Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / October / 14

Daily Archives: October 14, 2017

TIZEBA:GINNER ATAKAYEGOMA KUPELEKA PAMBA MBEGU KWENYE KIWANDA CHA QUTON HATANUNUA PAMBA MWAKANI

PICHA A

Waziri wa Kilimo, Mhe.Dkt.Charles Tizeba (wa tatu kushoto) akisikiliza maelezo kutoka wa Meneja Uzalishaji wa Mbegu,Pheneas Chikaura(kulia) katika Kiwanda cha Kuzalisha mbegu za pamba cha Quton wakati wa ziara yake kiwandani hapo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu. Waziri wa Kilimo, Mhe.Charles Tizeba akikaribishwa na Mkurugenzi wa Quton Tanzania Limited Ndg.Pradyumansinh Chauhan, …

Read More »

TUMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUIGA MAISHA YAKE-MAJALIWA

PMO_5258

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waumini waliyo hudhuria kwenye ibada maalum ya kumuombea Mwalimu Julius Nyerere, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Minara Miwili Zanzibar, Oktoba 14, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye ibada maalum ya kumuombea Mwalimu Julius Nyerere, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Minara Miwili Zanzibar (katikati) …

Read More »

KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA LAFANA MKOANI GEITA

1

Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akizungumza wakati wa kongamano katika maadhimisho ya siku ya Chakula ambayo Kitaifa yanafanyika Mkoani Geita. Baadhi ya washiriki wa Kongamano la maadhimisho ya siku ya Chakula ambayo Kitaifa yanafanyika Mkoani Geita wakifatilia kwa makini mada mbalimbali zikiwasilishwa. Mkuu wa Mkoa …

Read More »

TAMASHA LA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA KUFANYIKA KESHO

jj

wakwanza kulia ni Katibu wa TASWA mkoa wa Arusha, Mussa Juma katikati ni Mwenyekiti wa TASWA Arusha, Jamila Omar akioongea na waandishi wa habari Na  Woinde Shizza,Arusha Tamasha la waandishi wa habari, kanda ya kaskazini, linatarajiwa kufanyika jumapili, octobar 15 katika uwanja wa General Tyre ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa …

Read More »

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza Apatikana

StoneFire

Watanzania hii leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14,1999 akiwa nchini Uingereza kwa ajili ya matibabu. Lakini wakati huo huo katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, uliofunguliwa na Mwl.Nyerere mwaka 03.02.1980 kunafanyika tamasha …

Read More »

MAO WATOA MSAADA WENYE THAMNI YA TAKRIBANI SH. MILIONI 6

mao 1

Mwenyekiti wa   chama cha Marafiki wa Oljoro (MAO) Bw. Walter Chipeta kushoto akimkabidhi msaada  wa vitu mbalimbali vyenye mahitaji muhimu kwa katibu mtendaji wa Chama cha Kulea Watoto Mayatima (CHAKUWAMA) Bw. Hassan Hamis kulia leo jijini Dar es salaam. Wanachama wa  chama cha Marafiki wa Oljoro (MAO) wakiwa kwenye picha …

Read More »

KILELEL CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AMANI ZANZIBAR

TA1A1345

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,sambamba na kumbu kumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa …

Read More »

RC TABORA :MARUFUKU LIKIZO KWA MAAFISA UGANI HADI X MAS

1a

Na TIGANYA VINCENT. RS-TABORA SERIKALI mkoani Tabora imesitisha likizo kwa muda kwa Maafisa Ugani  na Watumishi wote wanaowatakiwa kuwasaidia wakulima ili waweze kulima kilimo kinachozingatia utalaamu kwa ajili ya kuwawezesha kuzalisha mazao mengi na kwa tija. Kauli hiyo imetolewa jana mjini hapa na Mkuu wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akifunga …

Read More »

RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU

magufuli-1

Rais Magufuli akihutubia. Na: Fatma Salum (MAELEZO) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia watanzania kuwa hana mpango wa kufuta mbio za mwenge wa uhuru kutokana na madai ya baadhi ya watu wanaosema kwamba hauna faida. Rais Magufuli ameyasema hayo leo Mjini Zanzibar alipokuwa akihutubia …

Read More »

Dkt. Kibona: Tanzania ya Viwanda Itaokoa Kilimo Hapa Nchini

url

Na: Thobias Robert. Katika kutimiza ndoto ya Tanzania ya uchumi wa kati unaotegemea uzalishaji viwandani, wadau mbalimbali wa maendeleo wamezidi kujitokeza na kutoa mawazo yatakayosaidia kukuza sekta za kiuchumi ili kutimiza ndoto hiyo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Akizungumza katika Dkt. Samson Kibona, …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE AKAGUA MIRADI YA MAJI KISARAWE

2

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Inj. Romanus Mwag’ingo akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maji inayotegemewa kutekelezwa na DAWASA katika Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Isack Kamwelwe akitoa maagizo kwa viongozi na watendaji wa Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani alipofanya ziara ya …

Read More »