Monday , February 18 2019

Home / 2017 / October / 16

Daily Archives: October 16, 2017

MELI YA KIFALME YA OMAN YATIA NANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

T3a

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Dkt. Hussen Mwinyi akimpokea Waziri wa Mafuta na Gesi toka Oman Dkt. Mohamed Hamed  Al- Rumhi ambaye ndiye kiongozi wa ujumbe kutoka kwa mfalme wa Oman uliowasili na meli ya mfalme ya Fulk Al Salamah katika bandari ya Dar es Salaam …

Read More »

HAFLA YA CHAKULA KWA UJUMBE WA SERIKALI YA OMAN

DSC_9607

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar jana wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia …

Read More »

TAMASHA LA TIGO FIESTA LAFANA MKOANI MBEYA

KINA

Msanii Ali Kiba akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya City Pub jjjini Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi.   Ommy dimpoz akiimba pamoja na mashabiki zake katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi.   Benpol akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani …

Read More »

MAWAZIRI TUMIENI MADARAKA YENU KWA MASLAHI YA TAIFA-MAJALIWA

index

*Asisitiza Uwaziri si fursa ya kujitajirisha WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri watumie madaraka yao kwa manufaa ya Taifa na kamwe wasiyatumie kama fursa ya kujitajirisha wao binafsi. Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Oktoba 16, 2017) alipozungumza na baadhi ya Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu katika kikao kilichofanyika jijini Dar es …

Read More »

DKT TIZEBA AFUNGA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

1

 Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya siku ya chakula Duniani, yaliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kalangalala Mkoani Geita.  Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba alipotembelea banda la Kampuni ya POLYTECH MACHINERY inayojishughulisha na uuzaji wa mashine mbalimbali ikiwemo za …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na  Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kufungua maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo Kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro Picha …

Read More »

Waegesha Ndege wa JNIA Wapigwa Msasa

kozi2

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (aliyesimama kulia) leo akifungua mafunzo ya wiki moja ya Waegesha ndege yanayofanyika kwenye Chuo cha Usafiri wa Anga kinachomilikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (CATS) kilichopo kwenye Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere …

Read More »

USAJILI MWANZA; WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA

pic11

Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi  wa Wilayani ya Ukerewe likiendelea, pichani ni baadhi ya wananchi wa kata ya Kakelege wakisubiri zoezi la kupigwa picha na kuchukuliwa alama za Kibaiolojia.    Afisa Usajili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Ndg. Zabron Rusohoka akiwaelekeza baadhi  ya wananchi  taratibu wanazopaswa …

Read More »

WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI

PM

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatatu, Oktoba 16, 2017) kuelekea nchini Canada kwa shughuli za kikazi. Akiwa nchini Canada Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali za kipaumbele. Aidha, nchi ya Canada ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, …

Read More »

KAMPENI YA 3D YAIPAISHA SHULE JOHN BAPTIST GIRLS SEKONDARI

1

Mwanafunzi wa kidato cha nne, Doroth Samson akizungumza na waandishi wa habari WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya John Baptist iliyopo Boko Basihaya katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wameonyesha kufurahishwa na kampeni iliyozinduliwa hivi karibuni ya ‘3D’ yenye maana ya !Nidhamu, Nidhamu, Nidhamu! kuwa imewaongezea …

Read More »

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kulia) hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini  Tanzania Hanne-Marie Kaarstad (katikati) Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya kuendelea kushirikiana katika sekta ya Hifadhi …

Read More »

Mwanza watakiwa kuchangamkia fursa Maendeleo Bank

1

Mkurugenzi wa Maendeleo Bank, Ibrahim Mwangalaba akizungumza hii leo Jijini Mwanza, nje ya ukumbi wa mafunzo ya mjadala kati ya sekta ya umma na sekta binafsi. Mafunzo hayo yameandaliwa na Chemba ya wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo nchini TCCIA pamoja na Best Dialogue (Mpango wa kuboresha mazingira ya biashara Tanzania). …

Read More »

ASSC BINGWA KOMBE LA NYERERE DAY

IMG-20171016-WA0003

Baadhi ya wachezaji wa Timu ya ASSC A wakiwa na kombe baada ya kukabidhiwa kombe la mashindano ya Nyerere Cup na mwaka mpya wa Kiislamu yaliofanyika juzi jijini hapa Picha na Mahmoud Ahmad -Arusha.   Baadhi ya wachezaji wa ASSC A wakisherehekea kwa kupiga picha na vikombe vya ubingwa wao …

Read More »

RC Gambo Azindua Mradi wa Utaoji Mitego kwa Wanyamapori (De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti ,Jijini Arusha

GAMBO

 Mwenyekiti wa Wakala wa Utalii nchini, TATO (Tanzania Associations of Tour Operators) Ndugu Wilbard Chambulo akigonga glasi na wageni waalikwa kabla ya kuanza kwa Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four …

Read More »

CCM ZANZIBAR YATAKA PEMBEJEO WANAZOPEWA WAKULIMA ZIWE NA VIWANGO.

2 (1)

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Mabodi akiwahutubia wakulima na wananchi katika uzinduzi wa kilimo cha mpunga bonde la mahekani huko Kizimbani Unguja. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Mabodi akizindua kilimo cha mpunga kwa kuendesha Tirekta akiashiria kuanza kwa shughuli za kilimo hicho …

Read More »

MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA

DSC_0520

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mh,Rashid Ali Juma kushoto akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wapili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed wapili kushoto na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh watatu kushoto wakiangalia Ngoma za Utamaduni kabla ya kuondoka …

Read More »

DK.SHEIN AONANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA

DSC_0526

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Mansour Al Malik,alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 16/10/2017. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akizungumza …

Read More »

Tanzania kuwakilishwa na timu mbili katika mashindano ya Cana kanda ya tatu ya kuogelea

collins saliboko

Mchezaji wa kuogelea wa timu ya Taifa, Hilal Hemed Hilal akishindana wakati wa mashindano ya Taifa ya kuogelea. Mchezaji wa kuogelea wa timu ya Taifa, Collins Saliboko akichuana katika mashindano ya Taifa ya kuogelea. …………………………………………………………. Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Tanzania itawakilishwa na timu mbili za kuogelea katika michezo …

Read More »