Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / October / 13

Daily Archives: October 13, 2017

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stella Manyanya Afanya Ziara Yake ya kwanza ya Kikazi Akiwa Wizara ya Viwanda

1 (9)

Darasa maalumu la mafunzo ya uzalishaji na utengezaji wa bidhaa za ngozi lililopo Kizota, mkoani Dodoma. Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akishuhudia bidhaa mbalimbali zinazotengezwa na wanafunzi wanaojifunza utengezaji wa bidhaa za ngozi pembeni ni ndugu. Stephano Ndunguru, meneja wa mafunzo SIDO, Dodoma. …

Read More »

Kuelekea siku ya kumbukumbu ya Baba wa taifa Dc Sofia Mjema awaongoza mamia ya vijana wa UVCCM wilaya ya ilala katika zoezi la kufanya usafi hospitali ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam

UVCCM MJEMA

    Mkuuwa wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema  aliye vaaqkilemba ,aliye upande waq  kushoto ni Diwani wa kata ya Ilala  Mhe. Saad Kimji akifagia na vijana wa  Umoja wa Vijana CCM Wilaya ya Ilala  katika Hospital ya Mnazi mmoja  jijini Dar es salaam leo katika kuelekea madhimisho ya kumbukumbu …

Read More »

Miili ya Askari JWTZ Kurejeshwa Nchini Kesho Oktoba 14,2017

1db5cd80bbc2238482c9de8a9da3b1c6_400x400

Taarifa kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kuwa miili ya marehemu Koplo Marcelino Pascal Fubusa na Praiveti Venance Moses Chiboni ambao waliuawa wakiwa katika jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC, itawasili nchini tarehe 14 Octoba 2017 na itahifadhiwa katika Hospitali …

Read More »

UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA

DSC_2545

Mkuu wa Mkoa wa Geita  Meja Jenerali Mstaafu ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa wiki ya chakula duniani ambayo Kitaifa inafanyikia Mkoani Humo akizungumza na wananchi kwenye viwanja vya CCM Kalangalala wakati wa uzinduzi.   Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akisalimiana na Mwakilishi wa …

Read More »

Tanzania Yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa

P1

Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu akieleza umuhimu wa makazi salama wakati cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa yenye Kaulimbiu “MAKAZI SALAMA:Punguza Makazi katika maeneo Hatarishi, Punguza Kuhama Kutokana na Maafa” yaliyoadhimishwa katika Viwanja vya Nyerere …

Read More »

ZIARA MKE WA RAIS WA TANZANIA MAMA JANETH NA MAMA SHEIN

DSC_0414

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth  Magufuli  wakiwa na Mtoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar wakati wa ziara ya Mama Janeth Magufuli kutembelea Watoto na kukabidhi  msaada wa Vyakula mbalimbali. Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MNADA WA TANZANITE

PICHA 4

Wizara ya Madini inatoa taarifa kwa umma kuwa  Mnada wa Madini ya Tanzanite uliokuwa ufanyike katika mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro mkoani Manyara kuanzia tarehe 12 hadi 15 Oktoba, 2017, umeahirishwa hadi hapo utakapotangazwa tena.  Sababu za kuahirishwa kwa mnada huo ni kuridhia maombi ya wadau wa mnada ambao …

Read More »

TANZANIA YANG’ARA KATIKA TUZO ZA SAFARI ZA KITALII AFRIKA

MIPAKA+PICHA

Na. Mwandishi Wetu- MAELEZO. Sekta ya Utalii nchini imezidi kujiimarisha katika masoko ya kitalii ulimwenguni hivyo kuendelea kushinda tuzo mbalimbali katika biashara ya Utalii. Katika hafla ya 24 ya Utoaji  Tuzo ya kila mwaka ya Safari za Kitalii Afrika kwa mwaka 2017 iliyofanyika Kigali nchini Rwanda wiki hii, Tanzania imejinyakulia …

Read More »

TPB Benki, Zaipaisha Taswa SC

1

Afisa Mawasiliano wa Benki ya TPB, Chichi Banda (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi mwenyekiti wa Timu ya Waandishi wa mchezo nchini (Taswa SC) Majuto Omary ikiwa sehemu ya udhamini wao kwa timu hiyo kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Kanda ya Kaskazini. Mwenyekiti wa Timu …

Read More »

Nafasi Art Space na Muda Afrika Wazindua Mikakati Mipya na Usaidizi kutoka kwa Ubalozi wa Norway

22382229_1299135920214983_729304473251760399_o

  Jumatano, Oktoba 11, 2017, Nafasi Art Space na MuDa Afrika, mashirika ya kitanzania ya kiutamaduni yasiyo ya faida, walifanya sherehe rasmi ya kusaini mikatabana Ubalozi wa Norway. Sherehe hiyo ilifanyika Nafasi Art Space, iliyoko Eyasi Road,Mikocheni B. Wageni rasmi walikuwa H.E. Hanne-Marie Kaarstad, Balozi wa Norway, na Godfrey Mnegereza, …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII

UT0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha …

Read More »