Monday , February 18 2019

Home / 2017 / October / 03

Daily Archives: October 3, 2017

MOURINHO ANG’AKA KISA LUKAKU KUUMIA KWENYE TIMU YA TAIFA

Lukaku-new-2-1

Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku anasumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu na kuna uwezekano akakukosa mchezo wa timu yake ya taifa ya Ubelgiji dhidi ya Bosnia. Lukaku amefanyiwa vipimo kujua ukubwa wa tatizo la afya yake na bado haijajulikana kama ataweza kucheza wiki hii katika majukumu yake ya …

Read More »

MHASIBU AHUKUMIWA JELA KWA KUMKASHIFU RAIS MAGUFULI

prisoner-jail

Mhasibu wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Joseph, Elizabeth Asenga (40) amehukumiwa kulipa faini ya Sh 5 milioni ama kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa na hatia katika shitaka la kutuma ujumbe wa kumkashifu Rais John Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp. Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Huruma Shaidi, …

Read More »

JPM Aitaka Alat Kuongeza Kasi ya Ukusanyaji Mapato

a15

Na. Paschal Dotto- MAELEZO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka watendaji wa Serikali za Mitaa kusimamia wananchi wao kulipa kodi ili kuimarisha huduma za jamii kwa watanzania kwani kodi itaongeza mapato na kuboresha huduma za jamii. Akizungumza  leo jijini Dar es Salaam  katika mkutano …

Read More »

IDADI YA VIFO KATIKA SHAMBULIZI LA RISASI LAS VEGAS YAFIKIA 59, MUHUSIKA WA TUKIO AMEKUTWA AMEKUFA HOTELINI

onge

Idadi ya vifo katika shambulizi la risasi katika hoteli ya Mandalay Bay mjini Las Vegas yafikia 59 na waliojeruhiwa 500.muhusika wa tukio amekutwa amekufa. Polisi wamemtaja muhusika wa shambulio hilo Stephen Paddock mwenye miaka 64 aliyekuwa anafyatulia risasi katika umati wa watu waliokusanyika katika Tamasha la mziki linalokadiliwa kuwa na …

Read More »

WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO

3

Serikali imesema  itahakikisha inaendelea kuwasimamia wakandarasi wa Ujenzi wa Barabara kuhakikisha wanajenga barabara  zote nchini kwa viwango vilivyokusudiwa  na kumaliza kwa wakati ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa leo jijini Dar es salaam mara baada …

Read More »

STARTIMES KUONYESHA KOMBE LA DUNIA MUBASHARA KUTOKA NCHINI URUSI 2018

IMG_5985

Mkurugenzi na Uendeshaji wa StarTimes Tanzania, Carter Luoh (katikati) akizungumzia juu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Kulia kwake ni Meneja wa Uendeshaji wa StarTimes Tanzania, Gasper Ngowi na Meneja Huduma kwa Wateja StarTimes, Henry Ngailo. Kampuni ya StarTimes Tanzania inayouza King’amuzi cha StraTimes, imetangaza kuwa, imepata haki …

Read More »

TIRA -YATOA MAFUNZO KWA ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MKOA WA PWANI KUKABILIANA NA WAMILIKI NA MADEREVA WANAOTUMI STIKA ZA BIMA FEKI

3

NA  VICTOR  MASANGU,  PWANI KATIKA kukabiliana na kupambana na  wimbi la wizi linalofanywa na  baadhi ya wamiliki wa  magari na pikipiki  kuamua kutumia stika za bima bandia hatimaye  Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za  bima  nchini (TIRA) imeamua kutoa mafunzo kwa askari wa kikosi cha usalamaa barabarani Mkoa wa Pwani …

Read More »

MANGULA NA KIONGOZI WA PALESTINA

BN643346

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula akizungumza na Naibu Namishina wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (FATAH) Dk. Uri Davis, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 3, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).

Read More »

DK.KIKWETE -NILIGUNDUA NA KIPAJI CHA KUCHEZA MPIRA WA KIKAPU NIKIWA SEKONDARI

1

Rais mstaafu wa awamu ya nne  ,Dk.Jakaya Kikwete, akionekana pichani ,wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wilayani Kibaha na Mkoa wa Pwani,walimu,wanafunzi na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari Kibaha,huko shirika la elimu Kibaha.(picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha RAIS mstaafu wa awamu ya nne ,Dk.Jakaya Kikwete ,amesema …

Read More »