Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / October / 04

Daily Archives: October 4, 2017

MWEKEZAJI WA ARSENAL AKANA KUTAKA KUUZA HISA ZAKE

_98144526_c85ea0f9-cc30-4eeb-9864-663ef963fc79

Mwekezaji wa pili kwa ukubwa katika klabu ya Arsenal, Alisher Usmanov, anasema kuwa hajafanya mazungumzo yoyote na mwenye hisa mkuu wa klabu hiyo Stan Kroenke kuhusu kumuuzia kiwango chake cha hisa katika klabu hiyo. Imeripotiwa kuwa Kroenke ambaye anamiliki asilimia 67 za hisa aliwasilisha ombi la kutaka kununua hisa za …

Read More »

SERIKALI YANUIYA KULETA MAPINDUZI KATIKA ZAO LA PAMBA

picha ya pamba

Selemani Jafo akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu uboreshaji na usimamizi wa Sekta ya Kilimo hususanni zao la Pamba.   Selemani Jafo (mbele) akizungumza na waandishi wa habari juu ya maboresho za Kilimo hususanni zao la Pamba. …………….. Nteghenjwa Hosseah, Tamisemi Dodoma. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za …

Read More »

TANZANIA NA UINGEREZA ZAJADILIANA KUHUSU BIASHARA NA UWEKEZAJI

IMG_0881

Mwakilishi wa masuala ya biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Bw. Lord Clive Hollick (kushoto) akizungumza kuhusu ushirikiano wa kibiashara na Tanzania alipokutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu (hayupo pichani), katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar …

Read More »

KAULI YA RC MAKONDA BAADA YA JPM KUMPA ‘TANO’

Mhe.-Paul-Makonda-Mkuu-wa-Mkoa-wa-Dar-es-salaam-1068x801

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kutaka Wakuu wa mikoa wengine kuiga utendaji kazi wa Paul Makonda ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,  Mkuu wa mkoa huyo amemshukuru Rais Magufuli na wananchi wa Dar es salaam kwa kumpa ushirikiano. RC …

Read More »

YALIYOJIRI KORTINI KUHUSU KESI YA VIONGOZI WA SIMBA

1

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ hadi October 11, 2017 kwa sababu upelelezi haujakamilika.   Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Leornad Swai amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa kuwa shauri hilo limeitishwa kwa …

Read More »

JUMAPILI:YANGA KUJIPIMA NGUVU NA TIMU YA KMC

IMG-20171004-WA0029[1]

Kikosi cha timu ya Yanga siku ya jumapili kinataraji kushuka dimbani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya KMC inayoshiriki ligi daraja la kwanza. Afisa Habari msaidizi wa Yanga,Godlsiten Anderson Chicharito amesema kwamba mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Azam Complex ulioko Chamazi. Chicharito alisema kwamba kocha mkuu wa …

Read More »

SHIRIKA LA WOTESWA LAWANOA WAANDISHI WA HABARI JIJINI MWANZA

1

Na George Binagi-GB Pazzo Mratibu wa Shirika la kutetea haki za watoto wafanyakazi wa majumbani WOTESAWA, Cecilia Nyangasi (pichani juu) amesema shirika hilo limejiwekea mikakati ya kuhakikisha kwamba hadi kufikia mwaka 2020 kusiwepo na mtoto chini ya umri wa miaka 18 ambaye ameajiriwa kufanya kazi za nyumbani.   Nyangasi ameyasema …

Read More »

TCAA KUBORESHA MIUNDOMBINU UONGOZAJI NDEGE

picha 5

Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji Ndege Bw. Tuju Sharali akitoa maelezo kwa waandishi wa habari katika chumba maalumu kinachotumika kurusha na kutua ndege mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha juu cha kuongozea ndege wakiwa katika …

Read More »

BALOZI WA MOROCCO ATEMBELEA TADB

DSC02843

Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa Abdelilah Benryane (kulia) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Ofisi za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Morocco (GCAM), Bw. Jamal Eddine …

Read More »

MARUFUKU KUWAKAMATA WAUGUZI BILA YA KUFUATA TARATIBU-MAJALIWA

PMO_4572

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) ambao umeanza leo Oktoba 4,2017 Mkoani Lindi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mwenezi msaidizi wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Johari Yusuf, baada ya ufunguzi wa Mkutano wa chama cha wauguzi …

Read More »

Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji

TD1

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi leseni ya uchapishaji wa Jarida la “TADA Newsletter” Katibu Mtendaji wa Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia Tanzania (TADA) Dinesh Vaishnav leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU

DSC_2388

Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu baada ya kuwasili wilayani hapo kwa ajili ya kuongoza maadhimisho ya siku ya utundikaji wa mizinga kitaifa yaliyofanyika jana mkoani humo. Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (kulia) …

Read More »