Friday , January 18 2019

Home / 2017 / October / 07

Daily Archives: October 7, 2017

IWOBI AIPELEKA NIGERIA KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

4521BCA800000578-0-image-a-62_1507414741782

Goli la dakika ya 70 la Mshambuliaji wa Timu ya Arsenal ya Uingereza,Alex Iwobi ameipeleka Nigeria kombe la Dunia mwaka 2018 litakalofanyika nchini Urusi baada ya kuifunga Zambia goli 1-0. Nigeria imefikisha pointi 13 na kuwa Taifa la kwanza kufuzu kutoka bara la Afrika hata hivyo Mpira ulikuwa Mgumu kwa …

Read More »

BENKI YA NMB YAWANOA WALIMU MKOANI GEITA

url

      UTAFITI nchini Tanzania unaonesha kuwa bado kuna idadi kubwa ya Watanzania ambao hawatumii mfumo rasmi wa uifadhi fedha kibenki kutokana na kukosa elimu za kibenki. Utafiti unaonesha ni zaidi ya asilimia ishirini (20) tu ndio wanaotumia huduma za kibenki. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

IGP SIRRO AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, alipowasili mkoa humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia pamoja na kuwakumbusha …

Read More »

SGA SECURITY YAZINDUA CHATA MPYA YA HUDUMA KWA WATEJA

url

Kampuni ya Ulinzi ya SGA imezindua chata mpya ya huduma kwa wateja ikiwa ni sehemu ya maadhinisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Akizindua chata hiyo mpya, Mkurugenzi Mtendagi wa SGA Tanzania, Eric Sambu alisema kampuni hiyo inaweka mikakati madhubuti ili kuendana na matakwa na mahitaji ya wateja wao hasa …

Read More »

Tanzania kunufaika na mafunzo ya KAIZEN kutoka Japan

PICHA 1

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Mradi wa KAIZEN ya siku tano wakifuatilia somo kutoka kwa mmoja ya wakufunzi  kutoka Japan mapema leo Jijini Dar es Salaam. Mkufunzi mkuu wa Mradi wa KAIZEN kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bi. Jane Lyatuu akieleza umuhimu wa Mradi huu kwa ukuaji …

Read More »

RAIS WA TFF KARIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Karia-mpya

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya wanafamilia wawili wa soka vilivyotokea Oktoba 5, 2017 kwa nyakati tofauti. Taarifa ambazo TFF imezipata zinasema waliofariki dunia siku hiyo ni aliyekuwa Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania …

Read More »

GORA MWENYEKITI CCM WILAYA KONDOA ILA UCHAGUZI WAGUBIKWA NA RUSHWA

index

Na Mahmoud Ahmad Kondoa Mwenyekiti wa CCM aliemaliza mda wake Othman Gora ametetea kiti chake baada ya kuwabwaga wagombea wenzake kwa kura 676 sawa na asililimia 76 ya kura zote 1092 zilizopigwa katika uchaguzi ambao siku mbili kabla ya uchaguzi huo viongozi walionekana wakitoa rushwa za wazi kwa wajumbe ilikujipanga …

Read More »

Z ANTO-KACHEZE UNAPOCHEZA (OFFICIAL VIDEO)

Z nto

Msanii mkongwe wa muzik nchinii, Z Anto ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kacheze Unapochezaga’ chini ya label yake mpya ya ‘Lavi Davi Entertainment’. Video hiyo imeandaliwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studio. Muimbaji huyo kipindi cha nyuma amewahi kufanya vizuri na wimbo kama ‘Mpenzi Jini’ na nyingine nyingi.

Read More »

MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UMWAGILIAJI GEREZA LA KILIMO IDETE, ATAKA MKANDARASI ACHUKULIWE HATUA KALI KWA KUUTELEKEZA UJENZI WA MRADI HUO WA MABILIONI

PIX 2

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia), Mkuu wa Magereza Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Mzee Nyamka (kushoto), pamoja na Maafisa wengine wa Jeshi hilo, wakitoka katika Gereza la Kilimo Idete lililopo Ifakara, mara bada ya Naibu Waziri huyo kupokeataarifa ya Ujenzi wa …

Read More »

MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA NA UWEKEZAJI YAFANA DAR

IMG_9897

Ssehemu ya wananchi wakitoka kwenye semina ya ufugaji bora wa samaki wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji iliyoandaliwa na Taasisi ya NUEBRAND EC kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Joachim Komba wa Taasisi ya Eden …

Read More »

WAZIRI UMMY AIBEBA AFRICAN SPORTS YA JIJINI TANGA

IMG-20171006-WA0039

 WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu katikati akiteta jambo na wachezaji wa timu ya African Sports kabla ya kuwakabidhi hundi milioni 2.1 leo       WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kulia akimkabidhi nahodha wa timu ya …

Read More »

Expository Essay as the ideas formulating essays

Expository Essay as the ideas formulating essays Meaning of an expository essay Expository is known as a synonym for knowledge that needs to be very clear and brief. A great way to find from for the true foot in creating an expository essay is to remember that the basis of …

Read More »