Monday , February 18 2019

Home / 2017 / October / 24

Daily Archives: October 24, 2017

SEKTA BINAFSI YASHAURIWA KUPELEKA CHANGAMOTO ZAO SERIKALINI

IMG_1021

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi, Godfrey Simbeye akifafanua jambo kwa wafanyabiashara waliohudhuria katika Mkutano kati yao na Serikali uliolenga kujadili mafanikio na changamoto za pande hizo mbili, uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti mweza wa mkutano kati ya Serikali na Sekta Binafsi, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, …

Read More »

Naibu Waziri Shonza Atoa Jitokekezeni Kusaidia Tasnia ya Sanaa

PICHA 14

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (aliyesimama katikati) akishuhudia Utiaji Saini wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Shirikisho la Sanaa za Ufundi (TAFCA) na Kampuni ya Data Vision International 24 Oktoba, 2017 Jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, …

Read More »

BALOZI KAIRUKI AIPONGEZA KAMPUNI YA KILUWA INDUSTRIAL GROUP OF COMPANIES KWA KUANDAA KONGAMANO LA UWEKEZAJI WA VIWANDA MJINI BEIJING NCHINI CHINA

15

Balozi wa Tanzania nchini China Mhe.Mbelwa kairuki (tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe huo uliomtembelea ofisini kwake mapema leo .Picha na Ahmad Michuzi-China. Balozi wa Tanzania nchini China Mhe. Mbelwa Kairuki akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Kampuni ya Kiluwa Industrial Group of Companies  ukiongozwa na …

Read More »

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA UMOJA WA MATAIFA NA KUFUNGUA MKUTANO WA DUNIA WA WANAWAKE KATIKA HUDUMA ZA KIBENKI

JA3A9609

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan akihutubia hadhara ya wageni mbalimbali (hawapo pichani) na kusisitiza umuhimu wa teknolojia katika kufikia uchumi wa viwanda wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Makamu …

Read More »

VITAMBULISHO VYA TAIFA LULU KWA WANANCHI WA KWIMBA

pic4

Umati mkubwa wa Wananchi wa wilaya ya Kwimba wakisubiri kuingia kwenye chumba ambacho Usajili wa Vitambulisho vya Taifa unafanyika. Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Usajili juu ya mambo msingi wanayotakiwa kuzingatia pindi watakapoingia kwenye chumba cha Usajili wakati wa kuchukiliwa alama za …

Read More »

Wakwepa Kodi Marufuku TBIII – Eng.Nditiye

ziara2

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), (mbele katikati), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye akiongea na Menejimenti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Makao Makuu, kabla ya kuanza kwa ziara ya kutembelea majengo matatu ya abiria ya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO.

DSC_2731

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/10 …

Read More »

NAIBU WAZIRI, MHE. JULIANA SHONZA ASHUHUDIA HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KATI YA SHIRIKISHO LA CHAMA CHA SANAA ZA UFUNDI (TAFCA) NA DATA VISION INTERNATIONAL.

PICHA 3

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (aliyesimama katikati) akishuhudia Utiaji Saini wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Shirikisho la Sanaa za Ufundi (TAFCA) na Kampuni ya Data Vision International 24 Oktoba, 2017 Jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, …

Read More »

Miss Universe Tanzania kufanyika Jumamosi

DSC_1028

Miss Universe wakijipodoa katika kambi yao ya SeaCliff Residence iliyopo Masaki jijini. …………………………………………………………………….. Na  Mwandishi wetu Mashindano ya kumsaka mrembo wa Kiss Universe Tanzania  yamepangwa kufanyika Jumamosi kwenye ukumbi wa  Makumbusho ya Taifa jijini. Mashindano hayo yatashirikisha jumla ya warembo 10 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara kwa mujibu Mkurugenzi …

Read More »

UN yasheherekea MIAKA 72 ya toka kuuanzishwa kwake.

13

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Ndugu Alvaro Rodriguez mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Karimjee kwenye sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa …

Read More »

Maslahi kwa wafanyakazi Puma yamkuna Waziri Mhagama

2

Mh. Jenista Mhagama Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, Bunge, kazi, ajira, vijana na watu wenye ulemavu akishuhudia wakati  Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti kushoto na Katibu Mkuu wa TUICO Taifa, Jonathan Peleshi wakisaini mkataba wa miaka miwili wa maboresho ya haki za wafanyakazi kwa …

Read More »

USAJILI WASHIKA KASI MKOA WA ARUSHA, WAANDISHI KUTOKA VYOMBO VYA HABARI WATEMBELEA VITUO VYA USAJILI

DSC04755

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano (NIDA) Bi. Rose Joseph (mwenye miwani) akizungumza na baadhi ya waandishi wa Vyombo vya Habari vya Televisheni na Magazeti walipotembelea kituo cha usajili cha Sombetini, Arusha mjini kuangalia  shughuli za kuwasajili wananchi  zinazoendelea kituoni hapo. Wananchi wakiendelea kupata huduma za usajili kabla ya kupigwa …

Read More »

MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA YAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI LA BARAZA LA MAASKOFU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Askofu Mkuu wa  Jimbo Kuu  Katoliki  la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga  mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na  Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa  …

Read More »

TARATIBU ZA ULIPAJI FIDIA YA ARDHI MANISPAA YA ILALA

PICHA 1

Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Bi. Tabu Shaibu akieleza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu  taratibu za ulipaji fidia ya ardhi kwa wananchi wa Manispaa hiyo katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mthamini wa Manispaa hiyo Bw.Joseph Kawiche. …

Read More »