Thursday , November 15 2018

Home / 2017 / October / 12

Daily Archives: October 12, 2017

Upepo umebadilika kesi ya Mwana FA, AY na Tigo

AY

  Upepo umebadilika katika kesi baina ya Tigo Tanzania na wasanii maarufu wa mziki wa kizazi kipya, Hamisi Mwinyikuma maarufu MwanaFA na Ambwene Yesaya maarufu AY, baada ya Mahakama Wilaya ya Ilala kutupilia mbali pingamizi la awali lililowekwa na wasanii hao. Mahakama hiyo sasa imekubali kusikiliza maombi ya Kampuni ya …

Read More »

WADAU WA MICHEZO WATAKIWA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII

index

Na Mahmoud Ahmad Arusha Wadau wa michezo hapa nchini wametakiwa kujiunga na mifuko ya hifadhi za jamii ili wanufaike na huduma mbalimbali  zinazotolewa na mifuko hiyo pindi wanapostaafu michezo. Hayo yamebainishwa na afisa madai wa mfuko wa hifadhi ya jamii wa LAPF ,mkoa wa Arusha, Venance Mwaijibe kwenye hafla ya …

Read More »

WENGER APATWA NA MTEGO WA HABARI ZA UZUSHI

_95227513_wengerpa

Meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger ameangukia mtego wa habari za uzushi mtandaoni kwamba mchezaji nyota wa zamani George Weah ameshinda urais nchini Liberia. Ukweli ni kwamba matokeo ya uchaguzi huo wa Jumanne bado hayajatangazwa. Wenger alikuwa akihutubia wanahabari katika kikao cha kutoa maelezo kuhusu hali ya kikosi chake …

Read More »

IGP SIRRO AKAGUA MAABARA YA KISAYANSI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia), akimsikiliza kamishna wa Polisi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi (CP) Alice Mapunda, alipokagua Kamisheni hiyo kwa lengo la kuona namna wanavyofanyakazi pamoja na changamoto wanazokutananazo wakati wanapotekeleza majukumu yao. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kulia), …

Read More »

MSANII DAVIDO KUHOJIWA NA POLISI NCHINI NIGERIA KUFUATIA KIFO CHA RAFIKI YAKE

_98282433_e299b449-9b12-4085-a36c-771b90832e90

Polisi katika mji wa Lagos nchini Nigeria wanasema kuwa wanamchunguzua mwanamuziki Davido, ambaye jina lake kamili ni David Adeleke, kufuatia utata unaozunguka kifo cha rafiki yake Tagbo Umeike. Msemaji wa polisi aliiambia BBC kuwa Davido hachukuliwa kuwa mshukiwa wakati huu, lakini akathibitisha kuwa mwanamuziki huyo wa afrobeats, aliitwa kuhojiwa pamoja …

Read More »

POLISI WAUA WATUHUMIWA WALIOMJERUHI MEJA JENERALI MSTAAFU

IMG-20170919-WA0023

KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI NA KUPATIKANA KWA SILAHA AINA YA SMG RISASI KUMI NA TISA NA MAGANDA MAWILI Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 11.10.2017 majira ya saa nne kamili usiku huko maeneo ya Mbezi Mshikamano kwa Mgalula, askari walipata taarifa kutoka kwa FRANCIS MINDE miaka 30, mfanyabiashara …

Read More »

MAJOR LAZER WAACHIA VIDEO YA WIMBO “PARTICULA,” WAKIWA NA DJ MAPHORISA, NASTY C, ICE PRINCE, PATORANKING NA JIDENNA

unnamed

Kundi la watayarishaji wa muziki na Madj maarufu wa Marekani, Major Lazer limeachia video ya wimbo wao “Particula” iliyofanyika katika jiji la Johannesburg, Afrika Kusini na kuongozwa na mtayarishaji wa filamu, Adriaan Louw. Kwenye video hii yenye muonekano wa Kiafrika, wanaonekana mastaa wa Afrika Kusini, Dj Maphorisa na Nasty C, …

Read More »

KWA MARA YA KWANNZA WIZARA YA MADINI KUFANYA MNADA WA TANZANITE MIRERANI

PICHA 4

Madini ya Tanzanite yakipimwa kabla ya kuanza kufanyiwa mnada. Vifaa maalum( drum) vilivyohifadhia madini ya Tanzanite. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa , John Nayopa ( aliyesimama)akifatilia zoezi la uthaminishaji, uchambuzi,na ukokotoaji wa mrabaha wa madini yaliyoletwa kwa ajili ya mnada, linalofanywa na watendaji wa Wizara ya …

Read More »

DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA

DSC_1958

                                       KUFUTA UTEUZI Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 53 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 na Kifungu 12 (3) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya mwaka 2011, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, …

Read More »

MAWAZIRI WA UVUVI ZANZIBAR,TANZANIA WAKAGUA MELI ZINAZOOMBA LESENI

ONE

  Na Kijakazi Abdalla            Maelezo    UTARATIBU wa kusajiliwa kwa meli za kigeni hapa Tanzania kwa ajili ya kuendesha shughuli za uvuvi, ni miongoni mwa njia zitakazotoa fursa za ajira kwa Watanzania. Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed, amesema pia kwamba utaratibu huo utasaidia kuimarisha uchumi …

Read More »