Thursday , December 14 2017

Home / MCHANGANYIKO / DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA

DK SHEIN AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA

 

 

                                   KUFUTA UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 53 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 na Kifungu 12 (3) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya mwaka 2011, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, amefuta uteuzi wa MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA NDUGU MOHAMMED HAFIDH RAJAB kuanzia leo tarehe 12 Oktoba, 2017.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.

IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO

ZANZIBAR

12 OKTOBA, 2017    

About Alex

Check Also

P_20171213_112357_vHDR_On-1

RC Wangabo asimamisha shughuli za uvuvi Ziwa Rukwa Kujikinga na Kipindupindu.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ilanga, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eleven − one =