Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / October / 05

Daily Archives: October 5, 2017

WANANCHI MATUI WALILIA HUDUMA YA MAJI SALAMA

maji

Na Mahmoud Ahmad Matui Wananchi wa Mji Mdogo wa Matui wilayani Kiteto mkoani Manyara wameimba serikali kuwasaidia kuweza kupata huduma bora ya Maji kwani kwasasa wanatumia maji ya vidimbwi ambayo si salama kwa afya na inahatarisha kuweza kupata magonjwa ya milipuko. Wakizungumza na wanahabari waliotembelea mji mdogo wa Matui mmoja …

Read More »

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOA WA SONGWE

pic6

Afisa Usajili Wilaya ya Mbozi Ndugu Eckson Mwakyembe akiwa na Mtendaji wa Kijiji cha Mlowo Bi. Judith Mtega wakikamilisha fomu za maombi ya Usajili za wananchi wa vijiji vya Shuleni, Mtakuja, Mlowo na Kiwandani kata ya Mlowo wakati zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa likiendelea wilayani humo. Meneja Mifumo ya …

Read More »

Wadau wa Maendeleo Waaswa Kuchangia Sekta ya Elimu

1

Mkuu wa kitengo cha TEHAMA kutoka Tume ya Utumishi wa Walimu Bi Devotha Gabriel akimuelekeza Katibu msaidizi wa Tume hiyo Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma  Bw.  Antony  Damiano namna ya kutumia mfumo rasmi wa mawasiliano serikalini kwa njia ya mtandao, mapema leo katika Ofisi za Tume hiyo Wilayani humo. Katibu …

Read More »

WAGENI WOTE WENYE VIBALI VYA UKAAZI WANATAKIWA KURIPOTI KATIKA OFISI ZA UHAMIAJI ZILIZOPO KATIKA MAENEO WANAYOISHI NA KUFANYIA KAZI WAKIWA NA VIBALI VYAO

A-3-59

Idara ya Uhamiaji inapenda kuwafahamisha Waajiri, Wakurugenzi wa Makampuni, Taasisi mbalimbali na Wageni wote wanaoishi na kufanya kazi nchini kwamba wanatakiwa kuripoti na kuwasilisha taarifa za anuani zao zikiwemo na mabadiliko katika Ofisi za Uhamiaji zilizopo katika maeneo wanayoishi na kufanya kazi katika kipindi cha siku thelathini 30 tangu kutolewa …

Read More »

CCM Z’BAR YAFANYA UCHAGUZI WA NGAZI ZA WILAYA LEO

01

Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Mabodi akifungua mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya  Kaskazini “A”  kichama katika uchaguzi wa Wilaya  uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM MKoa wa kaskazini Unguja Mahonda. Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa, Dk. Hussein Mwinyi akifungua mkutano Mkuu wa CCM Wilaya …

Read More »

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, yatoa msaada wa vifaa vya intaneti kwa shule za mkoa wa Njombekondari Njombe leo.

UNE

    Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga (kushoto) Mkuu wa wilaya Wanging’ombe Ally Kasinge Katikati) Mkuu wa shule ya Sekondari Njombe Benard William  wakikata utepe kufungua kufungua  darasa la kusomea wanafunzi kwa njia ya mtandao. Msaada huo umetolewa jana na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo mkoani Njombe. Mkuu wa …

Read More »

Homa Ya Ini Bado Yaendelea Kuwa Tishio

003

Mkurugenzi wa Huduma za Tiba katika hospitali hiyo, Dk. Hedwiga Swai akisisitiza watu kujitokeza kupima afya ili kuthibiti homa ya ini pamoja na magonjwa mengine. Baadhi ya watumishi wa hospitali hiyo wakiwamo madaktari na wauguzi wakifuatilia kongamano hilo. Daktari Bingwa wa Magomjwa ya Mfumo wa Chakula na Ini, John Rwegasha …

Read More »

Wakazi Dar Kunufaika na Huduma ya Dawati la Mhasibu

T1

Mwenyekiti wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) Dkt. Fred Msemwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma ya Dawati la Mhasibu itakayofanyika tarehe 07 Oktoba 2017 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Dyoya James Dyoya na Afisa Mtendaji Mkuu …

Read More »

MAVUNDE ATIA FORA MKUTANO MKUU CCM WILAYA

mavunde (1)

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza katika mkutano Mkuu wa uchaguzi CCM wilaya ya Dodoma mjini. Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi CCM wilaya waliohudhuria Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Dodoma mjini aliyemaliza muda wake Paulo Luhamo akifungua mkutano Mkuu wa uchaguzi leo. Mbunge wa jimbo la …

Read More »

ZIJUE SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA SARATANI YA MATITI

close up of women with cancer awareness ribbons

Na Jumia Travel Tanzania   Saratani ya matiti ni miongoni mwa saratani inayomkumba zaidi mwanamke duniani na ndiyo inayoongoza kwa vifo vinavyotokana na saratani katika nchi zinazoendelea, ambapo watu takribani milioni 1.7 mwaka 2012 waligundulika kuwa na ugonjwa huo (kwa mujibu wa taarifa zilizopo hivi sasa). Viwango vya saratani duniani …

Read More »

JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO

jf (1)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akisisitiza jambo alipokuwa akikagua mfumo wa kielektroniki katika Kituo cha Afya Makole Manispaa ya Dodoma. Wagonjwa wakiwa katika dirisha la malipo kwenye kituo cha Afya Makole Manispaa ya Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akisalimia wagonjwa alipokuwa akikagua kituo …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 05.10.2017   MWANANMKE MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA WIZI WA MTOTO WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 04/10/2017 MAJIRA YA SAA 12:00HRS KATIKA BARABARA YA BUGANDO –IGOGO ILIOPO KATA YA IGOGO WILAYA YA NYAMAGANA …

Read More »