Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / October / 25

Daily Archives: October 25, 2017

WIZARA YA MALIASILI, ARDHI NA TAMISEMI KUMALIZA MGOGORO WA MPAKA WA HIFADHI YA NORTH UGALA NA VIJIJI JIRANI

1

  NA HAMZA TEMBA- WMU- URAMBO, TABORA ……………………………………………………………………….. Naibu Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amesema Wizara yake itashirikiana na Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya kutoa uamuzi wa pamoja wa kumaliza mgogoro wa mpaka baina ya Hifadhi ya Msitu …

Read More »

KILIMANJARO MARATHON 2018 YAZINDULIWA RASMI DAR

unnamed

Mbio za 16 za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zimezinduliwa rasmi leo Jijini Dar es Salaam kwa kushirikisha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Chama Cha Riadha Tanzania, wadhamini na waandaaji. Akizindua mbio hizo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo Mh. Dk. Harrison Mwakyembe alisema Kilimanjaro Marathon imejizolea umaarufu …

Read More »

REKODI YAIBEBA AZAM FC UWANJA WA NYUMBANI VS MBEYA CITY

271A3107

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kibaruani Ijumaa hii kuvaana na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam saa 1.00 usiku. Huo utakuwa ni mchezo wa kwanza wa Azam FC nyumbani mwezi …

Read More »

WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA JMP

Pix 8

Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha pikipiki maarufu kama waendesha bodaboda waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake. Msanii Sholo Mwamba …

Read More »

KAMANDA MAMBOSASA ALAANI KITENDO CHA POLISI KUWAPIGA WANANCHI

IMG_1534

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imelaani vitendo vilivyofanywa na askari ambavyo havina maadili ya kazi.   Taarifa ya polisi ya jana Jumanne Oktoba 24, 2017 imesema jalada limeshafunguliwa na uchunguzi unaendelea ili kuwabaini  waliohusika kuwapiga wananchi.   Imeelezwa askari hao walijichukulia sheria mikononi baada ya mwenzao Charles Yanga …

Read More »

Shirika la Hakizetu Lazindua Awamu Ya Pili Ya Mradi Wa Kutokomeza Ukatili Wa kijinsia Manispaa Ya Ilemela

1

Binagi Media Group Shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake, Hakizetu lililopo Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, limezindua mradi ujulikanao kama “Kila Mtu Aishi Vyema Kuanzia Sasa” awamu ya pili (Living Better Today Project phase II), lengo ikiwa ni kutokomeza ukatili katika jamii.   Mradi huo umelenga kufanya kazi …

Read More »

KAMPUNI YA GEOPOLL MAREKANI YAKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) KUJADILI TAKWIMU ZA IDADI YA WASIKILIZAJI WA REDIO NA WATAZAMAJI WA TELEVISHENI ZINAZOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO HAPA NCHINI

PICHA 2

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza leo na ujumbe kutoka Kampuni ya GeoPoll wakati wa kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotolewa na kampuni hiyo hapa nchini. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani …

Read More »

WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI TAMASHA LA MAGARI

PIX01

Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investment Bw. Ally Nchahaga (katikati) akieleza jambo juu ya Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mkuu Mauzo kutoka Kampuni ya HYUNDAI Bw. Anthony Nyeupe, wa pili ni Meneja Masoko kutoka Kampuni ya …

Read More »

TBL Group Ilivyoshiriki Mkutano Wa Serikali Na Sekta Binafsi

TPSF PHOTO 4

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango,(kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin wakati  wa mkutano huo Waziri wa  Viwanda ,Biashara na uwekezaji,Mh. Charles Mwaijage ,(kulia) akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin (katikati) wakati wa mkutano  pili wa sekta ya umma na sekta binafsi …

Read More »

RC Rukwa Ashauri Taasisi Za Kidini Kuwekeza Kwenye Viwanda

P_20171022_140729_vHDR_On

Mkuu wa Mkoa wa rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amezishauri taasisi za kidini nchini kuhakikisha wanaangalia fursa za kuwekeza kwenye viwanda ili kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli. Amesema kuwa taasisi za kidini zimejitahidi sana kuisaidia serikali katika kuimarisha huduma …

Read More »

WAMILIKI VYUO VYA UDEREVA WATAKIWA KUONGEZA MUDA WA MAFUNZO

JC9A7684

Mhandisi John Gunda wa karakana ya Magari katika Chuo Cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College) akimuelezea mgeni rasmi Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo kupitia “Screen” namna mfumo wa Injini ya gari unavyofanya kazi. Naibu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (Mwenye koti la bluu) …

Read More »