Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / October / 09

Daily Archives: October 9, 2017

WAZIRI DK. FAUSTINE NDUGULILE AANZA KAZI

nd4

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Dkt. Faustine Ndugulile akisaini kitabu baada ya  kupokewa na wafanyakazi mbali mbali kutoka Wizara ya Afya baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Picha …

Read More »

USAJILI WAPAMBA MOTO ARUSHA, WANANCHI WAHAMASIKA KUJISAJILI

DSC04491

Diwani wa Kata ya Themi (Chadema) Mhe. Melance Kinabo akikagua namna shughuli za Usajili Vitambulisho  vya Taifa zikiendelea katika kituo cha Nanenane. Diwani kwa kushirikiana na uongozi wa Kata wamekuwa na jukumu kubwa la kuhamasisha wananchi kushiriki kwa wingi kwenye zoezi hilo. Wananchi Wilaya ya Arusha wakichukuliwa picha na mashine …

Read More »

VIDEO:KLABU YA NDANDA KUNG’OA MABANGO YA WADHAMINI

ndanda

Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya ndanda fc yenye maskani yake manispaa ya mtwara mikindani imeukana udhamini wa kampuni ya maxcom limited na kiboko ambapo awali ulitangaza kutoa udhamini kwa klabu hiyo hivyo kuleta mvutano pande mbili kati wanachama na uongozi ambpo wanachama wandai kuwa na wadhamini wanne na huku …

Read More »

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA MKOA WA GEITA

pic7

Wananchi wa mtaa wa Station kata ya Mtakuja Halmashauri ya Mji Geita katika foleni wakisubiri kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa, wakati wa zoezi la usajili linaloendelea mkoani humo. Wananchi kata ya Bulela Halmashauri ya Mji Geita wakisubiri huduma ya usajili wakati wa zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea  Mkoani …

Read More »

TAMASHA LA TIGO FIESTA LAACHA GUMZO MKOANI NJOMBE

Rostam

  Wasanii wa kizazi kipya wa kundi la Rostam wakiwa kwenye staili ya aina yake kwenye jukwaa la tamasha la  Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi.   Msanii Ommy Dimpoz akitoa burudani kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika  uwanja wa sabasaba mjini …

Read More »

WASHINDI WA TIGO FIESTA SUPANYOTA 2017 NJOMBE

gon1

    Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe,  Diana Matimbwa  wa Njombe  akiimba kwa hisia wakati wa mashindano hayo mwishoni wa juma lililopita.   Mashabiki wakimnyanyua Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe, Tigama Chanika kutoka Makambako   Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe, Tigama Chanika kutoka Makambako  na …

Read More »

ARSENAL YAPATA PIGO BEKI KISIKI AUMIA AKIWA NA TIMU YA TAIFA

_98229254_getymustafi

Beki wa Arsenal Shkodran Mustafi aliumia kipindi cha kwanza katika mechi ambayo mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Ujerumani walikamilisha rekodi ya asilimia 100 katika Kundi C la kufuzu kwa michuano ya mwaka ujao nchini Urusi kwa kuwalaza Azerbaijan 5-1. Mustafi alichechemea na kuondoka uwanjani kutokana na kile kilichoonekana kama …

Read More »

WAZIRI MBARAWA AWATAKA WAFANYAKAZI KUFANYA KAZI KWA UADILIFI

4

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Atashasta Nditiye (Wa pili kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng. Joseph Nyamhanga (Kushoto) wakati alipokaribishwa katika ofisi za Wizara leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi Dkt. Leonard Chamuriho na Wa pili kushoto Katibu …

Read More »

WAZIRI JAFO ATETA NA WATUMISHI WA TAMISEMI

1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Katikati) akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ndogo ya TAMISEMI – Dar es salaam baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam. Kuliani Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda na kushoto kwake ni Naibu …

Read More »

MUHIMBILI YAPOKEA WATAALAMU 16 KUTOKA CUBA

IMG_0641 - Copy

Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya(katikati) akieleza jambo wakati wa kuwakaribisha wataalamu 16  kutoka nchni Cuba wakiwemo Madaktari Bingwa 6 pamoja na Wauguzi wa Chumba cha  uangalizi maalumu kwa wagonjwa mahutiti mapema leo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar …

Read More »

DK.MABODI ATOA NASAHA NZITO KWA MAKADA WA CCM

106 (3)

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi akifungua Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B”  huko Mahonda katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo. Baadhi ya Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B”  wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi Naibu Katibu …

Read More »

KIGWANGALLA ATANGAZA VITA DHIDIYA MAJANGILI

K1

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Andrea Kigwangala akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na …

Read More »

WAANDISHI WA HABARI WAMETAKIWA KUIBUA HABARI ZA VIJIJINI

SAM_2145

Waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika mafunzo ya uandishi wa habari za vijijini mkoani Morogoro ,Semina hiyo imeratibiwa na umoja wa vilabu vya habari Tanazania(UTPC) Mwezeshaji wa semina Joe Nakajumo akifundisha katika mafunzo hayo leo Mkoani Morogoro Kushoto ni Noria Damian ,katikati Editha Carlo pamoja Happines Mtweve wakifatilia …

Read More »

MTIHANI KWA WAAMUZI DARAJA I NA II

Waamuzi

Kutakuwa na mtihani na zoezi la utimamu wa mwili (Fitness Test) kwa ajili ya waamuzi wa madaraja ya Tatu na Pili ili kuweza kuwapandisha madaraja kwa mujibu wa utaratibu. Zoezi hilo litajumuisha pia wale waamuzi wa Daraja la Kwanza walioshindwa mitihani hiyo mwezi Agosti, mwaka huu. Hivyo nao wanaruhusiwa kwenda …

Read More »

RAIS KARIA APONGEZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

hqdefault

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Oktoba 9, 2017 akiliapisha Baraza jipya la mawaziri, – Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ametuma salamu za pongezi kwa mawaziri wote wapya. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mhe. Rais Dk. …

Read More »