Thursday , December 13 2018

Home / BURUDANI / NAIBU WAZIRI, MHE. JULIANA SHONZA ASHUHUDIA HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KATI YA SHIRIKISHO LA CHAMA CHA SANAA ZA UFUNDI (TAFCA) NA DATA VISION INTERNATIONAL.

NAIBU WAZIRI, MHE. JULIANA SHONZA ASHUHUDIA HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KATI YA SHIRIKISHO LA CHAMA CHA SANAA ZA UFUNDI (TAFCA) NA DATA VISION INTERNATIONAL.

PICHA 3

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (aliyesimama katikati) akishuhudia Utiaji Saini wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Shirikisho la Sanaa za Ufundi (TAFCA) na Kampuni ya Data Vision International 24 Oktoba, 2017 Jijini Dar es Salaam.

PICHA 14

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiongea na wadau wa Sanaa na Ufundi wakati wa Hafla ya Utiaji Saini wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Shirikisho la Sanaa za Ufundi (TAFCA) na Kampuni ya Data Vision International 24 Oktoba, 2017 Jijini Dar es Salaam.

PICHA 15

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa sanaa za ufundi pamoja watendaji wa Kampuni ya Data Vision International mara baada ya kukamilisha Hafla ya Utiaji Saini wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Shirikisho la Sanaa za Ufundi (TAFCA) na Kampuni ya Data Vision International 24 Oktoba, 2017 Jijini Dar es Salaam.

About bukuku

Check Also

DSC_0046-min

MWENYEKITI WA BARAZA LA KISWAHILI LA ZANZIBAR(BAKIZA)AZUNGUMZA NA WAANDISHI KUHUSU KONGAMANO LA KIMATAIFA LA KISWAHILI ZANZIBAR

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nineteen − 3 =