Sunday , August 19 2018

Home / BIASHARA / Tigo yatoa zawadi kwa washindi wa promosheni ya ‘nunua simu na ushinde

Tigo yatoa zawadi kwa washindi wa promosheni ya ‘nunua simu na ushinde

 
Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) akimkabidhi zawadi ya seti ya televisheni  Amina Nachunga, mojawapo ya washindi wa promosheni ya nunua simu na ushinde  jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi sita wamejinyakulia zawadi za luninga na pikipiki katika promosheni hiyo inayoendelea, ambapo Tigo inawazawadia wateja wake wanaonunua simu aina ya Tecno S1 na Tecno R6 kutoka kwa maduka ya Tigo nchini kote.

 

Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) akimkabidhi zawadi ya pikipiki Amina Khalfan, mojawapo ya washindi wa promosheni ya nunua simu na ushinde  jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi sita wamejinyakulia zawadi za luninga na pikipiki katika promosheni hiyo inayoendelea, ambapo Tigo inawazawadia wateja wake wanaonunua simu aina ya Tecno S1 na Tecno R6 kutoka kwa maduka ya Tigo nchini kote.

 

About bukuku

Check Also

9

BENKI KUU YA TANZANIA YAPONGEZA UBUNIFU WA BENKI YA NMB KATIKA KURAHISHA HUDUMA ZA KIBENKI NCHINI

Naibu Gavana Usimamizi wa Fedha  Benki Kuu ya Tanzania(BoT)Dk.Benard Kibese akizungumza wakati wa uzinduzi wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

fourteen − twelve =