Thursday , November 23 2017

Home / MICHEZO / BUFFON ATWAA TUZO YA KIPA BORA WA FIFA LONDON

BUFFON ATWAA TUZO YA KIPA BORA WA FIFA LONDON

Kipa mkongwe wa Juventus, Gianluigi Buffon ametangazwa kuwa kipa bora katika tuzo za Fifa zinazoendelea jijini London.
Buffon ameibuka na ushindi katika tuzo ya kipa bora akiwangusha Keylor Navas wa  Real Madrid ambao ni mabingwa wa Ulaya na Manuel Neuer wa Bayern Munich.

About Alex

Check Also

271A0399

NAIAMINI TIMU YANGU ITAPATA USHINDI DHIDI YA MTIBWA-CIOABA

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

three × 4 =