Monday , October 22 2018

Home / 2017 / October / 20

Daily Archives: October 20, 2017

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA NISHATI SUBIRA MGALU AWAHAKIKISHI WAKAZI WA MBAGALA UMEME WA UHAKIKA

IMG_6364

Mhandisi Emanuel Manlabona akimuonyesha  Naibu Waziri Nishati Subira Mgalu Juu ya uwezo wa kituo hicho cha kusambaza umeme kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Usafirishaji Umeme Mhandisi Bishaija Kahitwa Mhandisi Emanuel Manlabona akimuonyesha  Naibu Waziri Nishati Subira Mgalu Juu ya uwezo wa kituo hicho cha kusambaza umemekulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa …

Read More »

BIFU LA KUFA MTU,CONTE VS MOURINHO WAENDELEA KURUSHIANA VIJEMBE

Chelsea-v-Manchester-United-The-Emirates-FA-Cup-Quarter-Final

Kocha Jose Mourinho wa Manchester United VITA ya maneno baina ya makocha wakubwa wa timu mbili Chelsea na Manchester United inazidi kukolea, ambapo sasa kuna moto mpya umewashwa. Kocha Jose Mourinho wa Manchester United ndiye aliyeanza kumtupia madongo wenzake, Antonio Conte wa Chelsea kuwa anapenda kulialia akidai wachezaji wake ni …

Read More »

NDC Watakiwa Kusimamia na Kutekeleza Miradi kwa Wakati

IMG_0285

Na, Thobias Robert-Maelezo 20.10.2017 Naibu waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya ameitaka Bodi ya Shirika la Taifa ya  Maendeleo (NDC) kuhakikisha kuwa inasimamia kwa ukamilifu na ufanisi miradi iliyopo chini ya shirika hilo ili ikamilike kwa wakati. Naibu Waziri Mhandisi Manyanya aliyasema hayo jana alipofanya ziara ya …

Read More »

SERIKALI YAMWAGA AJIRA 400 TRA

IMG_2885

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Shinyanga kuhusu kufanya juhudi ya kukusanya mapato ili azma ya Serikali ya kuwahudumia wananchi kikamilifu itimie. Meneja wa Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Shinyanga, Bw. …

Read More »

OFISI YA MSAJILI WA NGOs YASIMAMISHA SHUGHURI ZA SHIRIKA LA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES ANDA ADVOCACY (CHESA)

tanzania

Ofisi ya Msajili wa NGOs inapenda kuujulisha umma kuwa imesimamisha shughuli za Shirika la COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA) kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2017 ili kupisha uchunguzi unaofanywa dhidi ya tuhuma za shirika tajwa kujihusisha na uhamasishaji wa vitendo vya ndoa za jinsia moja katika maeneo mbalimbali nchini. …

Read More »

SEKTA YA VIWANDA INAHITAJI WAHANDISI WENGI

IMG_0382

Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam wa pili kulia akipokea mifuko ya saruji 500 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Saruji ya Simba Cement Benedict Lema katikati ni Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya ambaye …

Read More »

Wafanyakazi Wa TDL Wapatiwa Mafunzo Ya Ujasirimali Na Nidhamu Ya Fedha

KONYAGI FINANCIAL TRAINING 1

Mkufunzi kutoka  kampuni ya Cornerstone,David Christian, akibadilishana mawazo na baadhi ya  wafanyakazi wa TDL Baadhi ya wafanyakazi wa TDL wakimsikiliza kwa makini mtaalamu wa masuala ya fedha kutoka kampuni ya Cornerstone.Elvis Kato,wakati wa mafunzo hayo Baadhi ya wafanyakazi  wa TDL wakifuatilia mafunzo kutoka kwa wakufunzi …………….. Kampuni ya Tanzania Distillers …

Read More »

WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MRADI WA LONGIDO

1

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua chanzo cha maji cha Mto Simba, wilayani Siha. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akiangalia kazi ya uunganishaji wa mabomba yanayolazwa kwa ajili ya mradi wa Longido, Siha, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe na …

Read More »

MAHAFALI YA 14 YA SHULE YA SECONDARY BWAWANI YAFANA

pix 1

Naibu kamishna wa huduma za urekebishaji Magereza Tusekile Mwaisabila akimkabidhi cheti na fedha tasilimu mwanafunzi alie fanya vizri katika mitahani wa kujipima kidato cha nne Elizabert Victor katika mahafali ya 14 yalio fanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari bwawani mkoa wa Pwani. Naibu kamishna wa huduma za urekebishaji magereza …

Read More »

MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAZINDULIWA RASMI

lugi

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma –  Jordan Rugimbana akizungumza na waandishi wa habari anayefuatia ni Kaimu Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini – Henry Kinabo na mwisho ni Mkurungenzi Mtendaji wa Vision Investment, Ally Nchahaga wakizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika uzinduzi rasmi wa mbio ndefu za Dodoma …

Read More »