Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / October / 11

Daily Archives: October 11, 2017

YASEMEKANA TECNO KUJA KIVINGINE

phantom 10

 Kwa hiyo inasemakana kaka wa wale wapenzi wawili, Mnyama yuko njiani kuja. Ndio umesikia sahihi, kizazi kifuatacho cha muendelezo wa Phantom kipo njani kutufikia. Shangwe kwa mfalme! Japo habari ni kuwa #Lejendari yupo njaini kufika ila natamani hii simu ingetoka mwezi huu October, tukiachana na hayo kuna mambo machache ambayo …

Read More »

Rejesheni Uadilifu, Uzalendo Nchini- Ole Nasha

100

Jonas Kamaleki- MAELEZO Serikali yawataka watanzania kurejesha nchi katika misingi iliyoachwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuwa na viongozi waadilifu,wazalendo na wenye uchungu na nchi yao. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. William Ole …

Read More »

WATUMISHI WA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU

01

Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Tume ya Utumishi wa Walimu Bi Devotha Gabriel akiwasilisha mada kuhusu matumizi bora ya TEHAMA na vifaa vyake kwa watumishi wa Tume hiyo Manispaa ya Dodoma mapema leo kabla ya kuwaunganisha katika mfumo rasmi wa mawasiliano ya Serikali kwa njia ya mtandao. Afisa Utumishi wa …

Read More »

VIGUTA WAWAPATIA UZALENDO KWANZA VIWANJA, NYUMBA MKOANI PWANI

IMG_1477

Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin (kulia) akishikana mikono na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere mara baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano ya kufanyakazi pamoja ambapo UZALENDO KWANZA NA VIGUTA watakuwa bega kwa bega kutoa elimu ya ujasiliamali Tanzania nzima katika hafla iliyofanyika jana …

Read More »

WANACHAMA YANGA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA KLABU YAO

hqdefault

Wanachama wa timu ya Yanga wakiwakilishwa na mwenyekiti na katibu wa matawi kutoka jijini Dar es salaam wameafikiana kuchangia klabu yao ili kutunisha mfuko wa kuiletea maendeleo klabu yao. Katika kikao kilichokaliwa Jumamosi makao makuu ya klabu mtaa wa Twiga na Jangwani kikiongozwa na Makamu mwenyekiti, Clement Sanga, wanachama hao …

Read More »

Mkaa wa Mawe Kuepusha Mauaji ya Vikongwe na Kutunza Mazingira

images

Jonas Kamaleki-MAELEZO Matumizi ya mkaa wa mawe wa kupikia yatapunguza ukataji miti ovyo na kuepusha uharibifu wa mazingira. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kampuni ya Accaso International Limited, William Kafipa katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii. Kafipa amesema mkaa wa mawe wa kupikia …

Read More »

Uzinduzi wa Mkutano wa 6 wa Utawala Bora wa EAC

No. 2

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba akifungua Mkutano wa 6 wa Mwaka wa Utawala Bora  Afrika Mashariki unaofanyika jijini Arusha Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Maudhui ya Mkutano huo ni Kuimarisha Demokrasia kwa ajili ya kuwezesha  Mtangamano …

Read More »

SITAHAMISHA MTUMISHI, NITATENGENEZA – WAZIRI JAFO

4

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo (katikati) akiwa na Naibu Mawaziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Sinkamba Kakunda (kulia) pamoja na Naibu Waziri Mhe. George Joseph Kakunda mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za OR TAMISEMI mjini Dodoma na kufanya kikao na Watumishi. …

Read More »

MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

DSC_8417

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia Friji la mbao na Vifaa mbali mbali  mbali vilivyotengenezwa na Jeshi la JKU wakati alipotembelea katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko   Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KIONGOZI WA JUMUIYA YA ISMAILI DUNIANI H.H. PRICE KARIM Al-HUSSAYNI AGA KHAN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

IMGS0119

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki kiongozi waJumuiya ya Ismailia duniani H.H. Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 11, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa …

Read More »

Vijana Group Waomba JPM Adhibiti Vijiwe Vya Pombe na Kamari

_MG_6536

Mwakilishi wa kundi la Vijana Group Bw.Timotheo Umbayda (kulia) akieleza jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)  kuhusu utafiti kwa vijana pamoja na utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano, katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Habari Idara ya habari –MAELEZO Bw.Frank …

Read More »