Monday , October 15 2018

Home / MCHANGANYIKO / TARATIBU ZA ULIPAJI FIDIA YA ARDHI MANISPAA YA ILALA

TARATIBU ZA ULIPAJI FIDIA YA ARDHI MANISPAA YA ILALA

PICHA 1

Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Bi. Tabu Shaibu akieleza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu  taratibu za ulipaji fidia ya ardhi kwa wananchi wa Manispaa hiyo katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mthamini wa Manispaa hiyo Bw.Joseph Kawiche.

PICHA 2

Mthamini wa Manispaa ya Ilala Bw.Joseph Kawiche akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu taratibu za ulipaji fidia ya ardhi katika Manispaa hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo  Bi. Tabu Shaibu.

PICHA 3

Mthamini wa Manispaa ya Ilala Bw.Joseph Kawiche akiteta jambo na Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo Bi. Tabu Shaibu wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu taratibu za ulipaji fidia ya ardhi leo  Jijini Dar es Salaam.

Picha na Paschal Dotto-MAELEZO

About Alex

Check Also

3

MKUTANO WA KIHISTORIA NA WA KWANZA KATI YA MAHAKAMA YA TANZANIA, MADALALI NA WASAMBAZA NYARAKA ZA MAHAKAMA WAFANYIKA MJINI MOROGORO

Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akifungua Mkutano wa Mashauriano kati …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

thirteen + 5 =