Thursday , December 14 2017

Home / BURUDANI / INTERVIEW: Nivo Afunguka ya Moyoni Kuhusu Wasanii Wachanga!

INTERVIEW: Nivo Afunguka ya Moyoni Kuhusu Wasanii Wachanga!

Msanii chipukizi

kwenye muziki wa Bongo fleva, Vicent Petro ambaye kwa jina la sanaa

anatambulika kama ‘Nivo’ aliyewahi kuachia ngoma yake moja ambayo inaitwa ‘Idea’

amefungukia yake kutoka moyoni kuhusu wasanii

Wachanga,  kutokana na jinsi

ambavyo huwawanakosea mashariti  katika

Muziki ikiwa ni pamoja na utovu wa nidhamu.

 

Nivo akiwa

kwenye interview  Super News TV katika

kipindi kizuri cha ‘New Talents Tanzania’ kinacho wapa fursa wasanii wachanga

kuonyesha uwezo wa vipaji vyao, Nivo alifafanua pia baadhi ya mambo yanayo

wakabili wasanii wachanga kiasi kwamba Muziki wao unashindwa kukua na kuweza

kutimiza malengo yao.  Tumia dakika zako

kadhaa kutazama Mahojiano yake hapa.

Kawaida;

Msanii chipukizi kwenye muziki wa Bongo fleva, Vicent Petro ambaye kwa jina la sanaa anatambulika kama ‘Nivo’ aliyewahi kuachia ngoma yake moja ambayo inaitwa ‘Idea’ amefungukia yake kutoka moyoni kuhusu wasanii Wachanga, kutokana na jinsi ambavyo huwawanakosea mashariti katika Muziki ikiwa ni pamoja na utovu wa nidhamu.

Nivo akiwa kwenye interview Super News TV katika kipindi kizuri cha ‘New Talents Tanzania’ kinacho wapa fursa wasanii wachanga kuonyesha uwezo wa vipaji vyao, Nivo alifafanua pia baadhi ya mambo yanayo wakabili wasanii wachanga kiasi kwamba Muziki wao unashindwa kukua na kuweza kutimiza malengo yao. Tumia dakika zako kadhaa kutazama Mahojiano yake hapa.

About Alex

Check Also

DAYS OF HOPE

UNGANA NA MCHUNGAJI DKT. HURUMA NKONE NA MWINJILISTI JOHANNES KATIKA SEMINA YA SIKU 3 ZA MATUMAINI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 × three =