Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / October / 10

Daily Archives: October 10, 2017

KESI YA MSUKUMA NA MADIWANI NANE YAPIGWA TAREHE

DSC_2183

Mbunge wa Jimbo la Geita,na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Mkoani Geita ,Joseph Kasheku(Msukuma) akiteta jambo  nje ya mahakama baada ya kesi kuhailishwa   Baadhi ya wananchi ambao walijitokeza kusikiliza kesi hiyowakiwa nje ya mahakama.                   Normal 0 false false false …

Read More »

Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya

index

                                                      Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya                                                          ……………………………………………………………                                                              SOURCE   http://www.bbc.com/swahili/habari-41568233 Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa …

Read More »

NAIBU WAZIRI AWESO AKAGUA MIUNDOMBINU YA MAJI UBUNGO

2

Fundi wa DAWASCO akiendelea na kazi ya kurekebisha bomba lililopasuka eneo la Riverside, Ubungo. Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akizungumza na msimamizi wa matengenezo wa DAWASCO Kanda ya Tabata, aliyekuwa akisimamia matengenezo katika eneo la Riverside, Ubungo kwenye moja ya miundombinu ya maji iliyoharibika. Naibu Waziri wa …

Read More »

Dkt. Mwakyembe Azindua Tuzo za Filamu za SZIFF

P1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa …

Read More »

Waziri Kairuki aelezea vipaumbele vyake

Picha Na 1

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki  (kushoto) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake (hawapo pichani) Kulia ni Naibu  Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo. Kaimu Katibu Mkuu wa iliyokuwa  Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe (kushoto mbele) pamoja na watendaji wengine wa Wizara wakifuatilia maelekezo  …

Read More »

ASKARI WA JWTZ WAUWAWA NCHINI DRC

1

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  linasikitika kutangaza vifo vya Askari wake wawili Koplo Maselino Paschal Fabusi na Praiveti Venance Moses  Chimboni,  ambao walikuwa katika Ulinzi wa Amani nchini DRC. Askari hao  wamefariki baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi na kundi la waasi tukio ambalo limetokea tarehe 09 …

Read More »

KOCHA TOTO AFRICANS AZUIWA KUKAA BENCHI

TOTO AFRICAN

Kocha wa Toto Africans, Almasi Moshi amezuiwa kukaa kwenye benchi la timu yake kutokana na kutokidhi matakwa ya Kanuni ya 72(3) ya Ligi Daraja la Kwanza kuhusu benchi la ufundi. Kwa mujibu wa Kanuni hiyo, Kocha Mkuu wa timu ya Ligi Daraja la Kwanza anatakiwa kuwa na Leseni ya chini …

Read More »

MWAMUZI AONDOLEWA LIGI KUU YA VODACOM

muhindi

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imemuondoa Mwamuzi Msaidizi Grace Wamara kuchezesha Ligi Kuu ya Vodacom kwa kukosa umakini na kutomsaidia Mwamuzi, hivyo kusababisha akubali bao lenye utata la Stand United dhidi ya Mbeya City. Wamara alikuwa Mwamuzi Msaidizi Namba Mbili kwenye mechi hiyo namba …

Read More »

UCHAGUZI BODI YA LIGI JUMAPILI HII

index

Uchaguzi wa Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) unafanyika Jumapili, Oktoba 15 mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wagombea saba wamepitishwa kuwania uongozi wa TPLB baada ya Kamati ya sasa kumaliza muda wote. Kamati mpya ya Uongozi itakayochaguliwa …

Read More »

CHADEMA MANISPAA YA IRINGA WAPATA PIGO TENA

kitu

   Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi  CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya akizungumza na wanachama wa chama hicho wakati wa kuwapokea wanachama wapya kutoka chama cha demokrasia na maendeleo manispaa ya Iringa akiwa sambamba na viongozi wa chama katika ofisi za CCM wilaya  pale sabasaba.  Edwin bashir ni katibu wa …

Read More »

TAIFA LA WATU 335,000 LAFUZU KOMBE LA DUNIA

_98244132_iceland

Iceland imekuwa nchi ndogo zaidi kuwahi kufuzu kwa Kombe la Dunia baada ya kuwalaza Kosovo 2-0 na kumaliza kileleni kundi lao la kufuzu kwa michuano hiyo itakayofanyika Urusi 2018. Iceland, ambao walifika robofainali Euro 2016, baada ya kuwaondoa England hatua ya 16 bora, ni taifa la raia 335,000 pekee. Ndiyo …

Read More »