Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / October / 18

Daily Archives: October 18, 2017

Waziri Mkuchika afanya ziara katika Taasisi zilizo chini ya ofisi yake, Awaambia kuwa tofauti kubwa ya mishahara serikalini kukoma

7

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo akieleza kuhusu utendaji wa taasisi anayoiongoza wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) aliyoifanya mapema leo jijini Dar …

Read More »

MKURUGENZI WA ILEJE ATEMBELEA KILWA

SAM_2564

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Christopher Ngubiagai kulia akisalimiana na mkurugezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, Haji Mnasi ,mara baada ya Mkurugenzi huyo kufika ofisini kwake jana kwaajili ya kumsalimu  kushoto ni Mkurugenzi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi Zabron Bugingo     Mkuu wa …

Read More »

WANAHABARI WA TANZANIA WATEMBELEA KAMPUNI YA HUWAWEI NCHINI CHINA

huwawai9

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa ndani ya Kiwanda cha Kampuni ya  Huwawei walipotembelea Kiwanda hicho kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo.    Wanahabari wakiwa katika kiwanda hicho. Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja  Shenzhen …

Read More »

Miss Tanzania Julitha atamba kufanya vyema Miss World 2017

mis 2

Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kumsaka mrembo wa Dunia, Miss World 2017, Julitha Kabete (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt . Kulia Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ndiyo waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga na kushoto ni  Mwakilishi kutoka wizara ya …

Read More »

TPF NET ARUSHA YATAKIWA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI

JC9A7226

Askari wapatao 80 toka wilaya mbalimbali za mkoa wa Arusha ambao ni wanachama wakitembea kwa maandamano umbali wa kilomita 7 huku wakiongozwa na Brass Band ya Polisi Wanachama wa Mtandao wa Polisi Wanawake Arusha pamoja na watoto yatima wa kituo cha Christ Hope Orphonage wakionekana kusikiliza kwa umakini hotuba iliyokuwa …

Read More »

NAIBU WAZIRI KAKUNDA AFANYA ZIARA KILWA

IMG_20171018_143755

 Mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa Zablon Bugingo kulia akitoamaelezo ya mradi mkubwa wa uoteshaji wa miche ya korosho kwa Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI George  Kakunda alipofanya ziara leo Wilayani humo kushoto ni Mkuu wa wilaya hiyo Christopher Ngubiagai   Afisa kilimo na ushirika wilaya ya Kilwa John Mkinga kushoto akitoa taarifa …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WATEHAMA

ICT1

Bw. Samson Mwela Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya  Habari  na Mawasiliano (TEHAMA) akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za tume hiyo leo wakati alipotoa taarifa ya mkutano mkubwa wa masuala ya TEHAMA  utakaohusisha wataalam kutoka nchi mbalimbali Kushoto ni Innocent Mungi Mtaalam wa Mawasiliano kwa Umma Wizara ya Ujenzi …

Read More »

Waziri Mwakyembe Kuzindua Mashindano Ya Kanda ya Tatu Ya Kuogelea

2. Sonia Tumiotto

Muogeleaji nyota wa kike wa Tanzania, Sonia Tumiotto. Muogeleaji nyota wa Tanzania kwa upande wa wanaume, Collins Saliboko …………….. Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,  Dk Harrison Mwakyembe kesho Alhamis  atazindua mashindano ya kuogelea ya kanda ya tatu ya Afrika kwenye bwawa la kuogelea la shule …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHE. JAPHET HASUNGA, AWASILI MAKAO MAKUU YA WIZARA MJINI DODOMA LEO, AOMBA USHIRIKIANO WA WATUMISHI KUTEKELEZA MALENGO YA WIZARA

DSC_2815

NA HAMZA TEMBA – WMU-DODOMA ……………………………………………………………………………. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Ngailonga Hasunga leo tarehe 18 Oktoba, 2017 ameripoti rasmi Makao Makuu ya Wizara hiyo yaliyopo Mtaa wa Kilimani, Makao Makuu ya Nchi, Mjini Dodoma.   Mhe. Hasunga amepokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Gaudence …

Read More »

KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA,JACKSON MAYANJA AACHIA NGAZI

jackson-mayanja_16d8c8anxfpa41jlkvktccsif6

Kocha Msaidizi Jackson Mayanja ameamua kuachana na klabu ya Simba na krejea kwao Uganda. Mayanja ambaye bado yuko jijini Dar es Salaam, ameamua kuachana na Simba akidai ana matatizo yake binafsi. “Ni matatizo ya kifamilia lakini suala hilo siwezi kulizungumzia kwa sasa,” alisema. Lakini habari kutoka Simba zimeeleza kuwa sasa …

Read More »

VIDEO: Warembo Wajipanga Na Shindano la Mrembo Asilia Kunduchi!

as

Moja kati ya vitu muhimu kwenye Maisha ya Mwanamke ni pamoja na Urembo. Kumbuka kila kilicho na faida hakikosi hasara zake hasa unapo kitumia ndivy sivyo. Tukiangazia hapa Tanzania baadhi ya warembo wamekuwa na Tambia ya kujiharibu yaani kujichubua na kupoteza uhalisia wao. Sasa Shindano la Mrembo Asilia Kunduchi linaletwa …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAZIRI KUTOKA IRELAND

16

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi katika Idara ya Mambo ya Nje na Biashara mwenye Jukumu Maalum kwa ajili ya Diaspora na Maendeleo Kimataifa wa Ireland Mhe. Ciaran Cannon aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar …

Read More »

ALHAJ SHARIF-CCM BAGAMOYO KUUNDA BARAZA LA WAZEE MAKADA NA AMEAGIZA KATA ZIUNDE MABARAZA HAYO

SAM_6449

MWENYEKITI mpya wa chama cha mapinduzi (CCM)wilayani Bagamoyo,mkoani Pwani,alhaj Abdul Sharif akizungumza na baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama,madiwani na wanachama ,ambao hawaonekani pichani huko Lugoba jimbo la Chalinze. Picha na Mwamvua Mwinyi ……………. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MWENYEKITI  mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Bagamoyo ,alhaj Abdul Sharif ,anatarajia …

Read More »

Rais Magufuli apokea Ujumbe wa Mfalme wa Oman Ikulu Dar es salaam leo

o1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 18, 2017 ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli …

Read More »

ANNUAL ICT PROFESSIONALS CONFERENCE, 2017 (AIPC-17)

ICT1

INTRODUCTION The Annual Conference for ICT Professionals 2017 (AIPC-17) is a platform for discussion, networking and raising awareness to ICT professionals and stakeholders on the global ICT affairs and skills needed by Tanzanians to cope with the dynamic digital economy. This year’s conference is the commencement of a series of …

Read More »

TGNP Yatoa Mafunzo Kwa Wanawake Wafanyabiashara Mipakani

url

      MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP Mtandao) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mafunzo ya Jinsia (GTI) na AWDF leo imetoa mafunzo ya siku tatu kuhakikisha masuala ya jinsia yanaingizwa katika michakato ya biashara za mipakani kwa wanawake wafanya biashara wa mipakani. Akizungumzia mafunzo hayo leo Mkurugenzi Mtendaji wa …

Read More »