Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / October / 21

Daily Archives: October 21, 2017

MGANGA MBARONI KWA KUNAJISI WATOTO 14

Mganga-1-e1487427892502

JESHI la Polisi mkoani Singida linamshikilia mganga wa kienyeji mkazi wa mtaa wa Minga, Daud Idd (74), kwa tuhuma ya kunajisi watoto 14 wenye umri kati ya miaka saba na 12 na kuwasababishia maumivu makali katika sehemu zao za siri. Mgonga huyo maarufu kama Babu Karatu ameelezwa kuwa alikuwa akishirikiana …

Read More »

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA, TAASISI NA MIRADI

Picha Na 1

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha  watendaji wa  Wizara, Taasisi na miradi iliyo chini yake kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam Waziri wa Madini, Angellah Kairuki akitoa maelekezo kwa watendaji wa Wizara, Taasisi na miradi iliyo chini yake (hawapo pichani) Sehemu ya …

Read More »

Dkt. Ndungulile : Tujitokeze Kupima Afya Mara kwa Mara.

PIX 2

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndungulile akimpima mapigo ya moyo Sheikh wa Wilaya ya Kigamboni Ostadhi Abdallah wakati wa zoezi la upimaji afya lililoratibiwa na Taasisi za Afya P-Consultant Medical Clinic (PCMC) na Jamii Bora Haelth Services Network, zoezi lililofanyika katika …

Read More »

Meya Mwita Ashauri Vijana Wasichague kazi Za kufanya

20171021_130925

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita katikati waliokaa akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi waanzilishi wa shule ya Minazini waliojumuika pamoja kwenye mahafali hayo. Aliyevaa suti nyekundu ni Mkuu wa shule hiyo Maria Abihudi. Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimkabizi …

Read More »

Mkurugenzi TAA Ataka Tughe Kutetea Wafanyakazi

tughe1(a)

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela leo akiongea na baadhi ya viongozi wa Matawi ya Chama cha Wafanyakazi mahala pa kazi (TUGHE), TAA Makao Makuu na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi mahala pa …

Read More »

Serikali Yatangaza Vita Dhidi ya Matrafiki Wala Rushwa.

images

Jonas Kamaleki – Moshi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro , Mama Anna Mghwira amekemea vitendo vya rushwa barabarani na kusema kuwa Askari atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Mama Mgwira ameyasema hayo leo mjini Moshi wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo yamefanyika kitaifa Mkoa wa …

Read More »

JESHI LA POLISI PWANI LAUSAKA MTANDAO UNAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA KUSAFIRISHA WAHAMIAJI HARAMU -SHANNA

IMG_20170806_103023

Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani (ACP)Jonathan Shanna akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa watanzania wawili waliokuwa wakisafirisha wahamiaji haramu 21 .(picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo JESHI la polisi mkoani Pwani ,linawashikilia wahamiaji haramu 21 ,raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali …

Read More »

WALIMU SIKONGE WAIANGUKIA SERIKALI KUWALIPA MADAI YAO.

kinana

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na baadhi ya walimu mkoani Tabora wakati alipofanya ziara mkoani humo mwaka 2015.(PICHA NA MAKTABA ……………………………………………………………………………………………. Na Tiganya Vincent-TABORA.                    WALIMU wilayani Sikonge wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kulipa madai ya muda mrefu kwani yamekuwa yakipunguza ari ya utekelezaji wa majukumu …

Read More »

BODI YA FILAMU TANZANIA YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MUIGIZAJI NGULI WA FILAMU SHAMILA MFIKIRWA.

index

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Tanzania Bi.Bi.Joyce Fissoo. …………………………………………………………… Bodi ya Filamu Tanzania imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Muigizaji nguli Shamila Mfikirwa. Katika Salamu zake kwa Rais ya Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifamba, Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Ndugu Elia Mjata na wanafamilia …

Read More »