Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / October / 06

Daily Archives: October 6, 2017

SGA Security Launches Customer Services Charter

url

The highlight of the Customer Service Week for SGA Security was the launch of the Customer Service Charter. The company is positioning its operations to ensure that they remain attuned to the dynamic customer service requirements, more so in the ever changing business environment. The local market has witnessed companies …

Read More »

MPINZANI WA KAGAME DIANE RWIGARA AFIKISHWA MAHAKAMANI NCHINI RWANDA

_98169188_79c96210-de63-4147-88b3-ccc257d96bda

Mwanasiasa wa upinzani nchini Rwanda Diane Rwigara, mamake na dadake wamdefikishwa mahakamani mjini Kigali kwa mara ya kwanza wiki mbili baada ya kuzuiliwa na polisi. Watatu hao wameshitakiwa kuchochea uasi nchini, mashtaka wanayokanusha wakisema yana misingi ya kisiasa. Diane Rwigara alizuiwa kugombea kiti cha urais katika uchaguzi uliofanyika mwezi wa …

Read More »

SERIKALI YAHITIMISHA ZOEZI LA UHAKIKI WA NGOs NCHINI

Pix 1

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga(kushoto) akizungumza na wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na waandishi wa habari Mjini Morogoro wakati akihitimisha zoezi la uhakiki wa NGOs nchini ulioanza Mwezi Agosti Mwaka 2017 kulia ni Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bw. Marcel Katemba. …

Read More »

Promosheni ya Shinda Tiketi na ‘Zali la Mwanaspoti’ Yaziduliwa Dar

2

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communications,Francis Nanai(kutoka kushoto),Mhariri mtendaji wa magazeti ya Mwananchi Communications, Bakari Machumu, Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji kutoka Kampuni ya Sportpesa, Abbas Tarimba, Meneja Masoko Azam tv, John Mbele na Meneja Masoko Mwananchi Communications, Sarah Munema wakiwa na baadhi ya zawadi zitakazotolewa katika promosheni ya …

Read More »

IGP SIRRO AWASILI NJOMBE KWA ZIARA YA KIKAZI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwasili uwanja wandege wa Njombe, kwa ziara ya kikazi ya siku moja akitokea mkoani Ruvuma, ambapo atazungumza na maafisa na askari wa Jeshi hilo kuona changamoto wanazokutananazo wanapotekeleza majukumu yao na namna ya kuwasaidia. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) …

Read More »

INIESTA AONGEZA MKATABA MPYA NA BARCELONA SASA KUZEEKEA HAPO

iniesta milele

Kiungo mkongwe na nyota wa Barcelona, Andres Iniesta amesaini mkataba wa maisha na klabu hiyo. Iniesta amekubali kubaki Barcelona milele na hats baada ya kustaafu ataendelea kufanya kazi mbalimbali za klabu hiyo. Maana yake, Iniesta hawezi kujiunga na klabu nyingine yoyote. Iniesta ana vikombe 30 alivyobeba na Barcelona, kikombe cha …

Read More »

IGP SIRRO ATOA WITO KWA WANASIASA

3

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, ametoa wito kwa wanasiasa kutokuliingilia Jeshi la Polisi na kuliacha liendelee na kazi zake za uchunguzi na kuhakikisha suala la usalama wa raia na mali zao unazidi kuimarika. IGP Sirro, ameyasema hayo akiwa mkoani Njombe kwa ziara ya kikazi ya siku …

Read More »

MANJI AACHIWA HURU KESI YA MADAWA YA KULEVYA

DSC_0244

  MFANYABIASHARA maarufu nchini, Yusuf Manji ameachiwa huru katika kesi ya madawa iliyokuwa ikimkabili baada ya mahakama kushindwa kuthibitisha madai hayo. Akisoma huku hiyo Hakimu wa Mahakama ya Kisutu, Cyprian Mkeha amesema mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya upande wa mashtaka kushindwa kutoa ushahidi wa kujitosheleza hivyo mahakama hiyo …

Read More »

AREPEB Kuendeleza Amani Nchini

Pix 01

Mwenyekiti wa Bodi katika mikutano Mikuu toka Shirika la Alpha and Omega Reconciliation and Peace Building (AREPEB) Yohana Mcharo (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa mfumo wa Kieletroniki wa ukuzaji amani, Haki za Binadamu na misingi ya utawala bora, katikati ni Mwenyeki wa bodi …

Read More »

WALENGWA WA TASAF WATAKIWA KUJIUNGA PAMOJA KUKABILIANA MAGONJWA YA KUKU

Kuku-kupatana

Na Tiganya Vincent RS-Tabora WALENGWA wa Mpango wa kunusuru kaya Maskini unaoratibiwa na  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) wametakiwa kuanzisha vikundi vya ufugaji kuku ili waweze kuunganisha nguvu zao kwa ajili ya kutafuta dawa za chanjo zitakazowasaidia kukabiliana na ugonjwa wa mdodo na kideri(Newcastle diasese) ambao umekuwa ukiwasababishia hasara. Kauli hiyo …

Read More »

MKURUGENZI KAZAMOYO ENGLISH MEDIAUM MIRERANI AIASA JAMII

IMG_20170928_170243

Mwanafunzi wa darasa la saba wa shule ya msingi Kazamoyo English medium Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Monica Raphael akipokea cheti cha kuhitimu elimu ya msingi kwa mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite Daudi Silvester kwenye mahafali ya nne ya shule hiyo , (kushoto) ni mwalimu mkuu wa shule hiyo Tommie Isangya …

Read More »

WIZRA YA FEDHA NA MIPANGO YAANZISHA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UTOAJI HATI ZA MALIPO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA

wizara+ya+fedha_1

Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango inaendelea na juhudi za kusimamia, kudhibiti na kurahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali za kifedha ikiwemo mishahara ya watumishi na wastaafu wa Umma. Aidha, Mifuko ya Hifadhi za Jamii, Mashirika ya Bima, Mabenki, Taasisi za Fedha, Saccos na wadau wengine wameendelea kufanikisha utoaji huduma …

Read More »

Muhimbili Yapewa Msaada wa Thamani Sh10 Milioni NMB

00001

Meneja wa NMB tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Lukas Malua akikabidhi msaada wenye thamani ya Sh 10 milioni kwa Kaimu Mkurugezi wa Uuguzi wa hospitali hiyo, Zuhura Mawona. Msaada uliokabidhiwa leo ni magodoro 35, mashuka 100 na vitanda vitatu. ………… Kaimu Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa …

Read More »

MEYA WA KINONDONI AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUCHANGAMKIA HUDUMA ZA DCB PESA, AITAKA BENKI HIYO KUPELEKA HUDUMA YA DCB PESA MIKOANI

0f93b823-4fd3-46f8-bc3b-729c38787c3a

Mstahiki Meya wa manispaa ya kinondoni Benjamin Sita Azindua huduma ya kipesa ya “DCB JIRANI” na “DCB PESA” sambamba na Makumu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Pro. Lucian Msambichaka(kulia) na mkurugenzi mtendaji wa DCB Edmund Mkwawa Katika kuboresha huduma za kibenki, Benki ya DCB sasa imeanzisha huduma za kibenki kwa …

Read More »