Friday , January 18 2019

Home / 2017 / October / 15

Daily Archives: October 15, 2017

WANACHAMA 113 WAJITOKEZA KUWANIA UENYEKITI UVCCM

picccm-1

Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) 113 kutoka bara na visiwani wamejitokeza kuwania nafasi ya uenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu, idadi ambayo haijawahi kutokea tangu kuanzishwa kwa umoja huo. Kwa sasa nafasi hiyo inashikiliwa na Mbunge wa Donge …

Read More »

BILIONEA WA OMAN AMVAA MO SIMBA KATIKA UNUNUZI WA HISA

Mohammed-Dewji-1k

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’. BILIONEA kutoka Oman ameonyesha nia ya kutaka kuwekeza Simba kwa kutaka kujitosa katika mchakato wa kununua hisa za klabu hiyo ili awe sehemu ya umiliki wa timu hiyo kwa asilimia 50. Kutokana na hali hiyo, hali ya mambo hivi sasa ndani ya Simba ni mshikemshike baada …

Read More »

MOROCCO WAPEWA UENYEJI CHAN 2018

1100px-Confederation_of_African_Football_logo.svg

MOROCCO ndio wenyeji wapya wa fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) zinazohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee. Hiyo inafuatia kikao cha Kamati ya Dharula ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kilichofanyika jana mjini Lagos, Nigeria chini ya Uenyekiti wa Rais wa CAF Ahmad kuipa jukumu hilo Shirikisho …

Read More »

TONY ELUMELU FOUNDATION (TEF) WRAPS UP 2017 TEF ENTREPRENEURSHIP FORUM – LARGEST GATHERING OF AFRICAN ENTREPRENEURS

22

  The Forum hosted more than 1,300 participants from 54 African countries. The most diverse and inclusive gathering of African entrepreneurs on the continent, the Forum continued its strong tradition of showcasing innovation across sectors, including Agriculture, Technology, Healthcare, Fashion and Energy/Power Generation. Launched in 2015, the Forum was born …

Read More »

TAMKO LA WAZIRI WA AFYA,MHE.UMMY KUHUSU UNAWAJI WA MIKONO NCHINI TAREHE 15 OKTOBA, 2017 KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UNAWAJI MKONO DUNIANI

IMG_0724-310x165

  Ndugu Wananchi, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta zinazohusika na Usafi na Afya Mazingira inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha Siku ya Unawaji Mikono (Global Hand Washing Day). Siku hii huadhimishwa tarehe 15 Oktoba ya kila mwaka kwa …

Read More »

Tamasha la Mziki Mnene Laacha Historia Jijini Mwanza

1

Binagi Media Group Maelfu ya wapenzi wa burudani Jijini Mwanza jana wamefurahia tamasha la Mziki Mnene linaloandaliwa na EFM radio na ETV za Jijini Dar es salaa ambapo wasanii mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah walipata shangwe kubwa kwenye tamasha hilo lililofanyika uwanja wa CCM Krumba.   Wasanii wengine waliokonga nyoyo za …

Read More »

UHURU FM WALIPOLIAMSHA DUDE JANA KWENYE VIWANJA VYA MWEMBEYANGA, TEMEKE, KATIKA TAMASHA LA ‘GUSA MAISHA YAKE’ KUMUENZI BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU NYERERE

1.BN647601

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Juma Kiroboto, maarufu Juma Nature, akisababisha jukwaani, katika Tamasha la ‘Gusa Maisha yao’ lililofanyika leo kwenye Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo liliandaliwa na Uhuru FM katika kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere. Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya …

Read More »

RAIS ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO

z17

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitembea kwenye mitaa ya Stone Town mjini Zanzibar wakielekea katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KILIMANJARO

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA ambapo anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani. Makamu wa Rais …

Read More »

RC RUKWA:TUFANYE MAZOEZI KUMUENZI MWALIMU NYERERE

rc na ras

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen (track suti ya kijani) akipimwa macho zoezi lililoendeshwa kwa wananchi wote waliohudhuria katika maadhimisho ya kifo baba wa Taifa, Kiwanja cha Mandela, Mjini Sumbawanga, baadaya kupima alionekana hana tatizo. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen (track suti ya …

Read More »