Monday , October 22 2018

Home / 2017 / October / 17

Daily Archives: October 17, 2017

WAZIRI MWIGULU ATEMBELEA UJENZI NYUMBA ZA POLISI ARUSHA

JC9A7021

Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba akikaribishwa akipokelewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna Charles Mkumbo mara baada ya kuwasili kambi ya Polisi iliyopo jijini hapa ambapo ujenzi wa nyumba za waathirika wa ajali ya moto unaendelea. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha Naibu …

Read More »

Wadau wakutana Jijini Mwanza kujadili changamoto za uchumi

1

Makamu wa Rais wa TCCIA, Joseph Kahungwa akizungumza kwenye majadiliano hayo.  Binagi Media Group Mafunzo ya majadiliano yaliyoandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo TCCIA mkoa wa Mwanza, yametamatika hii leo Jijini Mwanza. Majadiliano hayo yalianza jana Oktoba 16,2017 kwa kuwahusisha wadau wa sekta za umma na binafsi …

Read More »

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Yakabidhi Hundi ya Milioni Hamsini Kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda Kuchangia Ujenzi wa ofisi za Walimu

DSC_0053

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonga kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu kwa Shule za Jiji la Dar es Salaam hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika katika Makao Makuu …

Read More »

WANAWAKE 28 WAHITIMU KOZI YA UKOCHA TFF

Mkocha-Wanawake

Makocha 28 wanawake kutoka vyuo mbalimbali vya Maendeleo ya Jamii nchini leo Oktoba 17, 2017 wamehitimu kozi fupi ya ukocha katika kozi iliyoratibiwa kwa pamoja kati ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Taasisi ya Karibu Tanzania (KTO). Kozi hiyo ya siku mbili ambayo ni ya pili kufanyika …

Read More »

TANZANIA NA OMAN KUIMARISHA UHUSIANO

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia vitabu akiongozana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy kwenye maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)

BOHA

  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Faustine Ndugulile, akizungumza na wafanyakazi wa Bohari ya Dawa (MSD), alipofanya ziara ya siku moja kutembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam leo.  Mkurugenzi  Mkuu   wa   MSD,  Bwana   Laurean   Rugambwa  Bwanakunu (kulia), akitoa maelezo kwa Mhe. Ndugulile.   …

Read More »

KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA

2. BN648958

Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akizungumza wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na katikati ni  Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho …

Read More »

DAWASCO imejipanga kuongeza usambazaji wa maji safi Dar es salaam

Cyprian-Luhemeja

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limejipanga kufikisha asilimia 85 ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama jijini Dar es salaam ifikapo June mwaka 2018. Akizungumza katika kipindi maalumu cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na Televisheni ya Taifa (TBC), Afisa Mtendaji Mkuu DAWASCO …

Read More »

KOKA ATOA VYEREHANI VINNE KWA SHIRIKISHO LA WATU WENYE ULEMAVU KIBAHA

SAM_6530

Katibu wa Mbunge wa Kibaha Mjini ,Method Mselewa alievaa miwani juu ya kichwa ,akifurahi mara baada ya kukabidhi vyerehani vinne kwa shirikisho la watu wenye ulemavu -Kibaha.(picha na Mwamvua Mwinyi ) ………………………………………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha MBUNGE wa Jimbo la Kibaha mkoani Pwani, Silvestry Koka ametoa vyerehani vinne kwa shirikisho la …

Read More »

MAELFU YA WAKAZI WA SONGEA WAFURAHIA MSIMU WA TIGO FIESTA

ASLAY

Msanii  wa bongo fleva Aslay akiimba kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Majimaji mjini Songea usiku wa kuamkia jumatatu.   Ommy Dimpoz akiimba na  mashabiki zake kutoka Songea mapema usiku wa jumapili katika Tamasha la Tigo Fiesta   Msanii wa bongo fleva Darassa akitumbuiza kwenye jukwaa …

Read More »

Naibu Waziri Shonza ahidi kusimamia maadili ya Mtanzania

01

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri wizara hiyo Mhe. Anastazia Wambura leo mjini Dodoma. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) …

Read More »

SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKYA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO

4.

Mmoja wa washiriki wa warsha ya wadau wa sekta ya afya, mifugo, mazingira na wanyama pori kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akichangia mada wakati wa warsha ya kujadili Mpango Mkakati wa Usalama wa Afya katika kukabiliana na magonjwa ya milipuko itokayo kwa wanyama kwenda kwa binadamu iliyofanyika Jumatatu Oktoba 16, …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA MWAKILISHI WA MKAAZI WA (UNIDO)

DSC_0728

Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw.Stephen B.Kargo   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo, Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AKUATANA NA BALOZI WA UGANDA

DSC_0820

Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero  leo  alipofika Ikulu Mjini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda …

Read More »

TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA

IMG_7628

 Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga Alumni Association wakiwa wanajadili kitu walipokuwa kwenye ziara ya kuitembelea shule waliyosoma  Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya ya Iringa mkoani Iringa maarufu …

Read More »

UJUMBE WA HIMID MAO KWA MASHABIKI WA AZAM FC

271A1401

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwapa moyo na kuwaunga mkono wachezaji vijana ndani ya kikosi hicho. Kauli ya Mao imekuja siku chache mara baada ya mashabiki kuanza kuwalaumu na kuwakosoa wachezaji vijana walioanza kuaminiwa na kupewa …

Read More »