Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / October / 22

Daily Archives: October 22, 2017

Naibu Waziri Shonza:Vijana jiungeni na vikundi vya Mazoezi

PIX 1

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza  (mwenye tisheti nyeupe  katikati) akiwa katika mazoezi ya jogging  na kikundi cha Kawe Jogging Social Club katika sherehe za miaka mitano ya kikundi hicho  zilizofanyika leo jijini Dar es Salaam (aliyenyoosha kidole  kushoto) ni Katibu wa Kawe Jogging …

Read More »

MEYA MWITA : WAIMBAJI WA JIMBO ZA DINI HUBIRINI AMANI

index

NA CHRISTINA MWAGALA,OFISI YA MEYA WA JIJI DAR MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amesema waimbaji wa nyimbo mbalimbali za injili,  Wanakwaya wanapaswa kutangaza amani na upendo katika Taifa kupitia unjilishaji ili amani iliyopo  isiharibiwe na watu wachache. Meya Mwita amesema kuwa waimbaji mbalimbali ikiwemo kwaya …

Read More »

JPM GUMZO KWA MAKINIKIA

index

Makubaliano Barrick: JPM awa gumzo duniani *New York Times wasema ni mageuzi tupu *Mining Quartz: Ana msimamo usioyumba Na Mwandishi Wetu SIKU chache tu baada ya Rais John Pombe Magufuli kufanikisha kukamilika kwa ufanisi sehemu ya kwanza majadiliano na kampuni ya Barrick Gold kuhusu biashara ya madini hayo nchini, majarida …

Read More »

NIHF ARUSHA YAANZA KUTOA ELIMU YA BIMA YA AFYA MTAA KWA MTAA

NH

 Afisa Metekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Arusha,Miraji Kisile akiwahamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma zinazotolewa ikiwemo za matibabu   Afisa Metekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Arusha,Miraji Kisile akiwahamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo ili kuweza …

Read More »

KAMPUNI YA KILUA INDUSTRIAL GROUP YAANDAA KONGAMANO KUBWA LA UWEKEZAJI WA VIWANDA JIJINI BEIJING,NCHINI CHINA

JIJI1

Kampuni ya Kilua Industrial Group of Companies imeandaa kongamano kubwa la uwekezaji wa Viwanda kwa kuwaalika viongozi Waandamizi wa Serikali ya Mkoa wa Pwani,wafanyabiashara wakubwa ambao ni wamiliki wa viwanda na makampuni mbalimbali,litakalofanyika jijini Beijing,nchini China.   Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo,Mohamed Said Kilua amesema kuwa kongamano hilo linatarajia …

Read More »

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR

DSC_2138

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na  Wajumbe kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiimba wimbo wa Chama kumkaribisha    kabla ya kuanza kwa kikao cha Siku moja  kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, [Picha na …

Read More »

SERIKALI KUVUNJA NYUMBA ZOTE ZILIZOJENGWA BILA KIBALI

1

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Ardhi, Maafisa Ujenzi na Maafisa Mipangomiji na kuwaagiza kuweka alama za x na kuvunja majengo yote yanayojengwa katika miji yao bila kibali na yale yanayojengwa katika viwanja vya watu wengine walio na hati …

Read More »

SEK. LUGOBA YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA MADARASA SITA NA UKOSEFU WA UZIO- SAKASA

IMG-20171022-WA0009

Mwalimu mkuu shule ya sekondari Lugoba, alhaj Abdallah Sakasa akizungumza jambo na wanafunzi na wazazi wa wanafunzi shuleni hapo (hawapo pichani ).(picha na Mwamvua Mwinyi ) ………………………………………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Lugoba SHULE ya sekondari ya Lugoba iliyopo Lugoba, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani, inakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa sita na …

Read More »

TAASISI YA MWANAMKE USUKANI YAFANYA ZIARA YA KUWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA MUHIMBILI-MOI NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI

index

Baadhi ya Wanafunzi wa Taasisi ya Mwanamke kwenye Usukani ambao wamefanya ziara katika Hospitali ya Muhimbili Moi kwa ajili ya kutoa damu na misaada mbalimbali. Mkurugenzi wa Taasisi ya Wanawake Usukani Bw.Martin Gabone akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Ziara yao ya kuwatembelea wagonjwa pamoja na kutoa  misaada mbalimbali …

Read More »