AWATAKA WANANCHI KUHIFADHI FEDHA ZAO BENKI

1

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza wakati akifungua wiki ya Huduma kwa mteja katika Benki ya NMB Tawi la Ikungi lililopo Wilayani humo Mkoani Singida. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza wakati akifungua wiki ya Huduma kwa mteja katika Benki ya NMB …

Read More »

MUSSA ZUNGU AKAGUA MABORESHO YA BARABARA UPANGA

1

Mbunge wa Ilala Mussa Zungu (kushoto)   NA BASHIR NKOROMO MBUNGE wa Ilala, Dar es Salaam, Mussa Azzan Zungu, amesema ameridhishwa na kiwango cha ujenzi wa Barabara ya Olympio, katika kata Upanga Mashariki, huku akilalamikia ujenzi wa Barabara ya Mtaa wa Mfaume ambayo ujenzi wake umekwama. Zungu amesema hayo leo …

Read More »

PRECISION AIR YAANZA SAFARI RASMI ZA SERENGETI KUPITIA ARUSHA

1

SHIRIKA la ndege la Precision Air (PW) jana lilizindua safari zake za Serengeti mkoani Mara, kupitia Uwanja wa Ndege wa Arusha Uwepo wa safari hizo za ndege utasaidia usafirishaji wa watalii kutoka nchi mbalimbali duniani na ndani ya Tanzania kutembelea hifadhi ya Serengeti kirahisi jambo ambalo litachangia ukuaji wa uchumi …

Read More »

UTAFITI WA KILIMO KUFANYIKA NCHI NZIMA KUANZIA KESHO

PICHA 1

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya wadadisi wa Utafiti wa Takwimu za Kilimo kwa mwaka 2016/17 mkoani Dodoma. Utafiti huo wa Takwimu za Kilimo utafanyika nchi nzima kuanzia  tarehe 3 Oktoba na kumalizika tarehe 3 Novemba, 2017. Mgeni …

Read More »

Mawakala wa mashindano ya urembo wabanwa

warembo na Hoyce

Na Mwandishi wetu Uongozi wa  Kampuni ya Lino International Agency  Limited inayoandaa mashindano ya Mrembo wa Tanzania (Miss Tanzania)  kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa nchini (Basata) imefanya marekebisho ua Kanuni, Sheria na Taratibu za mashindano ya urembo nchini. Marekebisho hayo yamefanywa ili kuyafanya mashindano ya  Miss Tanzania nchini kuwa …

Read More »

Benki ya NMB yazindua wiki ya huduma kwa wateja, yaahidi kuboresha huduma

url

……………………………………………………………………. BENKI ya NMB Tanzania imezindua wiki ya huduma kwa wateja ambapo imeahidi kuboresha zaidi huduma kwa wateja wake wa sasa na kuwafikia wananchi ambao bado hawajapata huduma za kibenki katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Tanzania, Ineke Bussemaker katika uzinduzi wa Wiki …

Read More »

MENEJA KONDOA MINNIG AIBA MASHINE YA WACHIMBAJI

images

Na Mahmoud Ahmad Kondoa Suala la Mgogoro wa Kikundi cha wachimbaji wadogo(KUMUCHA GROUP) na kampuni ya Kondoa minning limechukuwa sura mpya baada ya Meneja wa kampuni hiyo Ismail Kidee kuiba mashine ya wachimbaji kwa madai ya kuinunua ili kuwashinikiza wachimbaji kufanya nae kazi huku akitambua kuwa bado eneo hilo lina …

Read More »

BAADA YA KUTUMBUA BODI YA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI MBOMIPA, WAZIRI MAGHEMBE APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AGIZO ALILOTOA LA KUUNDWA UPYA KWA KATIBA

2

  Na Hamza Temba – WMU ………………………………………………………….. Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amepokea taarifa ya utekelezaji wa agizo alilotoa la kuundwa upya kwa katiba ya Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA na kuagiza rasimu hiyo ifanyiwe marekebisho ya mwisho kabla ya kuwasilishwa kwa wananchi kwa ajili ya …

Read More »