Friday , January 18 2019

Home / 2017 / October / 23

Daily Archives: October 23, 2017

Benki Ya Standard Chartered Yadhamini Kongamano La Wanawake Na Fedha kimataifa

url

  BENKI ya Standard Chartered imetangaza kudhamini Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha linalotarajia kufanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika, nchini Tanzania. Kongamano hilo la siku mbili linatarajia kukutanisha pamoja wanawake viongozi katika fani mbalimbali, zikiwemo mabenki, teknolojia, wafanyabiashara, mashirika ya umma na binafsi. Akizungumza na vyombo vya …

Read More »

KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA SWEDEN ATUA NCHINI KUWAPA SOMO TFF

15232330_404

    Kocha Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Sweden,Mariane Sundhage leo Oktoba 23, 2017 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Kebwe Stephen Kebwe katika Ofisi ya Mkoa na kufanya mazungumzo yenye lengo la kuboresha soka la wanawake nchini. Kadhalika, Kocha Mariane Sundhage amefanya mazungumzo yanayofanana …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA AfYA

DSC_2320

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya  katika  kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,(kushoto) Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali …

Read More »

Waziri Mwakyembe Akutana Na Viongozi Wa Chama Cha Mashua Tanzania (TSAA)

Pix 01

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) wakati alipokutana na viongozi hao kujadili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo. Mwanyekiti wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) Bw. Philemon Nasari (kushoto) akimueleza  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na …

Read More »

STARTIMES YAAPA KUKUZA MPIRA WA KIKAPU NCHINI

IMG_6644

Kampuni ya Star Media (T) Ltd inayodhamini Michuano ya kikapu kupitia nembo yake ya StarTimes imeahidi kuhakikisha mpira wa kikapu unakua nchini. Kampuni ya StarTimes imedhamini ligi inayosimamiwa na chama cha Kikapu Dar es Salaam (BD), RBA na sasa imedhimini Super Cup. Akiongea katika fainali za Super Cup, Makamu Rais …

Read More »

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI: MMEFANYA KAZI KUBWA NA YA KUHATARISHA MAISHA YENU KUTOKANA NA UZALENDO WENU

maki (16)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017 ………………………………………………………………………. Jonas Kamaleki- MAELEZO …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI

maki (3)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017 :Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa …

Read More »

KIINGILIO CHA YANGA VS SIMBA CHATAJWA UWANJA WA UHURU OKTOBA 28,2017

hqdefault

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Young Africans na Simba utafanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kama ilivyotangazwa awali. Hakuna mabadiliko. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza viingilio katika mchezo huo kwamba watazamaji watakaohitaji kukaa katika Jukwaa Kuu watalipia Sh 20,000 na Mzunguko …

Read More »

DKT. KIGWANGALLA AMWAGA CHECHE, AFUTA UTARATIBU WA UTOAJI WA VIBALI VYA UWINDAJI WA KITALII, AAPA KUTOYUMBISHWA NA RUSHWA NA FITNA

A

NA HAMZA TEMBA – WMU – DODOMA ……………………………………………………………………….. Katika kile alichoeleza kuwa ni kuimarisha sekta ya maliasili na utalii iweze kutoa mchango unaostahili kwa jamii na taifa kwa ujumla, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amesitisha utaratibu wa kuhuisha upya vibali vyote vya makampuni ya uwindaji wa kitalii ambavyo vilitolewa …

Read More »

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA.

1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto mbele), akipokelewa na  Mkurugenzi wa huduma za ufundi na umeme wa Wizara hiyo ambaye anamwakilisha Katibu Mkuu, Dkt. William Nshama, mara baada ya kuwasili ofisini kwake mjini Dodoma, leo. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

1499951708-MPINGARPC

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio …

Read More »

Wabunge Na Mawaziri kupewa Tuzo kwa Utendaji Wao

photo

Na. Thobias Robert- MAELEZO. Kamati ya utawala ya shinadano la tuzo za utekelezaji maendeleo kwa kasi ya juu kwa Wabunge na Mawaziri (THSDA) imezindua shindano la kutoa tuzo kwa Wabunge na Mawaziri watakaofanya vizuri katika kutekeleza majukumu ya kuwaletea Wananchi maendeleo. Hayo yamesemwa  Jijini Dar es Salaam leo na Katibu …

Read More »

Wanasayansi watoto kutoka Mwanza wavutia wengi

Ubongo

Na Binagi Media Group Ni katika Mahafali ya 11 ya darasa la saba shule ya msingi Eden iliyopo Nyakato Jijini Mwanza, mamia ya wahudhuriaji yanashuhudia wahitimu wakiuchambua ubongo wa mwanadamu kwa kiwango cha hali ya juu. Mahafali yalifanyika ijumaa Septemba Mosi,2017 shuleni hivyo tazama video hii kisha kama una mwanao …

Read More »

Waziri Mwakyembe Mgeni Rasmi Mkutano wa Viongozi wa Dini

PIX 1

Mkurugenzi wa Msaidizi Lugha kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa Bibi Hajjat Shani Kitogo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani)  kuhusu mkutano wa viongozi wa madhehebu ya dini uliyoandaliwa na Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na leo jijini Dar es Salaam. ……………… Na Anitha Jonas – WHUSM …

Read More »

TAMASHA LA TIGO FIESTA LAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAKAZI WA SUMBAWANGA

Aslay1

 Aslay akiwa jukwaani akiburudisha wakazi wa Sumbawanga  kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili     Mashabiki wakiimba pamoja na Aslay.   Msanii Barnaba akiwa jukwaani  kwenye   Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson  Mandela Mjini Sumbawanga usiku …

Read More »