Monday , February 18 2019

Home / 2017 / October / 08

Daily Archives: October 8, 2017

IGP SIRRO AWAJENGEA UWEZO ASKARI WA MBEYA

4

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya, aliokutananao Ofisi ya Mkuu wa mkoa huo leo, IGP Sirro, yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna …

Read More »

CUF kusimamisha Wagombea Uchaguzi Mdogo wa Madiwani

COVER-660x400

Chama cha Wananchi (CUF) leo kimetangaza nafasi za wagombea wa ngazi ya madiwani katika kata 43 za Tanzania Bara baada ya Tume ya Uchaguzi (NEC) kutangaza kuwa kampeni za Uchaguzi huo zitaanza tarehe 27 Octoba mwaka huu, …………………………………………………………………. Akitangaza nafasi hizo za wagombea Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi CUF …

Read More »

Safari Lager ya TBL, bia kinara barani Afrika 2017

ARUSHA TBL 6

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL-Arusha wakisherekea mafanikio ya kiwanda Baadhi ya wafanyakazi wa TBL-Arusha wakisherekea mafanikio ya kiwanda Tuzo na cheti cha ushindi  ……………………………………………………………………………. Kampuni ya TBL Group chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABINBEV inazidi kung’ara kimataifa kutokana na kiwanda chake cha TBL cha Arusha kushinda tuzo kubwa …

Read More »

UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA

PIC7

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (wa kwanza kushoto) akitazama moja ya malighafi inayotumika katika ujenzi wa maegesho mapya ya Lindi Kitunda unaondelea Mkoani Lindi. Maegesho hayo yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa kiasi kikubwa  kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo …

Read More »

MAHAFALI YA KWANZA YA DARASA LA SABA NA PRE – UNIT SHULE YA LITTLE TREASURES SHINYANGA YAFANA

LA SA

Leo Jumamosi Oktoba 7,2017 kumefanyika mahafali ya kwanza ya Darasa la Saba katika shule ya msingi Little Treasures “Little Treasures Nursery & Primary School” iliyopo katika kijiji cha Bugayambelele kata ya Kizumbi katika manispaa ya Shinyanga. …………………………………………………………………………. Mbali na kufanyika kwa mahafali hayo ya darasa la saba pia kumefanyika mahafali …

Read More »